Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,666
- 4,999
kwa hiyo wewe unapendekezaje? mfano nahisi kuna hatari toka kwako
Nikuite kwanza na nikuulize kama unataka kunibaka (legally speaking)
Ikiwa sio kubaka ila ni sexual assault ingine you don't deserve this
na ikiwa tunakubaliana kua ni kubaka kweli ndio niende kwa EMT?
Unajua, hiyo "condom" ni kama silaha ya kujihami. Na hapa inabidi turudi kwenye sheria: jee, inasemaje kuhusu udhibiti na matumizi ya silaha mbalimbali katika jamii?