Biashara inauzwa

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Duka, whole sale linauzwa (as a going conern). Pango kwa mwezi ni lakini mbili na limelipwa hadi April 2012, liko sehemu nzuri sana.

Sababu ya kuuza: kukosekana usimamizi wa uhakika, pls call (serious only) +255 658 365669
 
Bei itategemea na thamani ya bidhaa iliyopo siku ya kununua, tunauza drinks lakini unaweza kubadirisha biashara kulingana na mapenzi yako.

Duka liko Dar es Salaam, Stand ya Makoka, kwa wale ambao hawajui sehemu hii ni upande wa kushoto wa Land Mark Hotel (kama unaelekea Ubungo Stand) maeneo ya Riverside, kuna stand ya magari yanayochukua watu wanaokaa Kibangu na Makoka, barabara ilikuwa inatokeza darajani zamani lakini kutokana na mmonyoko hiyo barabara haipitiki tena ila magari yanazungukia kwenye bango la Lusekelo (Mzee wa upako). Ukitaka kuona tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom