Best Tanzanian university rank 2015

jorojo

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
1,642
11
BEST TANZANIAN UNIVERSITIES 2015: Latest Rankings 23 February 2015.

A list of best universities has just gotten out and
the result is something removed from the old
ones we have seen before. Most universities have however worked extremely harder to make the list of top 51 best universities in Tanzania while some others have skimmed off the list because they couldn’t increase their pace of improvements on certain things forming criteria
for ranking.

Note that in ranking these universities, four major factors have been considered:
i. their presence,
ii. rate of Impact,
iii. openness and
iv. academic excellence

Based on the world ranking web of universities, below are the 51 best universities in Tanzania and also their world ranking in bracket.

1. University of Dar Es Salaam (World rank: 2475)

2. Sokoine University of Agriculture (World rank:
4244)

3. Muhimbili University of Health and Allied
Sciences (World rank: 4642)

4. Open University of Tanzania (World rank:
5786)

5.University of Dodoma (World rank: 8368)

6. Hubert Kairuki Memorial University (World rank: 10813)

7. Mzumbe University (World rank: 12170)

8. Institute of Finance Management (World rank:14298)

9. Mkwawa University College of Education
(World rank: 14320)

10. Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (World rank: 15090)

11. Ardhi University (World rank: 16008)

12.Weill Bugando University College of Health Sciences (World rank: 16071)

13. Dar Es Salaam Institute of Technology (World rank: 16185)

14.Kilimanjaro Christian Medical University College (World rank: 16508)

15. Saint John’s University of Tanzania (World rank: 16516)

16. Saint Augustine University of Tanzania (World rank: 16534)

17. Tumaini University Makumira University
College (World rank: 17267)

18. State University of Zanzibar (World rank: 17365)

19. Moshi University College of Co-operative and Business Studies (World rank: 18253)

20. Mount Meru University (World rank: 18477)

21. International Medical & Technological
University (World rank: 18707)

22. College of Business Education (World rank:
18986)

23. Institute of Accountancy Arusha (World rank: 19036)

24. Mwalimu Nyerere Memorial Academy (World rank: 19151)

25. Teofilo Kisanji University (World rank: 19386)

26. Zanzibar University (World rank: 19608)

27. University of Bagamoyo Dar es Salaam (World rank: 19630)

28. University of Iringa (World rank: 19643)

29. St Joseph University in Tanzania (World rank:
19853)

30. Tanzanian Training Center for International
Health (World rank: 20267)

31. Sebastian Kolowa Memorial University (World rank: 20355)

32. Arusha Technical College (World rank: 20445)

33. Kampala International
University Dar es Salaam Campus (World rank: 20503)

34. Muslim University of Morogoro (World rank: 20588)

35. Mbeya University of Science and Technology
(World rank: 20764)

36. Dar es Salaam University College of Education (World rank: 20945)

37.Tumaini University Stefano Moshi Memorial
University College (World rank: 21682)

38.Ruaha University College (World rank: 21781)

39. Mwenge University College of Education
(World rank: 22026)

40. Archbishop Mihayo University College of
Tabora (World rank: 22087)

41. Josiah Kibira University College (World rank: 22247)

42. United African University of Tanzania (World rank: 22332)

43. Jordan University College (World rank: 22667)

44. University of Arusha (World rank: 22731)

45. St Francis University College of Health and
Allied Sciences (World rank: 22897)

46. Stella Maris Mtwara University College (World rank: 23086)

47. University College of Education Zanzibar (World rank: 23098)

48. Tumaini University Institute of Agriculture
(World rank: 23171)

49. Tumaini University Dar es Salaam College
(World rank: 23395)

50. Tanzania International University (World rank: 23622)

51. Eckernforde Tanga University (World rank: 23658)

SOURCE
http://www.webometrics.info/en/world
http://www.webometrics.info/en/Ranking_africa/Sub_saharan_Africa

http://buzzkenya.com/latest-ranking-for-best-tanzanian-universities-released/
 
Hapo wamechanganya pombe na chai, hivi institutes ni university? Hata kama zinatoa degree haziwezi itwa university hapo kuna michanganyiko, na mahaba
 
CHIPWILU!

Kiongozi kugoogle tu kunaweza kukupa takataka ndiyo maana kuna somo la searching techniques, kwani wewe umetafuna au umetafuniwa?

hizo msg zimecirculate toka asubuhi kuanzia kwenye wasapp, blogs lakini hazionyeshi source so usilazimishe kusearch kwenye google, ungetaja site accredited kwa kazi hiyo!http://www.4icu.org/tz/ unamaanisha hiyo?

Maelezo ya mtoa mada kuna Institutes na University kitu ambacho nakikosoa labda tuna school of thoughts tofauti mno!!
 
