Best Quote: "Hata ingekuwa JM ningemtosa"

wanandugu naombeni mnipe info Za mama alichokisema bungeni ikiwezekana mtupe hotuba nzima kwani wengine tupo ughaibuni so hatuwezi kuangalia mijadala ya bungeni. U are the only source of info za nyumbani tuliyonayo.
BRAVO WANAJF
 
Mkuu the ishu ni taifa hapa, sio Es taifa liko njia panda tunasonga mbele muda wa personalities za watu na viongozi hatuna tena, maneno ya wachumba wa viongozi yapelekwe kwenye nywepesi nywepesi na udaku sio hapa, Lowassaa, Karamagi, Msabaha, Hosea, nje huu ni mwanzo tu, bado tunasonga mbele,

mwenye shida na mimi ES na wale wenye obssession na mimi nitafute kwenye PM nipe namba yako au nitakupa yangu tuongeee, kama una matusi ya kunipa lete huko, I love it, hoja hujibiwa kwa hoja, sio viroja hapa simjui mtu na hanijui mtu, you can say anything you want nafikiri by now unajua kuwa ni waste of time, the goal hapa ni taifa tu kumkoma nyani mpaka kieleweke!

FIELD MARSHALL ES,
NAKUSHUKURU KWA KUAMUA KWAKO KUJITOA KUTETEA UPUUZI WAKO. NILIKUULIZA SWALI KAMA WEWE UNAMJUA FIKA HUYO MAMA, LAKINI KWA KUSHINDWA KUJIBU SWALI NILILOKUULIZA NI WAZI KABISA KWAMBA HUMJUI KAMA UNAVYODAI AU UNAVYOTAKA KUFICHA YALE AMBAYO NI MAPUNGUFU YAKE. KAMA ILIVYO, PUBLIC IMAGE LAZIMA IJULIKANE KAMA ILIVYO KWA PUBLIC. SAMAHANI SANA KAMA UNAONA MISTARI YANGU IMEKUWA KAMA INATIBUA MWELEKEO WA ULAJI KATI YA SIKU MBILI HIZI.

IN SHORT HUYO MAMA NI 'OPPORTUNIST' NA HILI HUWEZI KULIBADILISHA. KAMA UNAMFAGILIA ETI TU KWA SABABU AMEKUWA AKICHUKUA 'HOJA' ZAKO NA KUZIPELEKA BUNGENI NADHANI HUO NI WAJIBU WA KILA MWAKILISHI, LAKINI NADHANI PIA HUENDA ALIKUWA AKITOA SIRI ZA NDANI BUNGENI NA KUKUPATIA UZIWEKE HUMU NDANI AU SIO?
ANNA NINAMFAHAMU A TO Z ANA MAPUNGUFU YAKE KADHAA KAMA BINADAMU WENGINE, KUNA TATIZO GANI WANANCHI WAKIFAHAMU MAPUNGUFU YA KIONGOZI WAO? AU UNATAKA NIONGELEE YALE UNAYOTAKA KUSIKIA WEWE TU? NI WATU WANGAPI HAPA WAMESEMWA MAPUNGUFU YAO NA UKAJITOKEZA HADHARANI KUWATETEA?
ACHA UZANDIKI.
 
Wewe ndio inaonekana una uzandiki na upuuzi hapa na wala usiite wenzako kwa hayo majina. Wewe unadai kuwa huyu mama ni opportunist na wala hutoi mifano ya kutetea kauli yako. Haya mambo ya kusema tu vitu bila kutoa data ndio upuuzi na uzandiki damn it!

Mkulu FMES ametoa data na maelezo ya kutosha kuhusu huyu mama ambaye wengi hapa JF tunamwona kuwa anagive 'em boyz huko bungeni hell na wewe ukaanza kumtukana bila sababu. Najua wewe na watetezi wa mafisadi wenzako huko ccm mlijenga chuki dhidi ya mama Malecela kwa vile alichukizwa na kuonyesha hadharani kuchukizwa kwake na kitendo cha kumfukuza Zitto bungeni. Chuki zenu zilizidi zaidi baada ya mama kushika bonge la bango ili mambo ya Lowasa na Karamagi yawekwe wazi.

