Best gang movies must see

dah nimeongeza hizi kutoka kwenye michango yenu katika hii list nimeona casino peke yake

Gangster Paradise: Jerusalema
Casino
The Sicilian
Carito's Way
The City of God (Cidade de Deus)
City of Men
A bronx Tale

kuna movie mpya ya comedy check trailer hapo chini inatwa paul released 2011 download hapa http://www.kat.ph/paul-2011-dvdrip-xvid-maxspeed-t5562078.html

Last edited by a moderator:
City of God sikupenda kitu kimoja tu watoto wanauiliwa, niko against violent killings za watoto kwenye movies i.e kwenye The Specialist au Losers.

Mmesahau Untouchables, Public Enemies.
Kwenye City of God watoto ambao walikuwa na wao kwenye gangas walikuwa wanauawa thou i didn't like it as well ila Brazil na wenyewe wana Slums za hatari
 
dah nimeongeza hizi kutoka kwenye michango yenu katika hii list nimeona casino peke yake

Gangster Paradise: Jerusalema
Casino
The Sicilian
Carito's Way
The City of God (Cidade de Deus)
City of Men
A bronx Tale

kuna movie mpya ya comedy check trailer hapo chini inatwa paul released 2011 download hapa Download Paul (2011) DVDRip XviD-MAXSPEED Torrent - KickassTorrents

Viper nafikiri kwa mwaka wa 2011 movie ya comedy niliyoangalia na imeniacha hoi and i would suggest you watch it and you will laugh your ass of ni HALL PASS ya Owen Wilson
 
Last edited by a moderator:
Viper nafikiri kwa mwaka wa 2011 movie ya comedy niliyoangalia na imeniacha hoi and i would suggest you watch it and you will laugh your ass of ni HALL PASS ya Owen Wilson

yeh movie imetulia .. mkuu! what about kong Fu panda part II
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom