Nicki Minaj kashinda award huku hana hata album...wtf?
Kuhusu joto la LA wala hujakosea
Wanaonesha vijumba vya udongo kwenye kijiji kimoja cha Tanzania...mimi wananiudhi sana hawa jamaa...aarrggghhh...lakini nisiwakasirikie sana. Ndio ukweli wa hali halisi...