Az 89
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,658
- 691
Siwezi kujenga hoja naweza kutengeneza ajali tu za kuwaua wanasiasa kama ulivyofanya wewe.
Hahahaha, majibu kama kinamama wa Mlandizi, wale wanavaaga nguo za kijani.
Siwezi kujenga hoja naweza kutengeneza ajali tu za kuwaua wanasiasa kama ulivyofanya wewe.
Nmesoma maelezo marefu ya mwanasheria alebobea wa international criminal law na mtihani alompa ndg deus malya.lakin badala ya kupima uwezo wa watu humu jf yeye bila kumumunya maneno atuambie kama polisi wa nchi hii wapo sahihi kuua raia wasio na silaha?
Hili litaondoa concentration ya watu wanaoumizwa na mauaji haya kusoma post za watu kama huyu mwanasheria asiyeguswa na mauaji haya
akili ya kutojua kuwa the netherlands ni uholanzi, ni sawa na ya kozman....tatizo watu kama wewe mlizoea ku copy na kupaste mlivyokuwa shule, hadi leo haujui kama the netherlands ni uholanzi....pole sana bata.Mwehu, hata kichwa akivaa chupi ya mkewe atalazimisha kuiita kofia........
akili yako yooote ya kufikiri ndio imeishia hapo, huwezi kufikiri zaidi ya hapo. this clearly displays what you are!...napenda kukufahamisha kuwa, ocampo hakuwa judge wa icc, alikuwa prosecutor, au kwa jina lingine ni mwendesha mashitaka tu. na katika icc anayetakiwa kufungua shauri, si judge au bi helen kijo bisimba, ni prosecutor tu ndio anaweza kufungua shauri hasa la uchunguzi na kulipeleka pre-trial chambers palepale icc majaji sasa independently, watathmini kulinganan a sheria ya icc kama mashitaka hayo aliyofungua prosecutor (sio judge), ni admissible katika mahakama hiyo au la kulingana na vigezo vilivyowekwa na icc kwa yepi makosa yanaweza kuendeshwa pale na yepi hayawezi kuendeshwa, na whether national courts have exercised duty yao ya principle of complimentarity au la (kutumia mahakama za hapahapa), au kama mahakama za hapa zimeshashughulikia au la na kama kushughulikiwa huko kulifanyika impartially au la...yoote haya yanaweza yakachukua si chini ya mwaka mmoja...icc ikiona kuna sababu za msingi kwa shauri lile kufunguliwa pale na national courts hazijafanya hivyo ndio inakuja, huwa haiji moja kwa moja hivi. na icc haijakuwepo ili kureplace national courts, only where national courts have failed, are unable, unwilling etc to prosecute the perpetrator ndio icc inaingilia. pia si kila kesi icc inaipokea, hasahasa hii unayopiga domo.Hivi mnadhani ICC ni zile vurugu za simba na yanga anayeongea sana kuwa yeye anajua historia ya club sana ndie mkweli na mshindi?Majibu yako yapo too shallow na yamejaa kejeli.Deus yupo very clear na honest ktk hili ila wewe huna tofauti sana na siku nyingine ukiwa bored, unajivuta vuta hadi katika fikra.Sijui utaamka lini.
Hili suala la usitawi wa nchi na maendeleo ya jamii?Labda ni kuulize nani alishitaki wakenya?Hata judge wa mahakama akiona kuna haja anaweza lianzisha(Ocampo alikuwa maarufu kwa hilo).Sasa kuvuta attention za hao jamaa na kujenga support kuna hitaji njia nyingi sana.Na jinsi unavyoweza lobby ndivyo hata mataifa kama China yatakavyobanwa kuweka vipingamizi vya kijinga kwa nchi zinazoongwa vibaya kama zetu.
nashukuru umeuona mtihani niliompa Deus F Mallya....ni wazi kwa kila mtu hapa kwamba ameshindwa kujibu mtihani ule na imeonyesha kwake kuwa, ni mbumbumbu kabisa wa sheria za jinai za kimataifa, na anajadili kitu bila kujua kabisa. pia inaonyesha kwa wana jf wengi tu humu ambao wanajadili topic hii kumbe hata hawajui hasa nini kinatakiwa au kinatakiwa kufanyika, nani anatakiwa afanye na ni namna gani mahakama ya icc inaendeshwa. it is unfortunate kusema kuwa, katika thread nyingi humu ndani watu wanajadili kwakutumia hisia, na si uhalisia.Nmesoma maelezo marefu ya mwanasheria alebobea wa international criminal law na mtihani alompa ndg deus malya.lakin badala ya kupima uwezo wa watu humu jf yeye bila kumumunya maneno atuambie kama polisi wa nchi hii wapo sahihi kuua raia wasio na silaha?
Hili litaondoa concentration ya watu wanaoumizwa na mauaji haya kusoma post za watu kama huyu mwanasheria asiyeguswa na mauaji haya
akili yako yooote ya kufikiri ndio imeishia hapo, huwezi kufikiri zaidi ya hapo. this clearly displays what you are!...napenda kukufahamisha kuwa, ocampo hakuwa judge wa icc, alikuwa prosecutor, au kwa jina lingine ni mwendesha mashitaka tu. na katika icc anayetakiwa kufungua shauri, si judge au bi helen kijo bisimba, ni prosecutor tu ndio anaweza kufungua shauri hasa la uchunguzi na kulipeleka pre-trial chambers palepale icc majaji sasa independently, watathmini kulinganan a sheria ya icc kama mashitaka hayo aliyofungua prosecutor (sio judge), ni admissible katika mahakama hiyo au la kulingana na vigezo vilivyowekwa na icc kwa yepi makosa yanaweza kuendeshwa pale na yepi hayawezi kuendeshwa, na whether national courts have exercised duty yao ya principle of complimentarity au la (kutumia mahakama za hapahapa), au kama mahakama za hapa zimeshashughulikia au la na kama kushughulikiwa huko kulifanyika impartially au la...yoote haya yanaweza yakachukua si chini ya mwaka mmoja...icc ikiona kuna sababu za msingi kwa shauri lile kufunguliwa pale na national courts hazijafanya hivyo ndio inakuja, huwa haiji moja kwa moja hivi. na icc haijakuwepo ili kureplace national courts, only where national courts have failed, are unable, unwilling etc to prosecute the perpetrator ndio icc inaingilia. pia si kila kesi icc inaipokea, hasahasa hii unayopiga domo.
sasa kwa akili zako zoote za kufikiri, umeishia kusema kuwa Deus F Mallya amekuwa clear....haujaangalia kabisa post zangu zoote, post zilizo nyingi nimekuwa nikiongea kwa mifano na kwa vifungu vya sheria, Deus hajaweka hata sheria moja, kwasababu hajui hata icc ni nini....anajua tu chadema. so, nakushauri, acha kuchangia post hii mara moja....labda kama wewe ni Deus wa ID nyingine sasa unajisupport mwenyewe ili uonekana umeongea kitu, hujaongea kitu aisee, utumbo mtupu.
nashukuru umeuona mtihani niliompa Deus F Mallya....ni wazi kwa kila mtu hapa kwamba ameshindwa kujibu mtihani ule na imeonyesha kwake kuwa, ni mbumbumbu kabisa wa sheria za jinai za kimataifa, na anajadili kitu bila kujua kabisa. pia inaonyesha kwa wana jf wengi tu humu ambao wanajadili topic hii kumbe hata hawajui hasa nini kinatakiwa au kinatakiwa kufanyika, nani anatakiwa afanye na ni namna gani mahakama ya icc inaendeshwa. it is unfortunate kusema kuwa, katika thread nyingi humu ndani watu wanajadili kwakutumia hisia, na si uhalisia.
