Best novel

The zahir - Paulo coelho
The stranger in the mirror- Sydney Sheldon
Learning the hardway - Yusuph Akilimali
 
Absolute Power & Total Control - David Baldacci

This Way for a Shroud - James Hadley Chase
 
The God father by Mario Puzo,Vulture is a patient bird by James Hadley Chase and all Robert Ludlum novels
 
Safi sana wakuu kumbe wenzangu wengi,
Kiswahili: Najiskia kuuwa tena, pilipilipili, Willy Gamba series, Rosa mistika
English; 1. ROBERT LUDRUM's The scarlet Inheritance, The road to Gondolfo, The icarus agenda, Bourne series,
The materise series, the Passifal mossaic, Lazarus Vandetta, The road to omaha, Holocroft convenant
2. FREDRIC FORSYTH'S The day of the Jackal, The negotiator,

3. DAVID BALDACC'S The Camel club, The last man standing, The simple genius, Absolute power,
The winner, The whole truth, Zero day,The six man, The collectors, Divine justice, Stone cold,
First family,Deliver us from evil, Split second, Total control, Hour game, Wish you well and Saving faith

4. JEFFREY ARCHER, Eleven commandments, Cain and Abel, , Honor among thieves, First among equals,
Prisoner of birth, The fourth estate,

5. DAN BROWN, The davinc code, The digital fotress, the lost symbol, Inferno, Angels and demons, Deception
point
6. JOHN GRISHAM, The firm, The street lawyer, The rain maker, The runaway jury,
7. MARIO PUZO, The omerta, The last don, The return of the Godfather, The Godfather, Fools die
8. Nick carters, James hadrey chase and Perry masons OLD IS GOLD
 
Veronica decides to die-Paulo Coelho
Rage of Angles - sidney Sheldon
Legacy of silence - Belva Plain
The moonlight becomes u-Mary Higgins Clark
So far those are the bestest novels kwangu kati ya nilizosoma.
 
Yaani wengine huwa tunakimbilia huko kwenye novels, mkuu novelist wako wengi mno, kuna huyu wa Tom Clancy, mchungu nae, novel zake zingine zilitungiwa filamu kama, The Hunt for Red October, Patriot Games, Clear and Present Danger, The Sum of All Fears, Executive Order etc. Film fresh ila novels zinatoa details zaidi..
 
Kuna Novel Moja Ya Kipindi Cha Ujamaa Inaitwa Bosi. Natamani Niipate Niisome Tena. Na Kuna Nyingine Inaitwa Dunia Uwanja Wa Fujo.
 
joram kiango salam kutoka kuzimu. tutarud na roho zetu.
mkimbizi.
nataman kuua tena
rais anampenda mke w angu
alan quateman.
Alfu ulela ulela we acha tu
 
Dar Es salaam usiku
simu ya kifo
mdunguaji
pesa zako zinanuka
Mhanga wa ikulu...
 
ukiondoa selected novels za darasani o level na A level nimesoma novel 35, nyingi zinavutia sana, kama vile Rosa mistika, vuta n kuvute, joka la mdimu, madam this is honey, blood harvest cha richard kunzman james hardley chase nimesoma novel zake 20 vingi vinavutia kulingana na dhima ya maudhui ya mtunzi vya james hardley chase navipenda sana just a matter of time, the things men do, the way the cookies crumble , the guilty are afraid, the world in my pocket, an ace up my sleeve na joker in the park orodha ni ndefu nadhani nimeeleweka
 
Aquitaine Progression je? Ya Ludlum? Emmh! Kwa Ludlum I give kudos za ziada for Bourne Identity
 
Jackal: Carlos the Jackal by John Follain... Hii nimesoma kipindi kile nikisoma Kibohehe Sec, Kilimanjaro.
But hivi jamaa kuna novel Kama papilon? Mbona hamjamtaja mtumzi maarufu wa novel za pori na za ki south - Wilbur Smith?
 
Yaani wengine huwa tunakimbilia huko kwenye novels, mkuu novelist wako wengi mno, kuna huyu wa Tom Clancy, mchungu nae, novel zake zingine zilitungiwa filamu kama, The Hunt for Red October, Patriot Games, Clear and Present Danger, The Sum of All Fears, Executive Order etc. Film fresh ila novels zinatoa details zaidi..
Yaah Tom Clancy mzuri ila usichoke details zake za medani ya kijesh
 
Back
Top Bottom