Udom tunakuja naona, mpaka tutakaa hapo juuu teh teh teh

Kwa kweli hongereni sana UDOM!!... Waru walikuja na kashfa nyingi sana kuhusu UDOM but now Mzumbe, IFM na wengine wanasubiri!!!! big up!!
 
Kwa kweli hongereni sana UDOM!!... Waru walikuja na kashfa nyingi sana kuhusu UDOM but now Mzumbe, IFM na wengine wanasubiri!!!! big up!!

Lakini kwa kusema kweli udom kuna collage zinapiga msuli sema bado collage kama moja au mbili ndo znatuangusha ila tutafika tuu
 
Hapo wamechanganya pombe na chai, hivi institutes ni university? Hata kama zinatoa degree haziwezi itwa university hapo kuna michanganyiko, na mahaba

Wewe elimika kidogo....!!!!!. kinachopimwa hapo ni degree zinazotoka kwenye chuo husika zina ubora kiasi gani. Hawatafuti uzuri wa jina la chuo.. So iwe taasisi, chuo au chuo kikuu swali ni je wanatoa digrii? Kama wanatoa inaubora kiasi gani? Hilo ndilo la msingi..

So jipime umesoma chuo gani, kama chuo chako kinaelekea kushuka waambie wakaze kamba!!
 
Hawa jamaa kwa miaka michache ijayo wanaweza wakashika namba moja.. Sababu ni moja tu..! Wengi wanaosoma OUT wako very determined, matured na mtu kaenda kusoma kweli!!!... Kwingine huku ni sarakasi tu..,,

Nitashukuru ukinipa uthibitisho na viambata vya sababu ulizotoa!
 
Wewe elimika kidogo....!!!!!. kinachopimwa hapo ni degree zinazotoka kwenye chuo husika zina ubora kiasi gani. Hawatafuti uzuri wa jina la chuo.. So iwe taasisi, chuo au chuo kikuu swali ni je wanatoa digrii? Kama wanatoa inaubora kiasi gani? Hilo ndilo la msingi..

So jipime umesoma chuo gani, kama chuo chako kinaelekea kushuka waambie wakaze kamba!!

Mkuu MFUKUZI ni nini kipimo kinachoweza kupima "ubora" wa degree?
 
Last edited by a moderator:
Wewe elimika kidogo....!!!!!. kinachopimwa hapo ni degree zinazotoka kwenye chuo husika zina ubora kiasi gani. Hawatafuti uzuri wa jina la chuo.. So iwe taasisi, chuo au chuo kikuu swali ni je wanatoa digrii? Kama wanatoa inaubora kiasi gani? Hilo ndilo la msingi..

So jipime umesoma chuo gani, kama chuo chako kinaelekea kushuka waambie wakaze kamba!!

Hutaniondoa kwenye dhana, naomba uniwekee source!!!! mimi nimepitia hapo na nimekuwekea link ya 2015 ni tofauti na kilichowekwa hapo sasa unang'ang'ania tu bila kuweka chanzo huo ni u great thinker gani?
 
Wewe elimika kidogo....!!!!!. kinachopimwa hapo ni degree zinazotoka kwenye chuo husika zina ubora kiasi gani. Hawatafuti uzuri wa jina la chuo.. So iwe taasisi, chuo au chuo kikuu swali ni je wanatoa digrii? Kama wanatoa inaubora kiasi gani? Hilo ndilo la msingi..

So jipime umesoma chuo gani, kama chuo chako kinaelekea kushuka waambie wakaze kamba!!

Mkuu, kinachoangaliwa ni Level ya elimu ya wahadhiri wenu, research walizofanya na kupost kwenye international journals, impact ya hizo research katika kuleta mabadiliko, product ya chuo katika market, level of technology pia inaangaliwa, ,.. Kama chuo chako hakiupdate information zake na wadau wake kwenye website, imekula kwenu! maana kumbka hawa jamaa wanapata informations kwenye website ya chuo husika... na Tuma za kusimamia vyuo kwenye nchi husika...
 
Thanks kwa mchango wako ndivyo ilivyo lakini bado hamjajibu swali la msingi source????? siyo suala la kugoogle, nimekuwekeeni site hapo juu ambayo ina vitu tofauti na vilivyomo hapa, tofauti hiyo ndiyo ninaitaka kwenu magreat thinker mje na source hapa!!!!!
 
Naona wale wa UDOM na OPEN UNIVERSITY mnajifariji,hivi hawa wanatumia sifa zipi hizo zinazoweza kuiweka ARDHI,Mzumbe,IAA,IFM chini ya OPEN na UDOM?!!!

Maajabu ndio hayo sasa......

Pole Wewe, Open University of Tanzania si ile ya miaka ya 90...sasa wako vizuri na sio siri wamejipanga. Acha kukalili mambo yanabadilika kwa kasi kubwa siku hizi
 
Back
Top Bottom