Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 40,596
- 52,290
Mimi naona wamezidi.
Kuvi-sexualize vitu ambavyo vinahusishwa na watoto haijakaa sawa kwangu.
Ni sawa na mtu ende akatengeze filamu ya porn kwenye darasa la kindergarten with all those tiny chairs and tables laying around.
Sitamuelewa
Mimi naona kwenye hili umekuwa hypersensitive.
Wanacheza muziki na isitoshe, ni vikaragosi tu. It's not that bad. I actually got a chuckle out of it.
"kukujua" ndo kufanyaje?
:biggrin1: humu ndani kuna dalili ya wanaume kutongozana wao kwa wao
Unaweza kuwa umemkimbiza na ile 'mmhhhhh?'
mmmmmmhhhhh???:biggrin1: humu ndani kuna dalili ya wanaume kutongozana wao kwa wao