nitajaribu kukujibu. polisi wa nchi hii hawapo sahihi kabisa kuua raia wasio na silaha, ndio maana tunasema lazima wakamatwe. raia wangekuwa na silaha, basi hata principle of excessive use of force. kama raia hana silaha au hatumii silaha, polisi hawatakiwi kabisa na hawajatumwa na selikali wakatumie nguvu iliyozidi kiwango. neno nguvu iliyozidi kiwango ni kwamba, mfano mtu akija na panga, tumia nguvu inayolingana na panga alonalo, akija na bunduki na wewe kama unayo bunduki tumia, akija na kisu, tumia kitu....tatizo linakuja hapa....mtu amekuja na mawe, wewe ukitumia bunduki kisheria ukiua itakuwa murder. au akuja na panga, wewe una bunduki ukampiga kwenye moyo iyo imezidi basi kama uliona panga lingekuzidi ungepiga hata mguuni ili ashindwe kukusogelea na kukukata na panga. etc. HAPA POLISI WALITUMIA EXCESSIVE FORCE NDIO MAANA TUNASEMA HAO POLISI LAZIMA WAKAMATWE. tukija kwenye suala la marehemu au mauaji...unasema kuwa mimi nashabikia au nafurahia mauaji. nakuona wewe ni walewale wanaofikiri kwa kutumia alivyosema masaburi...wengi humu mnataka tu kuamini kile mnachopenda kuamini hata kama ni wrong. hatufurahii mauaji, hata mungu mwenyewe huwa hafurahii mauaji...ila tulichokuwa tunajadili hapa ni kwamba kwa kosa hili hatuwezi kufanikiwa kuwafikisha polisi na makomanda wao icc, ila tunaweza kuwafikisha hapahapa bongo. vigezo havipo hapo, kwanza hatujaona kama tz imeshindwa kupeleka mahakamani, au haijaamua, etc kuna vigezo vingi nitajaza hapa....usijadili kwa hisia, tumia akili kichwani kujadili, lakini hata hivyo kama uwezo wako kufikiri ndio umeishia hapa, sikulaumu tutakuvumilia tu na tutaenda na wewe polepole hadi utafika kipindi utakuwa unaelewa kinachoongelea.
Deus F Mallya, kama kweli wewe ni deus, nilisikia hapa jf kuwa unataka kugombea ubunge, kusema ukweli toka moyoni, MIMI NISA INTEREST NA UBUNGE AU CHOCHOTE, LAKINI KWA AKILI YA KWAKO KAMA HII, UKIENDA BUNGENI UTAJAZA POINT UTUMBO PALE BUNGENI NA HAUTAKUWA NA MSAADA WOWOTE KWENYE JIMBO LAKO. KWA AKILI HII UWE MBUNGE, MWANANCHI WAKO ATAKUWAJE SASA? ni kitu gani kinachoshindikana kueleweka hapo jamani tuseme tu ukweli....hakuna mtu aliyeliweka jeshi la polisi kwenye greenline....uwezo huo hatuna kama sheria imewakamata. tunachosema ni kwamba, kwa jinsi sheria ilivyo, hata kama sisi tunapenda polisi hao wapelekwe icc, haitawezekana. labda kama unajibu hoja hapa bila kusoma vizuri mambo niliyoongea. uzuri ni kwamba, sheria huwa iko straight, laiti kama ungekuwa na uelewa au hata msingi wa sheria wa certificate tu hata ya chuo cha mtaani, pengine ungekuwa umefunguka macho kidogo na si hivyo.Mkuu inanitia shaka kubwa kuamini mtu anayejiita Mtaalam wa sheria kuliweka jeshi la polisi kwenye greenline juu ya mauaji yanayoendelea.. Ni aibu na huzuni kwa haki za binaadamu kama bado kuna msomi wa Sheria mwenye mrengo/mawazo ya aina hiyo!..
Deus F Mallya, jaribu kufikiri hadi mwisho wa akili yako yote, halafu eleza, ni kwa namna gani mnataka kwenda the hague....tafadhali eleza ili ueleweke....Napata shida sana kuelewa wasi wasi wako uko wapi!... Wewe kaa relax wala hujaambiwa usaidie chochote kufanikisha mkakati wa kwenda The Hague. Kwani ukikaa kimya na kusubiri itakuwaje? Ndiyo; wewe kaa subiri watu wafanye kazi. Sijui unatokwa na mapovu bure kwa interest gani.
Hivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga na Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012. Vurugu hizi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi aliyelipuliwa na Bomu na askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia baada ya kipigo kikali toka kwa askari zaidi ya sita
video kwa hisani ya chadematv
alicomment kwa nguvu zooote akiamini kuwa the hauge ipo uswiss....na anajiamini anachosema, ndio maana nilishasema humu ndani wengi wana uwelewa mdogo sana na wanachangia kwa kutumia hisia, na sio uhalisia wa jambo lilivyo.Mkuu naona kwa furaha ya jeshi la polisi kushitakiwa huko The Hague, umefurahi hadi ukaandika iko Uswisi kule kulikofichwa mabilioni yetu. The Hague iko Netherland / Holland / Uholanzi/ Nederland. Majina yote haya ni ya nchi moja. Iko katika jimbo la kusini liitwalo South Holland. Wenyewe wanaiita Den Haag (The Hague).
