Biashara gani inayofaa kwa hii?

Uparo

Member
May 4, 2012
55
9
Ndugu wajasiriamali wenzangu ningependa kufahamu mtu mwenye mtaji wa tsh 400000 (laki nne) anaweza kufanya biashara gani yenye kulipa na endelevu? Namdogo wangu anamaliza chuo kikuu na anapenda ajiajiri nami nimeona nimpatie kianzio cha laki nne niangalie mwelekeo wake utakuwaje ila pia ningependa kujua biashara gani anaweza kuifanya ikamlipa kwa mtaji huo hata kama itakuwa kwenye mikoa wowote ule ilimradi inamlipa nijuzeni wandungu
 
ingekuwa 1.5 m ningekuelekeza cha kufanya lakini lifika wasiliana nami 0715381371 naweza kutoa ushauri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom