bia yenye kilevi kikali duniani

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
kwa wale walevi ni muhimu kwenu kujua kuwa kuna bia yenye kilevi cha ukweli.waingereza wametengeneza bia yenye kilevi cha asilimia 65 na hivyo kuvunja rekodi ya dunia.
Kazi kwenu wazee wa viroba!
 
Beer iwe na kilevi 65% ? I doubt kwasababu itakua ishakua Whisky sasa hiyo
 
Me hiyo ndio size yangu. Kudadadeki nikipiga 4 tu bwax. Msishangae me sio mlevi ila ni mnywaji tu kama alivyo Madame B
 
Last edited by a moderator:
Hapa nilipo. Tuko tunamalizia kufanya utaratibu sahihi wa kufanya chuma chakavu[GONGO] kuwa bia yenye kilevi kwa asilimia zisizo pungua..,.
Nitazitaja hapo baadae taratibu zikikamilika. Naamini hao wadhungu watafuatia baada ya hii kitu kukamilika.
 
kwa wale walevi ni muhimu kwenu kujua kuwa kuna bia yenye kilevi cha ukweli.waingereza wametengeneza bia yenye kilevi cha asilimia 65 na hivyo kuvunja rekodi ya dunia.
Kazi kwenu wazee wa viroba!

za bongo na kenya zinazoua na kupofusha macho hamzioni kuwa ni kuvunja rekodi ila za waingereza tu....!!!!
 
Back
Top Bottom