Wewe unaona kama aliyofanya mama Malecela ni opportunism? Yeye anaonyesha hapa mfano kwa wabunge wa ccm kuwa wasingaganie tu kukubali mambo ya chama hata kama hayafai. Huyu mama MUNGU amlinde na wazandiki na wapuuzi kama wewe mnaotaka kumpaka matope kwa chuki zenu binafsi mwende hell!..... grrrrr unafanya mpaka nimekuja hapa weeekend (ambavyo sio kawaida yangu).

Hongera mama Kilango Malecela, wape hell hao boyz mafisadi mpaka kieleweke!
 
bangusule.....................

.....im sorry the statements quoted DO NOT MAKE SENSE AT ALL!!!.......na sidhani kama hayo maneno aliyazungumza huyu Mama unless akama alikuwa amelewa dengerua au kichaa.......mtu yeyote wa kawaida hawezi kusema hayo wakati serikali ilishasema itajenga sehemu zote mbili!!!!!!..................kama serikali iliahidi kujenga shule mbili moja uzambara na moja jitengeni..........tatizo liko wapi................kama imeanza kujengwa shule ya uzambara kaulize Wizara ya Elimu na utaratibu wao kwa nini wameanzia hukooo????.......................hata kama Anne Kilango ame-influence ianze ya uzambara.........tatizo liko wapi.....pengine ni perception yako tu .......jitengeni si kutajengwa nako!!!!!..............SHULE ZITAJENGWA......PERIOD!...............kuna hoja nyingine hapo mkuu

Ogah,

Haya maneno hajayasema huyu Mama ndio maana hata wanaoyasema hapa hawatoi source au reliable evidence kuwa yalisemwa. Hii ni kampeni imeanza ya kumpaka huyu mama matope kwa vile ameonekana kuwa Mwiba kwa mtandao........ Uongo mtupu na hautafanikiwa hapa JF.
 
Huyu Mama maneno yake aliyo yasema nilikuwa LIVE Dodoma yalikuwa mazito .Sasa nasema hivi . Tuhuma za yeye kuwa opportunist kama mtu zitabakia maana ukikataa sana unaweza kuwa unakosea .Opportunist ni hulka ya mtu hata Mwakyembe leo ame surface mambo lakini kuna wakati alimshauri Mkapa kuwakamata akina Seif kwa makosa ya uhaini baada ya mauji ya Zanzibar lakini leo amerudi katika sense na kasema mambo ya maana hapa .Huyu alikata issue nzito kwa uwazi kabisa .

Mengine yanaweza kuwepo ama yasiwepo lakini pia nakubalia kwamba Mzee ES anamfahamu sana huyu Mama mitaka ushahidi nitaweka hapa .
 
Wewe ndio inaonekana una uzandiki na upuuzi hapa na wala usiite wenzako kwa hayo majina. Wewe unadai kuwa huyu mama ni opportunist na wala hutoi mifano ya kutetea kauli yako. Haya mambo ya kusema tu vitu bila kutoa data ndio upuuzi na uzandiki damn it!

Mkulu FMES ametoa data na maelezo ya kutosha kuhusu huyu mama ambaye wengi hapa JF tunamwona kuwa anagive 'em boyz huko bungeni hell na wewe ukaanza kumtukana bila sababu. Najua wewe na watetezi wa mafisadi wenzako huko ccm mlijenga chuki dhidi ya mama Malecela kwa vile alichukizwa na kuonyesha hadharani kuchukizwa kwake na kitendo cha kumfukuza Zitto bungeni. Chuki zenu zilizidi zaidi baada ya mama kushika bonge la bango ili mambo ya Lowasa na Karamagi yawekwe wazi.
Wewe unaona kama aliyofanya mama Malecela ni opportunism? Yeye anaonyesha hapa mfano kwa wabunge wa ccm kuwa wasingaganie tu kukubali mambo ya chama hata kama hayafai. Huyu mama MUNGU amlinde na wazandiki na wapuuzi kama wewe mnaotaka kumpaka matope kwa chuki zenu binafsi mwende hell!..... grrrrr unafanya mpaka nimekuja hapa weeekend (ambavyo sio kawaida yangu).

Hongera mama Kilango Malecela, wape hell hao boyz mafisadi mpaka kieleweke!

MWAFRIKA WA KIKE,
NIMEFURAHI KUONA KUWA KUMBE UNAWEZA KUTUNGA HABARI AMBAYO SI YA KWELI JUU YANGU KAMA ULIVYOITUNDIKA HAPO JUU. LAKINI NADHANI HUO NDIO UKWELI JUU YA FIKRA ZAKO NA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI.
KAZI YANGU NILIKWISHAMALIZA NA KUIELEZA PUBLIC KUWA HUYO MAMA NI OPPORTUNIST. KWA YEYOTE ANAYEKERWA NA UKWELI HUU I AM SORRY , I CAN'T HELP. ZAIDI YA HAPO, KATU SITAWEZA KUUBADILI UKWELI HUO UWE VINGINEVYO. SHE IS AN OPPORTUNIST.
BINAFSI SINA CHUKI NAYE HATA KIDOGO, LAKINI KAMA MNAMPENDA SANA NA HAMTAKI ASIONGELEWE, BASI NENDENI MKANYWE NAE CHAI AWAPATIE 'NYETI' ZA BUNGENI NA NYINGINE ANAZOZIPATA SERIKALINI.
 
Ogah,

kitu gani usichoelewa? nitajitahidi kadri yangu kueleza kilichotokea.

jimbo la same-mashariki lina kata 14. wakati ndhira 'daniel yona' zilijengwa shule 13 za sekondari za kata.

mama ana kilango alipofaulu ubunge kukafanyika kikao kuona jinsi ya kujenga shule ktk eneo linaloitwa kihurio.

katika kikao hicho ikaamuliwa zijengwe shule mbili. moja ijengwe jitengeni nyingine ijengwe uzambara. kijiji alichozaliwa mama kilango kinaitwa uzambara.

mama kilango alipinga ujenzi wa shule jitengeni lakini alizidiwa kwa hoja. serikali ilitoa ahadi ya kugharamia ujenzi wa shule mbili.

baada ya vikao mama kilango akaanza kuwatisha wananchi kwamba atahakikisha shule inajengwa alikozaliwa yeye uzambara.

baadaye katika mkutano wa hadhara uliofanyika jitengeni kihurio same-mashariki mama kilango akatoa kauli ifuatayo:-

"mimi anna kilango nasema hakuna shule itakayojengwa hapa Jitengeni. sitaki kusikia mtu anazungumzia suala hili tena. anayetaka kuliendeleza akazungumze na mkewe chumbani."

wananchi wamekasirishwa na kauli za dharau alizotoa mama kilango. ndiyo maana sasa wameanzisha kampeni ya kumuondoa mama kilango katika uchaguzi wa 2010.

mama anna kilango anasema alitishwa bungeni. yeye mbona anawatisha wananchi wanaolilia maendeleo? kupinga kwake ujenzi wa sekondari jitengeni ni ufisadi. lugha anazotumia ni za matusi na kifisadi pia.
 
Jamani hili swala la Spika kumnongeneza in advance Lowassa kuhusu tuhuma za richmond kabla hazijazungumzwa na Bungeni na Lowassa kulisema wakati anajitetea kuhusu kashfa ya Richmond wazee mnalionaje?miye naona kama vile inabidi kumsimamiya naye Spika Sitta ajiuzulu kwa kuamua kutoa taarifa kwa upendeleo kwa Mhe Lowassa kabla haijawa wazi kwa wabunge wengine kwa maana alikuwa anataka kumbeba.
Najenga hoja hiyo
 
Mimi sijui sana kuhusu ukweli wa hiyo hoja aliyoitoa Bangusule kama ni kweli au lah , lakini najua ya kuwa Politics ni dynamic . Ndio maana kila baada ya wiki watu wanachukua polls kujua respond ya wananchi .

Swali langu kwako mtoa hoja jee umeshawafuata watu wa Same na kujua respond yao baada ya Mama kutoa duku duku lake Bungeni ? Kwa jinsi nilivyosikia jina la Mama Malecela limekuwa sana baada ya ujasiri alionyesha pale Bungeni, wananchi wengi wamemkubali ! Kwa hiyo unaposema wananchi wa Same wanamchukia jee umeshanya research kujua respond yao baada ya kikao cha bunge ? Halafu vile vile nahisi una-undersetimate nguvu ya media , unajua ni magazeti mangapi yalimsifu huyu mama ? Trust me wananchi wengi wa Same watakuwa lured na haya magazeti...

Remember Politico is Dynamic ...
 
Jamani hili swala la Spika kumnongeneza in advance Lowassa kuhusu tuhuma za richmond kabla hazijazungumzwa na Bungeni na Lowassa kulisema wakati anajitetea kuhusu kashfa ya Richmond wazee mnalionaje?miye naona kama vile inabidi kumsimamiya naye Spika Sitta ajiuzulu kwa kuamua kutoa taarifa kwa upendeleo kwa Mhe Lowassa kabla haijawa wazi kwa wabunge wengine kwa maana alikuwa anataka kumbeba.
Najenga hoja hiyo

Sidhani kama kumnong'oneza kungeweza kuathiri au kubadilisha hali iliyotokea.
Hata hivyo usijali sana, kama ni kwenye football tunasema hivi: EL alikuwa tayari ameshaunawa mpira ndani ya kumi na nane, penati ilipigwa na refa akasema mpira kati.
 
Huyu mama niungane nanyi yuko fit kwa kweli. Nimemfuatilia kwa karibu kidogo, she seems to be serious. Nakumbuka walipotembelea bandarini alilalama sana kuhusu mkataba wa TICS ya kaamaji. Na Richmond pia alishaishikia bango sana tu.

Ila hofu yangu kubwa ni JK alivyomjinga atampa uwaziri na ndio tutakuwa tumempoteza kabisa bungeni hata ikomanyani giladi tena serikali.JK sio mtu wa kuibua vipaji anapenda majina lakini pia itakuwa mbinu ya kupunguza nguvu ya bunge.
 
"Haiwekani watu wachache kwa manufaa yao wamefanya uzembe wa kupoteza fedha zote hizi na mzigo huo kumpa mwananchi wa hali ya chini halafu waendelee kukaa bungeni huku wakinesa kwenye viti vya kuzunguka suluhisho ni kushtakiwa ili taratibu zingine zifanyike kadri sheria itakavyokuwa inaelekeza," alisema Mchungaji Mtikila.
 
"Watu wengi sasa wamebaki kusifu uteuzi wa Bw. Pinda, tuachane nao ili tung'ang'anie vitu vya msingi na kuhakikisha fedha zilizoibwa zinarudi, " alisema Mchungaji Mtikila.

"TAKUKURU ilitumika kuisafisha Richmond hivi kweli leo unaipa dhamana tena ya kuchunguza upotevu wa mabilioni itaweza? Hatuna imani tena na Taasisi hii bali watafutwe wataalam wengine wafanye kazi hii nyeti ili kuweza kurejesha fedha za wananchi," alisema Mchungaji Mtikila.
 
"Nilidhani zile hisia za Kimasai na Kimeru zingechanganyika na kumfanya aseme siondoki," alisema Askofu Mwamasika na kusababisha kicheko kwa waumini wake.

"Wenzetu huko wanakataa na sasa wanaoumia ni watu wa chini, hivi ingekuwa ni Kenya, kisha Bw. Lowassa akasema Wamasai na Wameru ninatakiwa kuondoka, anzeni kazi, pangekalika?"
Alihoji Askofu Mwamasika.
 
mwanasheria wa serikali atuma ujumbe magazetini
Ujumbe huo ulisema: “Mnanitafuta lakini mjue kwamba mimi sina tatizo lolote. Mungu ndiye anayejua yote. Mimi namwomba awasemehe kwa hayo yote. Amen.” Hata hivyo, juhudi za gazeti hili kumpigia simu ziligonga mwamba baada ya mwanasheria huyo kutopokea simu iliyotaka kufahamu nia ya Mwanyika kutuma ujumbe huo.
 
Jumamosi Lowassa alipokewa na wapambe wake airport alivyorudi bongo nasikia akaenda home kuchoma nyama kawma kawaida yake.
 
hoja hujibiwa kwa hoja, sio viroja hapa simjui mtu na hanijui mtu, you can say anything you want nafikiri by now unajua kuwa ni waste of time, the goal hapa ni taifa tu kumkoma nyani mpaka kieleweke!
Hiyu mama wengi tunamkubali kwa jinsi anavyojua kushupalia mafisadi, lakini hebu nifumbueni kidogo jinsi alivyompata mzee JM mara baada ya kufiwa na mkewe, je sio mzee aliikwaa mitego ya ki-vietnam ya huyo mama? na kwanini alikorofishana na watoto wa mzee JM mpaka wakatengana kidogo na nusura hapo amtose mzee? kwii kwii kwiii opportunist kwiikkk
 
Mama Anna Kilango, Mheshimiwa mbunge ni mwanasiasa, na wanasiasa wote duniani ni ma-opportunist kwa sababu ni mwanasiasa mjinga tu ndiye anyeweza kusema kuwa ameridhika na ubunge tu, kila mwanasiasa duniani ni lazima awe na lengo la kuwa waziri, waziri mkuu, mpaka rais, mchezo wa siasa unachezwa kwa opportunity ndio maana wagombea wa siasa kama Pinda, aliposhindwa ubunge mara ya kwanza hakukata tamaa, akarudia tena opportunity ilipotokea na leo ni Waziri Mkuu, sasa Pundamilia kama hii ndio opportunism uliyokuwa unaiongelea kwa mbunge huyu wa Same East, I can understand, lakini you were wrong kujaribu kuiweka hiyo kwenye personal life yake,

Sasa hivi uchumi wa US ni mbovu, Republicans wameiona hiyo opporunity na kuamua kutoa rebate checks za taxes ili kujiweka sawa na wananchi kwa ajili ya uchaguzi wa rais ujao, unless tuna matatizo ya kuelewa maana ya neno "Political Opportunism", ninasema kuwa yes Mbunge Mama Anna Kilango, ni political opportubist kwa sababu ameiona an open political opportunity ya kujiweka sawa kisiasa na ameitumia, bila ya uoga na kujiwekea jina kubwa sana kwenye siasa zetu za kupambana na mafisadi, na tunamuombea Mungu ampe moyo huo huo, atakapoona opportunity nyingine ajitokeze tena, maana inaonekana Bongo tutakombolewa na hawa kind ya political opportunists,

Kuhusu jimbo lake la uchaguzi, kabla hajagombea tulisikia haya haya kuwa hawezi kumtoa waziri Yona, in the end akamuondoa tena Yona alishika nafasi ya tatu, wala sio ya pili waziri mzima against huyu mama, Keenja alishindwa naye kule Ubungo, ikabidi kuiba kura, mkuuu mama ataendelea na ubunge kule Same East maana anakubalika sana, tena sana, muulize mbunge wa West aliyejaribu kum-cross kwenye ujenzi wa soko mama alimuendea kwa rais, rais mwenyewe akaenda kule Same zote mbili, na akaamuru soko lijengwe East, na yule waziri wa West akaondolewa kwenye wizara ya mlo, mkuu bara bara haikutegemewa kujengwa huko Same East, lakini juhudi za huyu mbunge, Rais alienda huko tena majuzi na kuhakikisha mwenyewe kuwa mradi unaendelea. Mama ni mbunge shujaaa haogopi kiongozi yoyote, siku ya Zitto kusimamishwa bunge, Lowassa alimtumia Buriani, kumtisha, mama akaamua kwenda kuonana naye uso kwa uso mkuu Edward na kumpa maneno mazito ambayo hata siwezi kuyasema hapa, na alimuahidi kuwa edward kuna siku nitakutwanga, and she did the other day tena mchana kweupeeeee wote wananchi tukiona, that is leadership mkuu, kama ni opporutnism so be it, lakini wananchi wnegi wameridhika naye mkuu, tafuta magazeti ya bongo uone mkuu, mama anapeta,

Labda Tanzania, tutakombolewa na politicians ambao ni opporutnists, kama kina Mwakyembe, na Mama Kilango, maana ni through their political opportunism The Mighty Lowassa, ameondolewa, the untouchables Karamagi, na Msabaha wameachia ngazi,

Mungu Aibariki Tanzania!
 
