Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
Salute mkuu, nimekukubali! :yo:
Umeona The girl with a dragon tattoo? Kama hujaona na usione. Nice movie, nice scenario, good music and graphics, good actors... almost the perfect suspense movie... wakaharibu kitu kimoja tu: crude brutality...
Nimeigomea kuiangalia kwa sababu nilisoma kitabu chake long time na kwangu mara nyingi huwa disappointment kitabu kinapogeuzwa filamu na hujikuta kutaka kurudishiwa dakika zangu 120 nilizopoteza
Btw: hicho kitabu kilijaa crude brutality vile vile, kwa hiyo sana sana itakuwa wamejaribu kukaribia kitabu kilivyokuwa