Besigye akamatwa

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
wadau sijaona mtu akizungumzia kukamatwa kwa mpambanaji wa ukweli kule Uganda Dr. Col Kizza Besigye, akiwa anatembea toka nyumbani kwake akielekea ofisini. wanadai wamemkamata kwa kosa la kuwata wa Uganda watembee kwenda maofisini ili kuonyesha kupinga kwao ongezeko la bei ya petroli, dizel na mkate huko kwao uganda.

cha kushangaza watanzania tumekaa kimya wakati huu mafuta yanafika zaidi ya sh 2000 za kitanzania.
 
Ni kweli labda tunapaswa kutoa sauti zetu kuhusisha kukamatwa kwa besgye na bei ya mafuta TZ sio sahihi, sorry but kuongea au kutoongea hakutabadili gharama ya mafuta Tanzania
 
Miongoni mwa marais hopeless and bogus ni Yoweri Museveni. He has been humiliating this man all the time. Siku yake naye yaja na i karibu.
 
Mbona kichekesho wamemkamate kwa kosa la kutembea!!!! Du ukishashanga ya Musa utayaona ya firauni
 
Back
Top Bottom