Best wishes to all udsm students in your coming exams.

Mi ndo nalala hapa kama kawa nalalia jf.Kesho saa 2pm nina ki2 cha accounts.
 
Vijana vipi bado tetere huwa anataga (kuvuja paper) kabla ya UE mitaa ya Hall 2,5,7 na 4?
 
Senetor unaingia kwenye UE, have a goodluck, my last UE was around july 2010 in Mzumbe morogoro

dah mkatakiu! Ujue nn npo pale mzumbe dat kaul imenikumbusha pale mkwawa n people ov kukatakiu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom