Best gang movies must see

The Godfather Trilorogy
The Sicilian
Carito's Way
The City of God
Hizo nzuri sana ila The City of God nimeipenda kutokana na kwamba hadi watoto wa miaka 10 nao hawaaminiki unacheka naye dakika mbili anakugeuzia kibao anakuua Brazilians did a great job on that movie
 
Hivi The Boss hadi sasa hivi hajalifikisha faili atakuwa na ajenda ya siri anataka kupitia info zako kwanza ila lilikuwa sealed i doubt kama ameweza kulifungua

ndio maana ya kuandikwa CONFIDENTIAL lol
mpaka uwe na privildge ya ki boss lol
 
Hivi The Boss hadi sasa hivi hajalifikisha faili atakuwa na ajenda ya siri anataka kupitia info zako kwanza ila lilikuwa sealed i doubt kama ameweza kulifungua

We si nilikwambia ile tu kumkabidhi hujanitendea haki....lol
 
Jane Austen's Mafia!!nilipata kuiona mara moja tu mnet,nimejaribu kuitafuta siipati.naomba alienayo aeke link!
 
City of God sikupenda kitu kimoja tu watoto wanauiliwa, niko against violent killings za watoto kwenye movies i.e kwenye The Specialist au Losers.

Mmesahau Untouchables, Public Enemies.
 
City of God sikupenda kitu kimoja tu watoto wanauiliwa, niko against violent killings za watoto kwenye movies i.e kwenye The Specialist au Losers.

Mmesahau Untouchables, Public Enemies.

Katika The Specialist kuna watoto wauwawa??? Naikubali the movie but don't remember that part..
I love Untouchables... lovely... But Public Enemies.... Spectacular, i can forever watch, watch and watch again!!!
 
Mwanzoni wakati bomu linalipua gari.. might have been mtoto mmoja been years tangu nimeiangalia hiyo movie.
 
mimi kwenye the specialist nakumbuka ile scene ya bafuni tu....
sikumbuki kingine
 
mimi kwenye the specialist nakumbuka ile scene ya bafuni tu....
sikumbuki kingine

Typical, typical, na najua it is deliberate for ulijua mbeya atapita hapa!!! lol
Mi nakumbuka wakati sharone anaingia na the white dress pale club...
 
Tafuteni Pia A bronx Tale. 1992. Movie nzuri sana ya maisha ya kitaa kijana wa kitaaliano toka akiwa mdogo mpakaanakuwa mkubwa.

Katika secne moja siku moja dogo karudi na mkwanja kibao home ambao hata baba yake kwa miezi sita halipwikwenye kazi ya kuendesha basi Mama anataka wazitumie dingi anataka wazirudishe kwa ma gang star. ........ Nisimalize utamu

Soma review zake hapa A Bronx Tale (1993) - IMDb

Inakwenda kwa style za simulizi . Ni nzuri sana

Na kama walivyotaja wadau pia The Godfather, City of God, Goodfellas nazo kali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom