Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,196
- 113,479
yo yo unataka hizo raba za soulja boy
sio mazoezi na kupunguza kula tu ndio kunamfanya mtu kuwa mrembo, ukiwa na mshiko nako kunasaidia.Ubarikiwe mkuu kwa picha.....mashori wetu wajifunze wawe wanafanya mazoezi na kupunguza kula kula......
wadada wengi wa town nawaona wakianza kuwa na mshiko ndio wanaanza kuwa wanene..maana wanaanza kula junk food si unajua ukila junk bongo ni una pesa......sio mazoezi na kupunguza kula tu ndio kunamfanya mtu kuwa mrembo, ukiwa na mshiko nako kunasaidia.
tehe tehe hizo raba sivai hata waje FFu.....raba gani ina marangi rangi kama upinde wa mvua....ile kitu aliovaa Swizz bana..
aaaah mkuu mambo ya majuu hayo Black entertaimennt television BET inafanyika huko kwa akina Nyani ngabuNyani na Yo Yo,
Hayo maonyesho ya Board of External Trade (BET) yalifanyikia wapi?
aaaah H.O.V.A bana hachemki kama hao wakina Weezey huwa wanachemka sometimes...I watched BET awards for the first time ever and I was so dissapointed with the show. Maybe they should have stuck with the original show and add bits and pieces here and there about Michael or have another tribute show altogether. Maxwell and the old school performances made it worth watching. I also thought Alicia Keys and Wyclef made good speeches. Lil Wayne with those under-ten year olds dancing like video girls was not cool and neither was his performance.