Bi mdogo auza mali zake kwa ajili ya kulipia madeni ya bi mkubwa

McEM

Member
May 7, 2011
64
3
Bi mdogo imemlazimu kuuza nyumba yake ili kumuokoa bwana ake asinye ndoo kwa sababu ya udhamini wa mikopo aliyo kopa mkewe (bi mkubwa),ambaye amekimbia mji. Bi mdogo ni mtendaji kata,kata ya madoto tarafa ya kimamba wilaya ya kilosa Morogoro.
 
Back
Top Bottom