biashara gani unaweza kuifanya kwa kutumia kompyuta km mtaji..

...funguka kiongozi,yumkini dogo nae hajaelewa kama mimi...

Nlikuwa namaanisha hayo mawazo mengi wanayompa yanahusiana na kazi ambazo sio halali katika masuala ya kompyuta ---Matumizi ya software zisizo halali na kuujumu kazi za wengine
 
mi naongelea kompyuta ya matumizi ya kawaida tu..[/QUOTE]

Nimejikuta nacheka mwenyewe,mshikaji kauliza swali nimeipitia thread kwa haraka kidogo wengi hawajamjibu wakaanza kujielimisha wao na kumsahau aliyeanzisha thread.Wakamshauri kutengeneza vitu bila kujua ana ufahamu gani katika matumizi ya computer na software zake.
Computer kama mtaji=computer kama kitendea kazi ????
Mi napita tu ,watakuja wakukushauri.
 
Back
Top Bottom