US election 2016: Trump and sanders win new hampshare

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,305
2,559
Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba wagombea wawili wa urais wanaojinasibu kama anti establishment Mr Donald Trump wa Republican na Berny Sanders wa Democrat wametwaa jimbo la New Hampshire ktk uchaguzi wa primary uliofanyika siku ya jumanne.Je,huu ni mwanzo wa Hillary Clinton kudondoka kisiasa?
 
Kwa hali ilivyo sasa....Ni waz Obama ameshindwa kupambana na Russia,sasa nais wamarekani wanataka mtu wa aina ya Trump ili kupambana na Russia aggresions....Kuna kitu nakiona hapa kuhusu Trump kuwa presdent japo kiukweli hata mimi kuna baadhi ya sera zake sikubaliani nazo...
 
Kwa hali ilivyo sasa....Ni waz Obama ameshindwa kupambana na Russia,sasa nais wamarekani wanataka mtu wa aina ya Trump ili kupambana na Russia aggresions....Kuna kitu nakiona hapa kuhusu Trump kuwa presdent japo kiukweli hata mimi kuna baadhi ya sera zake sikubaliani nazo...
Mkuu unataka ukubaliane na sera zake kwani we ni Mmarekani au unaishi huko??
 
Kwa hali ilivyo sasa....Ni waz Obama ameshindwa kupambana na Russia,sasa nais wamarekani wanataka mtu wa aina ya Trump ili kupambana na Russia aggresions....Kuna kitu nakiona hapa kuhusu Trump kuwa presdent japo kiukweli hata mimi kuna baadhi ya sera zake sikubaliani nazo...

Mkuu jaribu kusikiliza hotuba ya TRUMP kuhusu Urusi, hana tatizo na Urusi yenyewe wala Putin.

Trump ni binadamu fresh kabisa ana msimamo thabiti na hayumbishwi na MSM propaganda za nchini mwake zenye lengo la ku-demonise Putin.
 
Republican Donald Trump and Democrat Bernie Sanders have shaken up the US presidential race with decisive victories in the New Hampshire primary.
Billionaire Mr Trump is likely to get more than twice the number of votes of the next Republican candidate.
Senator Bernie Sanders, who beat Democratic rival Hillary Clinton by a huge margin, said his victory showed people wanted "real change".
Both candidates are riding on a wave of discontent with mainstream politics.
Ohio Governor John Kasich came second in the Republican vote, with former Florida Governor Jeb Bush, Texas Senator Ted Cruz and Florida Senator Marco Rubio all vying for third place.
New Hampshire is the second state to choose delegates in the long nomination battle following last week's Iowa caucuses, which were won by Mr Cruz for the Republicans and Mrs Clinton for the Democrats.
The result gives momentum to the winners ahead of the next contests in South Carolina and Nevada.
Counting the votes
Live results as they are counted
Latest news and reaction from New Hampshire
Mr Trump's lead in New Hampshire is the first time the New York businessman - who has never held elected office - has translated his widespread support in opinion polls into a victory at the polls.
In his victory speech, the real estate mogul congratulated Democratic winner Mr Sanders but sideswiped that "he wants to give away our country, folks!"
Mr Trump, 69, has pledged to deport millions of migrants who are living in the US illegally; build a wall along the border with Mexico; and impose a temporary ban on all Muslims entering the country.
With more than 80% of the votes counted, Senator Sanders has a lead of more than 20 percentage points over Mrs Clinton in the two-horse race for the Democratic nomination. He had topped polls in New Hampshire in recent months, but it is still a significant victory for the self-described Democratic socialist candidate.
"What the people here have said is that given the enormous crises facing our country, it is just too late for the same old, same old establishment politics and establishment economics," Mr Sanders said in speech to his supporters late on Tuesday.
The 74-year-old has vowed to eradicate income inequality, provide free university education and break up big banks.
Mrs Clinton congratulated Mr Sanders, but said in a speech she would continue to fight for every vote in the campaign. Despite the setback, she still remains the frontrunner for the nomination.
More from the Republican candidates:
■ Ohio Governor John Kasich, who' performed strongly in New Hampshire, says he wants to lead America and "leave no-one behind"
■ Florida Senator Marco Rubio, who came a close third in Iowa, says he is "disappointed" with his New Hampshire finish and apologised to his supporters on Twitter
■ New Jersey Governor Chris Christie delivered a sombre speech, saying he would head home before deciding whether to proceed on to South Carolina or not
■ Jeb Bush, once considered the Republican frontrunner, tells a crowd of supporters "we're going to South Carolina!"

Analysis: Anthony Zurcher, BBC North America reporter in New Hampshire
Donald Trump is back, and Bernie Sanders is booming. That's the clear takeaway from a New Hampshire primary night that ended with little drama at the top. Both the New York billionaire and the Democrat who derides the billionaire class appear posed to confirm their consistently large opinion poll leads here with double-digit wins.
For the last few weeks the drama on the Republican side has been the identity of the candidate who will finish second - and perhaps become the establishment candidate to take on Mr Trump and Iowa caucuses winner Ted Cruz.
For a while it looked like that man would be Florida Senator Marco Rubio, but he seems destined for a middle-of-the-pack finish after a flop in Saturday's debate. Instead it could be John Kasich. But the Ohio governor has little in the way of campaign infrastructure set up in the southern states that vote next in the primary process.
Tuesday's results are likely to lend little clarity to the question of who gets the backing of mainstream Republicans. That's good news for Mr Cruz and Mr Trump, who will benefit from a fractured establishment field for at least a while longer.
Mrs Clinton's campaign manager, Robby Mook, said in a memo that they expected the race for the Democratic nomination "very likely" to be decided in March.
The former secretary of state acknowledged before the polls that Mr Sanders had a natural advantage in New Hampshire because he represents the neighbouring state of Vermont as senator.
Mrs Clinton, who has more support from the Democratic establishment, narrowly won in Iowa.
Most polls in New Hampshire closed at 19:00 local time (midnight GMT), with state officials forecasting a historic turnout in the vote.
 
Hillary scandal ya emails itamuondoa

Binafsi namchukulia Hillary kama mtu ambaye anaweza kuvuruga amani Duniani, mama huyo anajisikia sana na ana jeuri na kibaya zaidi si mkweli - chukulia mfano wa scandal za E-Mail zake vile vile na kifo cha Balozi wa Merikani huko Libya - katika utawala wake amepania Merikani izidishe bifu kati yake na URUSI, hana sababu zenye mshiko za kuendeleza uhasama baina yao.
 
She loves wars because she is the military community and big corporations stooge.
Binafsi namchukulia Hillary kama mtu ambaye anaweza kuvuruga amani Duniani, mama huyo anajisikia sana na ana jeuri na kibaya zaidi si mkweli - chukulia mfano wa scandal za E-Mail zake vile vile na kifo cha Balozi wa Merikani huko Libya - katika utawala wake amepania Merikani izidishe bifu kati yake na URUSI, hana sababu zenye mshiko za kuendeleza uhasama baina yao.
 
Matokeo ya leo jimbo la NH, Uteuzi wa jina la mgombea wa urais vyama vya Democrats & Republican.

DEMOCRATIC PRIMARY
Delegates: 32


Candidate
Votes %
sanders-1f7ed649318823c9d9fbca95ba1104d078ab7c8a.png
Bernie Sanders ✓ 138,414 60
clinton-8718560346204aceb57ad76062b7a3395ee7dd91.png
Hillary Clinton 88,623 38
Detailed results
REPUBLICAN PRIMARY
Delegates: 23


Candidate
Votes %
trump-6b07ff13d5de00f29cd83c063a17d32d55fef95e.png
Donald Trump ✓ 92,103 35
kasich-5ed1d0bfdd772c05d2f5d0a3d8b7feabbae2064f.png
John Kasich 41,645 16
cruz-9a750e188a6675936e29bb19b56cb1bc38a2cb45.png
Ted Cruz 30,264 12
bush-c85c837925ce32ccf8bca1e102b86278efed0796.png
Jeb Bush 29,083 11
rubio-697fd2945a4241dd37f2af93e7a5cf7da45b6543.png
Marco Rubio 27,695 11
christie-eb0c0cdb34413a947245330c44f7f036227c94a6.png
Chris Christie 19,761 8
fiorina-5ebbd527d1d5cf2b9d97436e09076e58a924202e.png
Carly Fiorina 10,924 4
carson-eb419cf051b2a0e3340bde5f3f12cda8cc1cd7a4.png
Ben Carson 5,927 2
gilmore-ba05152dbb25ff85fef84ba701d2259c26e454e2.png
Jim Gilmore 125 0
 
Kuna umuhimu wa kupeleka nguvu zetu Zanzibar na kuachana na hawa nguruwe weupe
 
Kuna cha kujifunza kutoka kwa wenzetu katika hizi aspects;
Vyombo vya usimamizi wa uchaguzi kichama, kimajimbo na kitaifa. Wagombeaji, polls, wapiga kura wahusika, media coverage, sheria za uchaguzi, vyombo vya habari, nafasi ya wagombea katika vyombo vya habari,

....Kwa ujumla ni Utoaji wa haki na ufuataji wa sheria....kuhusiana na wadau wote.

Hii ni area nyingine (huu uchaguzi wa marekani) inayotupa nafasi ( an opportunity) kuelewa na kuweza kulinganisha na kwetu, kuwa katika nafasi nzuri ya kutoa maoni...katika kusaidia au ku-challenge maamuzi kwetu sisi...
 
Unaona wenzetu wanavyofanya siasa zao?mgombea wa urais wa chama husika hachaguliwi na kundi la watu wachache,wapiga kura wanashiriki moja kwa moja ktk mchakato wa kuwapata wagombea,siyo huku Tanzania na siasa zetu za zama za mawe,akina Mbowe wakibadili gia angani basi na sisi tunashurutishwa kukubaliana nae au akina Kikwete na majina yao ya mfukoni.Siasa za kiafrika zimejaa ubabaishaji mtupu.
Kuna umuhimu wa kupeleka nguvu zetu Zanzibar na kuachana na hawa nguruwe weupe
 
Marekani kwasasa inahitaji kiongozi kama trump Na ujio wake umekuja wakati sahihi wamarekani wakimkataa trump watakuwa wamefanya kosa.
 
Marekani kwasasa inahitaji kiongozi kama trump Na ujio wake umekuja wakati sahihi wamarekani wakimkataa trump watakuwa wamefanya kosa.
NI BARAKA PIA KWA AFRICA MAANA MASKINI WATAPATA AFADHALI,ITAKUWA KIAMA KWA MFISADI WOTE AMBAO NI MARAISI WANAJITAJIRISHA WAO NA FAMIA ZAO,,SHAME,,NAMUOMBEA MUNGU ASHINDE TENA NIMEFUNGA KABISA
 
Back
Top Bottom