best driving school mwanza town

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Wadau naomba msaada kwa mtu anayefahamu chuo kizuri kinachofundisha basic driving kwa kiwango kizuri nina mwezi mmoja tu wa likizo niwe naweza kuendesha gari ili niweze kufanya kazi zangu vizuri.
kwa anayefahamu naomba anijuze hata kama sio mwanza naomba kujua nitatafuta namnaya kufanya
 
Poa mkuu nitafika hapo Igoma nionane nao ajira zingine tabu tupu usipoendesha ni mapungufu
 
Back
Top Bottom