Best certificate programmes!!

chrisman49

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
351
77
Hi..jf pple..samahani naombeni msaada wenu...hivi ni course gani nzr kwa mm nnaetaka kusoma certfct?pia mm kama mm napenda kusomea mambo ya IT..bt cjafahamu vzr ni chuo kp kzr..tanx
 
tafuta mwenyewe usisubiri ushauri....hata cert unaomba ushauri we ***** kwl!
<br />
<br />
wewe una digrii halafu umeshindwa kujikomboa kiuchumi na isitoshe mama yako ndio alikuchagulia hicho ulicho bahatika kusoma..
 
Okanda N ure stupid man JF ni mahususi kwa ajili ya kupeana ushauri na habari!mdogo wako anapoomba ushauri ndo majibu yanayomfaa unayojibu Mode tutolee huyu okanda plz ni kichefuchefu!dogo nenda ucc university computing centre posta mpya crdb ghorofa ya mwisho utapata kila ishu pale!
 
Back
Top Bottom