Beyoncé and Jay-Z's baby Blue Ivy - in pictures

kuficha siri................amini usiamini beyonce ana mtoto kabla ya kuolewa......................ila wanaficha..................huyu ni mtoto wa kispanish both parents...........................hakuna mm'atumbi hapo kipilipili hakipo hapo.................

Watu wengine sijui ni wivu unawasumbua. Aliyekwambia kila mtoto anazaliwa na kipilipili kama mlivyozaliwa navyo nyie ni nani?
 
.....Mtoto mchanga huyo, ndio kwanza mwezi mmoja. Watoto wachanga wengi wanaonekana kama wazungu, baada ya miezi 6 mtoto atabadilika. Mtoto pua na lips baba yake mtupu, ila baadaye atakuja fanana na mama yake.
Sio wazungu ... Watoto wachanga wote wanaozaliwa huwa na nywele za kiarab...haijalishi weupe brown au khaki ... na sio kwamba watoto wachanga wengi wanaonekana kama wazungu...
Kuna watu wengi washakataa watoto wao kuwa ni wa arab
 
Du kweli binadamu wanamambo. Lakini hauko mwenyewe CHAMOTO. Kuna watu wanasema hivi kuhusu hilo jina BLUE IVY
B ----- Born
L------Living
U------Under
E -----Evil

I-------Illuminati
V------Very
Y------Youngest

And BLUE IVY spelt backward -Eulb Yvi = Lucifers Daughter (in latin)

mhhhhhhhhhh
 
Watu wengine sijui ni wivu unawasumbua. Aliyekwambia kila mtoto anazaliwa na kipilipili kama mlivyozaliwa navyo nyie ni nani?

pole sana wivu uko wapi wakati mtoto siyo wao? kama somo hulijui ni vyema ukaficha ufahamu wako
 
mbona kama kuna mtu kaibiwa?
wao ni waumini wa dini ya shetani kwa hiyo haya ndiyo matunda yake..............hakuna kuibiwa ila ni mipango yao...........
 
Sio wazungu ... Watoto wachanga wote wanaozaliwa huwa na nywele za kiarab...haijalishi weupe brown au khaki ... na sio kwamba watoto wachanga wengi wanaonekana kama wazungu...
Kuna watu wengi washakataa watoto wao kuwa ni wa arab

huyo mtoto wazazi wake ni spaniola wala siyo waarabu.......................kwa hiyo andika patupu hapo..............
 
Du kweli binadamu wanamambo. Lakini hauko mwenyewe CHAMOTO. Kuna watu wanasema hivi kuhusu hilo jina BLUE IVY
B ----- Born
L------Living
U------Under
E -----Evil

I-------Illuminati
V------Very
Y------Youngest

And BLUE IVY spelt backward -Eulb Yvi = Lucifers Daughter (in latin)

KWELI JF NI DARASA!!! Endeleeni kutupatia Elimu.
 
Hivi Born living under evil maana yake nini? kwamba kazaliwa kuhishi chini ya shetani? Mi hata sijaelewa maana yake...

masharti ya u-freemason wayajua wewe?
 
Hivi Born living under evil maana yake nini? kwamba kazaliwa kuhishi chini ya shetani? Mi hata sijaelewa maana yake...

yaani kwa mtu mwenye akili za kuzaliwa, hapo hapotoshwi. Kingereza gani hicho? Yaani hata hakileti maana kabisa ukitafsiri. Yaani wajanja wanaopenda kuuza magazeti, blogs, cd na posters wanawapotosha na watu wanakubali. Jamani tufunguke, nø one can free ur mind frm slavery only yrself can make it...hata bob alisema. Tuache kuhukumu kwa symbols na maneno ya watu.
 
Unajua avata yako inamaanisha nini..Sidhani kama nitaweza amini utetezi wako..labda waseme wenngine. Avata yako imeharibu utetezi.

mkuu, naona avatar yangu ilikushangaza. Ok, just ilikuwa inaanisha A iliyotengenezwa kwa bikari na rule na kuweka shape ya 'A', Bikari na ruler ni alama ya tangu kipindi cha middle ages in egypt civilization, ni vifaa inatumika kujengea tangu kipindi cha Ramsel II. Pia vinamaanisha ujenzi wa kitu, mtu au kitu cha umuhimu duniani. Lebo ikiweka alama hiyo, inamaanisha they build somethng, either jengo, spiritual or tabia ya mtu. Na hata waroma waliitumia kumpa heshima Mungu kama mjenzi mkuu wa Dunia, now freemasom wanamuita Great Artichecture of The Universe. Logic hii inatumika kwa baadhi ya madhehebu na hata freemason huitumia. Ukiiweka jina na alama hii unamaanisha unaamini na unamshukuru Mungu aliyeijenga dunia. Kasome maana ya alama hii. Sio alama iliyoanzishwa na freemasons, ilikuwepo hata kabla ya kuja kwa freemason 1770's. Mungu akulinde. Gudnite.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom