BIA BEI JUU TABORA Tsh 1,800

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Jumapili wauzaji wa jumla waligoma kuuza kwa wenye bar. jana jtatu tunauziwa bia moja kwa tsh 1,800.
 
Uwe unasoma magazeti.. TBL wametoa matangazo kuhusu upandishwaji wa bei sijajua kuhusu SBL..sasa Tanesco wamepandisha gharama za umeme what do u expect? tarajia hali ngumu ya uchumi zaidi ya mwaka jana..
 
bia bei juu=upandishwaji wa bei.
 
Uwe unasoma magazeti.. TBL wametoa matangazo kuhusu upandishwaji wa bei sijajua kuhusu SBL..sasa Tanesco wamepandisha gharama za umeme what do u expect? tarajia hali ngumu ya uchumi zaidi ya mwaka jana..

Hii ni habari mbaya kwa wanywaji. Hapa Arusha bia zote zimepanda za TBL na SBL. Hii itakuwa tabu kwa wanafamilia wengi kwani wanywaji watakachokifanya ni kubana matumizi ya familia huku wakitunza heshima zao bar!
 
Back
Top Bottom