Bi Kidude: Kazi tangu 1920, umri zaidi ya miaka 99 ila nyonga yake balaa!

Please get your facts right, the old woman got married more than twice and uncounted lovers who exploited her. I heard form reliable person, during her early age, she used to cover her face while singing allikuwa self conscious with her looks.

Uko sahihi isipokuwa hapo pa kujifunika uso.

Alikuwa akijifunika ni Siti binti Sadi ambae ni mentor wa Bi Kidude. Ni mwanamke wa kwanza mweusi kuwa professional singer kwa East Africa ambae aliwahi kurikodi santuri enzi hizo
 
MBONA nyepesi nyepesi underground zinasema kwamba huyu bibi kila akisafiri anaondoka na mzigo,eti hiyo fani ya kuimba ni smokescreen
 
lol....she is funny. I wish she retires ....I don't see a reason why still entertaining, we can't deny she used to have lovely voice but not anymore. For me, she will earn more respect if she leaves the legend behind otherwise just protrait how desperate she is to make money or in otherwise simply njaaa.

Retire.. yes, I agree...
Asije akavunjika kiuno, buree..:ranger:
 
lol....she is funny. I wish she retires ....I don't see a reason why still entertaining, we can't deny she used to have lovely voice but not anymore. For me, she will earn more respect if she leaves the legend behind otherwise just protrait how desperate she is to make money or in otherwise simply njaaa.

Man this her life. Hata kama ni njaa we should see the old stars performing. Hii ndo fani yake! A-retire akafanye nini. My mother, she is 89yrs old now! 5 years ago when I went to see her (I normally see her now everyday) nilimwonea huruma sana! My late father alikuwa mfugaji! Tena sio ufugaji wa ngombe 2! So as my mama pia alirithi ugonjwa wa kufuga ingawa sio kwa kiwango cha mzee. Ana mifugo niliyohisi kuwa sasa inamtesa sana. Hawezi kukaa dakika chache bila kuangalia ngombe na mbuzi kama wana chakula cha kutosha. So I sat with my brothers and sisters tukakubaliana tuuze mifugo yote then mama atapungukiwa na kazi! Mama alikubali shingo upande. Tukauza and set her free. You cant believe miezi 3 baadaye mama akaanza kuugua! Mara miguu, mara hiki tukampekeka kwa madaktari kadhaa bila kupata nafuu. I have a friend of mine ambaye ni doctor na anamjua mama vizuri. Bahati alikuja kwa likizo na akamtembelea. Baada ya kuzungumza naye kwa kirefu aligundua tatizo akaniita akanambia how long do you want your mother to live! Nikamwambia I want her to live as long as Gods wish! Alichonambia kama unataka mama yako aishi angalao mwaka mmoja zaidi MREJESHEE NGOMBE HATA MMOJA. Nilijadiliana naye kwa kirefu sana mwisho tukagundua kuwa anaumwa ugonjwa wa kutofanya kazi aliyoizoea! The week after nikanunua ngombe mmoja! few weeks later mama akawa active as she use to be! So here I want to tell you guys Bi mkubwa Kidude hawezi kuacha kuimba na kucheza! Ndo maisha yake! Tumwache aishi maisha yake aliyoyazoea! Kwani inakukera nini yeye kuimba na kuchangamana na wasanii wengine. Kile ni kisima na kufukia kisima ni kunyima wengine wasipate maji yaliyomo. Let them who wants to see her on stage do so! If you feel that she does not deserve to entertain on stage dont go where she is performing.
 
Mkuu Eeka Mangi umenena pia amekuwa kama mwalimu vijana watajifunza mengi kutoka kwake,pia kuna watu wanasema "age is just a number"
 
Baba Yetu Uliye Mbinguni,

Umjalie Afya tele na miaka iliyo na heri Bibi Kidude,

Amina
 
Hivi hamuoni haya nafsini mwenu kumzungumzia hivyo bibi mwenye umri kama huu? ukware gani huo.
Si muwaweke kina Aisha madinda na wenzake muanze kuwadondoshea mate.
Kwanza ki maadili haikupaswa hata kumuangalia esp kwa watoto wa kiume.
 
Man this her life. Hata kama ni njaa we should see the old stars performing. Hii ndo fani yake! A-retire akafanye nini. My mother, she is 89yrs old now! 5 years ago when I went to see her (I normally see her now everyday) nilimwonea huruma sana! My late father alikuwa mfugaji! Tena sio ufugaji wa ngombe 2! So as my mama pia alirithi ugonjwa wa kufuga ingawa sio kwa kiwango cha mzee. Ana mifugo niliyohisi kuwa sasa inamtesa sana. Hawezi kukaa dakika chache bila kuangalia ngombe na mbuzi kama wana chakula cha kutosha. So I sat with my brothers and sisters tukakubaliana tuuze mifugo yote then mama atapungukiwa na kazi! Mama alikubali shingo upande. Tukauza and set her free. You cant believe miezi 3 baadaye mama akaanza kuugua! Mara miguu, mara hiki tukampekeka kwa madaktari kadhaa bila kupata nafuu. I have a friend of mine ambaye ni doctor na anamjua mama vizuri. Bahati alikuja kwa likizo na akamtembelea. Baada ya kuzungumza naye kwa kirefu aligundua tatizo akaniita akanambia how long do you want your mother to live! Nikamwambia I want her to live as long as Gods wish! Alichonambia kama unataka mama yako aishi angalao mwaka mmoja zaidi MREJESHEE NGOMBE HATA MMOJA. Nilijadiliana naye kwa kirefu sana mwisho tukagundua kuwa anaumwa ugonjwa wa kutofanya kazi aliyoizoea! The week after nikanunua ngombe mmoja! few weeks later mama akawa active as she use to be! So here I want to tell you guys Bi mkubwa Kidude hawezi kuacha kuimba na kucheza! Ndo maisha yake! Tumwache aishi maisha yake aliyoyazoea! Kwani inakukera nini yeye kuimba na kuchangamana na wasanii wengine. Kile ni kisima na kufukia kisima ni kunyima wengine wasipate maji yaliyomo. Let them who wants to see her on stage do so! If you feel that she does not deserve to entertain on stage dont go where she is performing.

Matatizo kuwa waafrika hamjui pension, kuna wengine kwa nguvu ndio wanatolewa makazini coz you haven't prepared for the life ya kuwa yuko yuko tu. Walioweka retirement sio wajinga, wanajua by that time afya nao pia itakuwa mgogoro, sasa niambie huyu bibi Kidude yuko kwenye entertainment industry whats matters is her VOICE, jamanieee akiimba kama komba sasa, mlishawaona wazungu at that age wanaimbaga, wanaendelea na shughuli za entertainment bali ni guest of honor but not actively, thats what I am trying to get this penetrated to you guys. Huyo mamako hayuko mwimbaji, I don't think you are comparing like and like.

When you do that you gain more respect, good example in Maya Angelo....needless to say more.
 
U siingize mambo ya siasa muache bi kidude aendelee na muziki

lol....she is funny. I wish she retires ....i don't see a reason why still entertaining, we can't deny she used to have lovely voice but not anymore. For me, she will earn more respect if she leaves the legend behind otherwise just protrait how desperate she is to make money or in otherwise simply njaaa.
 
bi kidude?s exact date of birth is unknown, much of her life story is uncorroborated, giving her an almost mythical status. Kidude started out her musical career in the 1920s, and learnt many of her songs with siti bint saad. She has performed in countries all around europe, middle east and japan and finally recorded her first solo album (?zanzibar?, retroafric recordings) only six years ago, while in her mid-eighties. Recently she released a second locally-produced album (?machozi ya huba?, heartbeat records) with her traditional drums influencing the burgeoning zenji flava local hip-hop scene in one of the most remarkable juxtapositions of musical style in modern ?world music?.

By world music central.org.

she must be a witch??!!!!!!!!
 
sipati picha angekuwa sehemu za mikoa ya kanda ya ziwa kama shinyanga
 
Back
Top Bottom