Best Clinics for prenatal care

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
18,146
34,190
Hello Wana JF. Naombeni kuelekezwa spitali nzuri ambayo inatoa huduma nzuri za clinic kwa wajawazito pamoja na huduma ya kujifungua. Hapa Hubert Kairuki Mikocheni huduma zao ni mbovu. They are not professionals and their attitude is determined by the depth of your pocket. Yaani wapo kifedha zaidi. Isitoshe hawana system maalum ya kuwapokea na kuwaongoza wagonjwa(wajawazito). Kindly provide details of other clinics, their locations and if possible a rough estimate of their costs. Thanks in advance.
 
Nisamehe kwa kuuliza swali la kijinga..ila natamani sana kujua.
Mara nyingi nasikia wajawazito wakisema naenda clinic..halafu wanaendaga kila mwezi nafikiri..
sasa wakifika clinic huwa daktari anawatibu nini au anawafanya nini..au kwa kifupi huwa wanaenda kufanya nini.?
 
muhimbili 1st traki

Umenena vyema BT, fast track ni nzuri, unaweza kuchagua specialist utakayependa awe anakuona clinic, kufungua file nadhani ni 20,000 kufungua file na follow up visits ni 10,000. Gharama za kujifungua utazipata hapo wakati Wa antenatal clinics... All the best Karucee! Mungu akubariki ufike salama na kujifungua salama
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom