Bi Tekka amfungulia Kesi ya madai Dc wa Korogwe

Mimi nataka kuona matokeo ya Gambo kuanzia O-level, High school na hata ya chuo kama yatapatikana ili tuone tofauti ya hiyo degree ya kyupi nayake! Unaweza kuta yeye ndio kilaza wa kutupa ila ushkaji tu umemmbeba
 
Nafikiri huyo DC atakiona hususan pale anapocheza na Damu ya Kihaya na Kipare. Mpe salamu sana mZee Tekha ambaye ni rafiki yangu wa siku nyingi na Muhaya wa Mbeya.
 
He! Utumishi wa umma na matusi wapi na wapi?! Kwani hakuna taratibu na namna ya kumshughulikia Afisa wa serikali aliyeshindwa kutimiza wajibu wapi mpaka umtukane?. Anyway huenda hilo halikuwemo kwenye semina elekezi.
 
Hawa wote DC na mwanasheria wote ni vilaza. Kesi nyingi za halmashauri hapa nchini huwa zinashindwa na kuzitia hasara halmashauri hizo kwa sababu ya ulafi na ukosefu wa maadili wa wanasheria wao.
Nahisi hawa wameingiliana na kuzidiana hesabu kwenye dili la kifisadi ndo maana wanapelekana mbio. Ila kimfumo, hakuna msafi hapo.
 
He! Utumishi wa umma na matusi wapi na wapi?! Kwani hakuna taratibu na namna ya kumshughulikia Afisa wa serikali aliyeshindwa kutimiza wajibu wapi mpaka umtukane?. Anyway huenda hilo halikuwemo kwenye semina elekezi.
sisi hapa kwetu ofisi za mkuu wa wilaya, mkurugenzi na hata mwenyekiti wa halmashauri zote ziko kwenye majengo ya bomani.
Sasa nauliza huko Korogwe ikoje??
Na kama ziko kama hapa kwetu, je hawa wadau wawili wa maendeleo wanaendelea 'kupishana' kwenye korido za bomani??
Kwa hakika tutashuhudia na kusikia mengi enzi hii ya jk!!

 
Kama kafungua kesi hapo korogwe basi ajiandae kukata rufaa mahakama za juu. sipati picha incharge wa wilaya unamshitaki wilayani kwake?
 
Wanasheria tusaidieni hapa. Huyu Bibi Sheria anazijua sheria? Hii Kesi itakuwa ya Madai au "Defamation"?

mkuu, kwani bibi sheria alidhalilishwa na gambo akiwa anatekeleza majukumu yake km DC au walikutana bar ndo gambo akamtakia matamko hayo?
 
Back
Top Bottom