tinno criss
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 112
- 56
Nikweli Tunahitaji kufanya Changes, Join #Movement_Okoa_Jahazi Kutuunga Mkono, Kuna makosa mengi Yamesha Fanyika, Huu ndo wakati wa mabadiliko, lazma tukubariene na hilo wadau wote wa bongomovies Ili tuweze kuinuka hapa tulipo jikwaa,