Bi harusi aingizwa mkenge na big boss!!!!!!!! Mji hauna mwenyeji!!!!

Watu kwa umbeaaaa!Mpaka ujue ishu nzima au mwenyewe unamjua nini, kunitafuta ushahidi? Kadi anayo, na lina jina, sasaivi yuko focused Kuokoa ndoa, gari baadae. AKISHINDWA KUOKOA NDOA, Gari itampooza LOLEST!! Priority ni kusamehewa hata kama itabidi GARI LIRUDI KWAO!!!! LOLEST!!!

kila lakheri.. si mnatuita mazombi?? ngoja tuwaoneshe uzombi sasa!!
 
Usituunganishe wadada wote wa mjini. Halafu nahisi km story ya kufikirika hv

We endelea kuhis tu, kila sehemu kuna maisha yake!!!! Mwenzio keshaliwa hapo!! Mimi wa kunihonga Starlet jasho, watu wanhongwa VOGUE na mdude gani ule @ mama delina. Mji una wenyewe huuu!
 
huyo mwanaume muoaji ndo lofa..,.majaribu gani hayo ya kumfanyia mpenzio

Hata mimi nimemchukia sana huyo mwanamume. Kwa michezo ya kipuuzi namba hiyo, hatakaa apate mke wa kuishi naye!

Kama alitaka kumwacha si angemwacha vizuri tu?

Kwani yeye akitegeshewa mrembo wa nguvu atachomoa?

Ameniudhi sana huyo mwanamume!

Babu DC!!
 
Mbona kadi za gari zinatengenezwa kwa elfu chache tu mitaa ya samora

We nawe hujawazoea tu hawa wakuja mjini!!! Ulipoishia kuandika na uelewa wao umeishia hapohapo. Usipoelezea mstari kwa msatri hawaambulii kitu!!!
 
waaat? where was i?
Hahaaaa! Katika vitu ambavo siwaziii ni spellings, as long as sentensi inaleta maana BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAS! Ukianzia juu utakuta za kukutosha kulalia! Hadi kiswahili nakosea
 
Hata mimi nimemchukia sana huyo mwanamume. Kwa michezo ya kipuuzi namba hiyo, hatakaa apate mke wa kuishi naye!

Kama alitaka kumwacha si angemwacha vizuri tu?

Kwani yeye akitegeshewa mrembo wa nguvu atachomoa?

Ameniudhi sana huyo mwanamume!

Babu DC!!

Maneno KUNTU HAYO!!! Pata Apple Maltizer Bariiidi ikulainishe koo kwa kutoa BIG POINT ujipatie usingizi!
 
Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Maneno KUNTU HAYO!!! Pata Apple Maltizer Bariiidi ikulainishe koo kwa kutoa BIG POINT ujipatie usingizi!

Unajua nini lara 1, huyo dada ana kosa la kutokuwa mwaminifu ila na huyo mwanamume ana kosa kubwa zaidi la kumwingiza mwenzake majaribuni. Kwani alikuwa anatafuta nini hadi afikie hapo?

Ndiyo maana, katika kosa la Eva kula tunda kule bustani ya Eden, hata nyoka alipigwa mvua za kutosha...Hakuachwa atambe kwa sababu alikuwa kisababishi kikubwa cha kuanguka kwa Eva.

Kama huyo binti angekuwa mjukuu wangu, ningempa moyo kwamba amshukuru Mungu kwa sababu kamuepusha na matatizo. Eti, mtu gani anakupenda halafu anakulengesha na vishawishi vya mamilioni ya fweza? Nani dunia hii hazitaki?

Angeanzia kwa Mkulu wake ambaye alishapigwa ofa ya suti ndo ajue kuwa fweza ni kitu kingine bwana!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Babu mi si nilikwambia wanaume wa miaka hii wa kichina!!! Mi hii ishu kanipa mwanamke, sasa sijajua SIDE B imekaa vipi hadi huyo bwana kaka kaona amuweke kwenye uzani mwenzie!!!! Nahamu kweli nijue chanzo cha TEGO, ila ndo hivo, vita kama hivi yabidi kuchagua UPANDE mapemaaa! na mimi my loyality lies with the lady!!!
 
Mie siwezi kumuelewa huyo mwanamume hata kama angekuja kunisimulia kwa masaa 24! Alikuwa na mbinu nyingi ambazo angetumia kumuacha mchumba wake kama kweli alikuja kugundua kwamba ni kimeo. Njia hii aliyotumia niya kitoto sana. Nina hakika watu wengi wenye busara watamwona kuwa huyu mwanamume ni kimeo sana.

Kwani hakujua kuwa mchumba siyo mke na kutoa mahari hakuna maana kuwa tayari ndoa imefungwa?

Bado hawezi kupata sababu ya kunifanya nimpe hata chembe ya muda wangu kumsikiliza kwani alikuwa na lake jambo, na sasa keshalipata!

I wish tungeweza kumfuatilia na kuona jinsi atakavyodeal na ndoa yake huko mbele ya safari!! He is simply hopeless!

Babu DC!!
 
Ha ha ha, umenikumbusha mbali, kuna mwana alikuwa daily anaenda bank moja jiran na ofisin mara kwa mara ku draw pesa za kutengeneza malori as mzee wake ana logistics company but iko mkoan sasa kwa bongo dharula zozote za service mambo anafanya kijana so account inajazwa salio na mshua,,

Kuna kidada cha bank ikabidi kishindwe kuvumulia na kumuuliza mwana upo kwenye epa scandal nini mbona account haiendan na umri wako unanitia vishawish nijitongozeshe (huyo sister alisema kiutani) jamaa alicheka sana,,, kazi zingine kwa wake zetu ni lawama
 
Weee Lara wewe, umemuumbua binamu yangu. Eti historia yake hairi......

Sasa bi dada pamoja na kutulia baada ya KUSTAAFU kuwa homa ya jiji historia yake huko nyuma si ya KURIDHISHA.
 
Inaonekana Rafiki yake ana msimamo zaidi kuliko mwanandoa mtarajiwa, namshauri bwana arusi mtarajiwa angehamisha majeshi kwa rafiki yake:
 
Ninachokiona hapa ni baadhi ya watu kutetea moral decay. Wanavyotetea utadhani ni halali kwa huyo mwanamke kujiuza kama ingelikuwa si mtego

Yeye ni mchumba wa mtu, she had no business going on a date to begin with, tena na client kazini ndio kabisaa.

Naamini haikuwa shughuli ya siku moja Hadi kukubaliana biashara hiyo ya mwili.

Sasa hadi kufikia hapo, sidhani kama sababu ya kuwa ni mtego inaweza kumpunguzia hata punje ya hatia

Sio mtu una mchumba ushatangaza kuolewa kisha unaenda dates...ni ukosefu wa maadili
 
Yeye ni mchumba wa mtu, she had no business going on a date to begin with, tena na client kazini ndio kabisaa.

I'd go even farther and say that she had no business going on a date with anyone under any circumstances except her fiance, no exceptions without fail.

But then again maybe I live in my own little cloud-cuckoo-land and don't really understand how the real world works!
 
Back
Top Bottom