Bernard james wa star tv....

bayonet

Member
Jan 7, 2011
43
0
Ni moja kati ya watangazaji chipukizi wa tv nchini na anajitahidi lakini sipendi tabia ya star tv ya kuwapanga watangazaji katika vipindi mchanganyiko mara sports news,mara tuongee asubuhi,mara miziki,mara kusoma hard news huyohuyo.....
 
I don't understand this thread mkuu...for me it is crap...haitoi hamasa ya kuchangia hata kidogo...
 
mi nlichotaka mkuu ni kujadili credibility ya huyu kijana..manake ni tumezoea kuona watangazaji wengi wanamajor katika fani moja,kama ni entertainment ni hiyo tu,kama ni news ni hiyo tu na kama ni michezo ni michezo tu..mfano mchukue malini hasan mweke katika africa one,au mariam migomba mweke katika jambo leo akimhoji wilbroad slaa....thats ma point
 
Attachments

  • BEN 1.JPG
    BEN 1.JPG
    37.8 KB · Views: 94
Star tv watangazaji wanazunguka vipindi tofauti, na mara kadhaa hawamudu wanapowapeleka.
Mathalani, Muhsin Mambo yupo kwenye news bulletin, kesho kwenye soccer, the other day kwenye music etc.
Ni problem ya uongozi tu hawajui ku-identify nani anafaa wapi na kwa wakati gani.
 
huwa ana kipindi cha masebene live star tv jumatatu na alhamisi saa saba kamili mchana hadi nane na nusu ..ngoja leo nimwone then ntasema kitu..binafsi napenda anvyoviendesha vipindi vya muziki coz anajua nini mtazamaji anapenda sio kuweka matakwa yake binafsi........
 
mi namsubiri kwa hamu hiyo saa 7 kamili leo ndo ntarudi hapa........byeeeeeeeee
 
kuna shortage ya wafanyakaz,hakuna fungu la kuajiri wengine bana!c umeona futuhi wamekula kona?
 
Ni moja kati ya watangazaji chipukizi wa tv nchini na anajitahidi lakini sipendi tabia ya star tv ya kuwapanga watangazaji katika vipindi mchanganyiko mara sports news,mara tuongee asubuhi,mara miziki,mara kusoma hard news huyohuyo.....

Bayonet what are you trying to say? kwamba pamoja na kusema unampenda huyo mtangazaji inakuchosha unapomuona kila kipindi?
 
wadada bana wakimpenda mtu
hawakosi cha kusema

mara hivi mara lile

si useme tu unampenda??????????lol
 
jamani mi kimsingi namzimia jamaa manake kama ni kiraka ni cha ukweli,huwa sioni makosa makubwa katika program zote hizo....na huu kwa mtazamo wangu ndo utangazaji wa kisasa,kufiti kila sehemu..sio unakariri tu kitu kimoja ikitokea shortage ya wafanyakazi inakula kwenu........
 
Back
Top Bottom