MWAFRIKA WA KIKE,
NIMEFURAHI KUONA KUWA KUMBE UNAWEZA KUTUNGA HABARI AMBAYO SI YA KWELI JUU YANGU KAMA ULIVYOITUNDIKA HAPO JUU. LAKINI NADHANI HUO NDIO UKWELI JUU YA FIKRA ZAKO NA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI.
KAZI YANGU NILIKWISHAMALIZA NA KUIELEZA PUBLIC KUWA HUYO MAMA NI OPPORTUNIST. KWA YEYOTE ANAYEKERWA NA UKWELI HUU I AM SORRY , I CAN'T HELP. ZAIDI YA HAPO, KATU SITAWEZA KUUBADILI UKWELI HUO UWE VINGINEVYO. SHE IS AN OPPORTUNIST.
BINAFSI SINA CHUKI NAYE HATA KIDOGO, LAKINI KAMA MNAMPENDA SANA NA HAMTAKI ASIONGELEWE, BASI NENDENI MKANYWE NAE CHAI AWAPATIE 'NYETI' ZA BUNGENI NA NYINGINE ANAZOZIPATA SERIKALINI.

Kutunga habari wapi zaidi ya hizi unazotunga? Watu wengine mkiitwa kusimamia uongo wenu hapa JF mnapenda sana kuongelea uwezo wangu wa kufikiri, wengine mkiniita mtoto na mengine mengi ili mradi tu msiwe accountable kwa maneno yenu ya uongo na kifisadi mnayoweka hapa.

Mimi sina chochote ninachogain toka kwa mama Kilango binafsi na ukichukulia kuwa yeye ni ccm na mimi ni mpinzania basi ningekuwa na kila sababu ya kutomuunga mkono. Ukweli ni kuwa tunachofanya hapa ni manufaa ya Tanzania kwanza zaidi ya vyama na so far huyu mama ameonyesha kusimamia maslahi ya Tanzania zaidi ya chama chake na mimi nampongeza kwa hilo.

Watetezi wa mafisadi mjinyonge tu kama mna hasira sana ila nakuhakikishia kuwa kashfa za kutunga dhidi ya huyu mama hapa JF hazitafanikiwa.
 
Ogah,

kitu gani usichoelewa? nitajitahidi kadri yangu kueleza kilichotokea.

jimbo la same-mashariki lina kata 14. wakati ndhira 'daniel yona' zilijengwa shule 13 za sekondari za kata.

mama ana kilango alipofaulu ubunge kukafanyika kikao kuona jinsi ya kujenga shule ktk eneo linaloitwa kihurio.

katika kikao hicho ikaamuliwa zijengwe shule mbili. moja ijengwe jitengeni nyingine ijengwe uzambara. kijiji alichozaliwa mama kilango kinaitwa uzambara.

mama kilango alipinga ujenzi wa shule jitengeni lakini alizidiwa kwa hoja. serikali ilitoa ahadi ya kugharamia ujenzi wa shule mbili.

baada ya vikao mama kilango akaanza kuwatisha wananchi kwamba atahakikisha shule inajengwa alikozaliwa yeye uzambara.

baadaye katika mkutano wa hadhara uliofanyika jitengeni kihurio same-mashariki mama kilango akatoa kauli ifuatayo:-

"mimi anna kilango nasema hakuna shule itakayojengwa hapa Jitengeni. sitaki kusikia mtu anazungumzia suala hili tena. anayetaka kuliendeleza akazungumze na mkewe chumbani."

wananchi wamekasirishwa na kauli za dharau alizotoa mama kilango. ndiyo maana sasa wameanzisha kampeni ya kumuondoa mama kilango katika uchaguzi wa 2010.

mama anna kilango anasema alitishwa bungeni. yeye mbona anawatisha wananchi wanaolilia maendeleo? kupinga kwake ujenzi wa sekondari jitengeni ni ufisadi. lugha anazotumia ni za matusi na kifisadi pia.

JF iko level kubwa zaidi ya habari za kusadikika kama hizi. Habari hata haina source, haisemi kikao hicho kilifanyika wapi na nani alisimamia hicho kikao, nani alikuwepo, magazeti au vyombo gani vya habari vilitoa hii habari. This is just a total fabrication of news. Haya mambo ya gazeti la majira kutunga habari za uongo na kuziandika kama za kweli yalishakataliwa hapa JF ndugu yangu kabla hujajisajili kwa jina hili!
 
Back
Top Bottom