Bhangi ni noma

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,301
Jamaa alinunua bangi akaenda nayo chumbani na kuanza kuvua nguo zote,kazima taa kisha akaanza kuvuta,baada ya muda akaona sio kali hivyo akavaa nguo gizan bila kujua kavaa sketi na blauz ya mkewe,akaelekea kwa pusha na kuanza kumuuliza mbona bangi yako sio kali?
Pusha:Kama hiyo ambayo sio kali umevaa nguo za mkeo,hiyo kali si ungepata PERIOD kabisa?
X_X
:O duh !!!!!
 
Baada ya kukoleza bangi jamaa anamuuliza mwenzake "vile lile jua au mwezi?" Anajibiwa "Bro sina uhahika mimi mgeni Dar"
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom