Besigye akamatwa

pb-110418-uganda-da-03.photoblog900.jpg

mtu huyu anaonekana muhimu yaani hata kumwacha akae kwenye cabin, na ameumia mkono, maguvuguvu tuu wanamlazimisha angate bodi, du, waafrika kweli noma, hasa hao polisi siku huyo akwa kiongzi watakuaje?
 
africa hakuna democrasia ya kweli hata siku moja kwasababu viongozi wengi au watawala wengi ndani ya vyama vyao wana system za wizi mtupu kwa hiyo wanajaribu kwa kila namna kuiba kura ili kuogopa kushtakiwa kwa maovu wanayoyatenda na ndio maana wapo tayari kugharimu kwa gharama yeyote ile wizi wa kura pamoja na kuendeleza tabia zao za wizi ndani ya utawala wao cha muhimu hapa ni kutwaa madaraka kwa nguvu tu huyo museven hana tofauti kabisa na mugabe yaani kasoro zao ni kwamba tu mugabe kakaa miaka mingi madarakani!
 
polisi wetu hawa maadili hakuna kabisa..ni ubabe tu

Afu utadhani wao wenyewe hawafi njaa kama raia wa kawaida. Minus their uniforms and the occasional 10000-shilling bribe here and there how are they suffering less or more than mwananchi wa kawaida. Kudos for the Egyptian military for seeing this and standing aside during the revolution!
 
sasa mbona inakuwa mkuku mkuku hivyo? polisi wetu hawa mbona hawana staha jamani? watu wenye majina makubwa kama hao hata ukiwaita kwa simu tu wanakuja weyewe kituoni, sasa ya nini ubabe wote huu?

Wanajipendekeza kwa bosi wao: hawajui huyo naye aweza kuwa bosi wao, sjui wataficha wapi sura zao! KAZI YA UASKARI NDY HIYO MAMA, UNAWEZA KUMKWIDA HATA MSHUA ALIYEKUZAA, LOL!
 
Kizza-Besigye-arrested-trying-hold-political-demonstration_662489.jpg


Kutokea msituni, Besigye alisaidia kujenga jeshi hili linamnyanyasa leo.

Yana mwisho.
 
sasa mbona inakuwa mkuku mkuku hivyo? polisi wetu hawa mbona hawana staha jamani? watu wenye majina makubwa kama hao hata ukiwaita kwa simu tu wanakuja weyewe kituoni, sasa ya nini ubabe wote huu?
Kweli kabisa, ndio maana viongozi wa afrika inakuwa shida kuachia madaraka.Ni lazima washinde uchaguzi kwa gharama yoyote ile kwasababu wanaogopa kulipiziwa kisasi.Na walio nyanyaswa wakipata chance na wanatumia muda mwingi kulipiza visasi.
 
Hivi hao askari wanalipwa kiasi gani kumdhalilisha huyo mzee wa watu namna hiyo? Miafrika bana...
 
pb-110418-uganda-da-03.photoblog900.jpg




Mambo haya yanafanywa na huyo rais anayetaka kuwa rais wenu wa EAC khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

 
Back
Top Bottom