Hata hivyo nimeipenda hiyo.
naomba tu eleza hapa ili kujua kama unachoongea unakielewa au mweupe kama ulivyosema...NI KWA NAMNA GANI NA KWA NJIA GANI UNATAKA SUALA HILI LIFIKE ICC, na wewe utabadili yule prosecutor ili ufungue kesi au itakuwaje.....naomba jibu usikimbie maswali kama jana...kila mtu anajua wewe umekimbia maswali hapa na unajadili kwa hisia bila kujua chochote. haya, naomba jibu. by the way, ungelikuwa na uelewa wa sheria, ungejua kuwa sisi wanasheria huwa haturuhusiwi kujadili kitu bila either case law au kifungu cha sheria. ni lazima...ukijadili bila kifungu wala case law zinakuwa ni porojo za watu wa sociology au political science tu...nawaonea huruma watu ambao utakuja uwe mbunge wao, na nashangaa unaendelea kuuanika uwezo wako mdogo wa kujadili mambo na kuelewa mambo hapa...ningekuwa mimi ningeshanyamaza kwasababu unazidi kujianika jinsi ulivyo mweupe.Ni mara chache sana huwa nakubali kuingia kwenye ubishi wa kijinga kama huu!. Unapoamua kujitutumua na kudhani kuwa una eulewa na akili nyingi kuliko wote ndipo kunakokuonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo 'mweupe'. Unaamua kwa maksudi kukashifu na kudharau ili uelewe kinachoendelea na Mikakati ya Wanaharakati. Kwa njia hiyo hutaelewa chochote hadi siku unasikia wamefanikiwa azma yao njema kwa maslahi ya Haki za binaadam. Unadhani kutaja vifungu vya sheria ndo ushindi wa kesi au kuonyesha kuwa unajua kuliko wengine!.. Sited Cases nyingi haziwezi kupindua ukweli!.. Stay tuned!.
Deus F Mallya, jaribu kufikiri hadi mwisho wa akili yako yote, halafu eleza, ni kwa namna gani mnataka kwenda the hague....tafadhali eleza ili ueleweke....
akili yako yooote ya kufikiri ndio imeishia hapo, huwezi kufikiri zaidi ya hapo. this clearly displays what you are!...napenda kukufahamisha kuwa, ocampo hakuwa judge wa icc, alikuwa prosecutor, au kwa jina lingine ni mwendesha mashitaka tu. na katika icc anayetakiwa kufungua shauri, si judge au bi helen kijo bisimba, ni prosecutor tu ndio anaweza kufungua shauri hasa la uchunguzi na kulipeleka pre-trial chambers palepale icc majaji sasa independently, watathmini kulinganan a sheria ya icc kama mashitaka hayo aliyofungua prosecutor (sio judge), ni admissible katika mahakama hiyo au la kulingana na vigezo vilivyowekwa na icc kwa yepi makosa yanaweza kuendeshwa pale na yepi hayawezi kuendeshwa, na whether national courts have exercised duty yao ya principle of complimentarity au la (kutumia mahakama za hapahapa), au kama mahakama za hapa zimeshashughulikia au la na kama kushughulikiwa huko kulifanyika impartially au la...yoote haya yanaweza yakachukua si chini ya mwaka mmoja...icc ikiona kuna sababu za msingi kwa shauri lile kufunguliwa pale na national courts hazijafanya hivyo ndio inakuja, huwa haiji moja kwa moja hivi. na icc haijakuwepo ili kureplace national courts, only where national courts have failed, are unable, unwilling etc to prosecute the perpetrator ndio icc inaingilia. pia si kila kesi icc inaipokea, hasahasa hii unayopiga domo.
sasa kwa akili zako zoote za kufikiri, umeishia kusema kuwa Deus F Mallya amekuwa clear....haujaangalia kabisa post zangu zoote, post zilizo nyingi nimekuwa nikiongea kwa mifano na kwa vifungu vya sheria, Deus hajaweka hata sheria moja, kwasababu hajui hata icc ni nini....anajua tu chadema. so, nakushauri, acha kuchangia post hii mara moja....labda kama wewe ni Deus wa ID nyingine sasa unajisupport mwenyewe ili uonekana umeongea kitu, hujaongea kitu aisee, utumbo mtupu.
Naomba nichukuliwe km shahidi pindi watakapopelekwa The Hague.
alicomment kwa nguvu zooote akiamini kuwa the hauge ipo uswiss....na anajiamini anachosema, ndio maana nilishasema humu ndani wengi wana uwelewa mdogo sana na wanachangia kwa kutumia hisia, na sio uhalisia wa jambo lilivyo.
alicomment kwa nguvu zooote akiamini kuwa the hauge ipo uswiss....na anajiamini anachosema, ndio maana nilishasema humu ndani wengi wana uwelewa mdogo sana na wanachangia kwa kutumia hisia, na sio uhalisia wa jambo lilivyo.
Unaweza kuwa umesoma sana hiyo sheria na kukariri vitu vingi sana ila huna tofauti na "floppy disk" au "flash disk" ila bado ukawa si reasonable.Huna processing capability yoyote.Pengine ungewapa JF space ya kumwaga pictures na attachment nyingine.
Whatever language unatumia..bado hujatoa sababu kwanini route aliyotumia mama hukubali kuwa itamfikisha.Kama unajua ni "procecutors" au whoever kwa akili zako za kusaidiwa. Kwanini hutaki Mama Hellen achukue njia aonayo kuwa itamfikisha kwa huyo "procecutor".?Kwanza huyo mama kaonyesha kwa vitendo kuwa mzalendo na mtu anayejali haki za binadamu.Ila wewe umebaki piga debe kufanya kila kitu kionekane kuwa impossible.Kwa taarifa yako watu vijana majasiri wanaotoka vijijini uchagani, wakaingia mjini bila kujua pa kuanzia,ila ile detemination yao huwafikisha wapendapo.Watakwenda katika wrong places for sometimes ila finally watapata right place.Halafu inaelekea wewe ndio wale wapuuzi wanokaa katika nafasi fulani halafu kwa miaka mingi bila kuulizia kama kuna nafasi yoyote inayoweza saidia watu wa jamii anayotoka.Yanaishia tuu kutupa CV na kuondoka halafu yanabaki kusema haiwezekani.
Kwa upuuzi wako unaagalia geografia,tungekuwa tunafikiri kama wewe tungekuuliza pia .Mbona nikipanda KLM wakati naenda German napitishwa Uholanzi kwanza halafu ndio narudi Munich?Sometimes ukipewa majibu mafupi ina maana aliyekupa anaamini utelewa zaidi kwa vile kichwa yako ina uelewa fulani above average na kichwa inaprocess na kuta full concept.
Chakusangaza huyu Mama ni mwanamke ila hayupo kufanya kazi ya kulinda maharamia kama dume zima wewe,anao ujasiri katika roho ambao unauota.By the way kama ungekuwa una practical knowledge ya ukifanyacho basi ungejiamini kiasi fulani,ila hapa inaelekea bado unaamini kuwezeshwa.Hata ukiwa na rundo la vyeti katika profession yako halafu ukawa umezima "processing side of your brain", hata mtoto mdogo wa kimasai anayechunga ndama ambaye hata kusoma hajui atakupiga bao ktk common sense.Kama common sense inakushinda how can you manage uncommon Sense?
ID nyingine ya nini mazee?halafu ukiangalia postings za deus utaona tofauti sana na za kwangu.Kwako ni ngumu kuelewa kwa vile brain yako haijawahi tumika tu the extreme.Hembu angalia, languagu,urefu wa text, na hata carefullness ya mpangilio wa maneno, achilia mbali spelling.Deus yupo makini kwa hayo yote.Kwa ujumla haupo observant, na hivyo kubaki cluelesss kwa mengi unayoyaingia.
Acha ujinga wa kuchambua lugha na kufanya mambo magumu kwa wengine ili ubaki wewe ndio mwelewa...tumia kaili kodgo kulewa mambo.Kuna mazungumzo mengine hakuna ujanja yanahitaji watu wote wawe na above evearage understand, na haya utayakuta sana hapa JF.Kwako ni impossible( ingawa umesupport bila kujijua) kwa wengine ni possible.