Bia ya safari iitwe safari dar beer.

ipogolo

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
6,275
5,961
kwa wanywaji wa beer wanaijua beer ya WINDHOEK. Kinywaji hiki kinautangaza mji mkuu wa nchi ya Namibia unaoitwa Windhoek. vipi Tanzania Breweries (TBL) wasiutangaze mji wa Dar es salaam kwa kuiiita beer ya Safari kwa jina la SAFARI DAR BEER?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom