Bernad Membe Ole Wako Utie Mguu Wako Hapa New York, Tutakuzomea Kabla Ndege Haijatua!

Yaani mko ng'ambo badala ya kujadili na kupanga mikakati ya kuja kuliokoa taifa kwa taaluma na mitaji mwapanga kumzomea membe tena basi si kwa vitendo ila maneno 2 hapa jf kama mlivyoahidi kumzomea kaka'ake mende last few weeks ago..., Amin nawaambia mtaporudi mtatukuta na Phd za kuruka fence,kukata vioo,bisbisi na fani nyengine mpaka mtuzoee tutakuwa tumewapunguza vitambi.

Mkuu yako ni kali acha nicheke hadi mbavu zikatike kwa kweli .
 
Sema amekukera, utafiti gani uliofanya na kugundua kuwa wenzako nao wamekerwa. Acha kuwasilisha mawazo yako kama ya watu wote.

Hata huko Marekani mnaishi kwa magendo hivyo hamuwezi kumpinga Marekan. Udikteta wa Gaddaf unazid huo wa hao Marekani, wauaji. Acha hizo. Umenikera sana.
 
madictator mnao huko marekani sio afrika, kati ya bush na gadafi nan dictator? au kwa kuwa unafanya hizo kazi za kuosha magari ya Babylon basi unajiona na ww tayari ni mzungu? umefilisika. NAKUOMBA UJIKWAMUE KUTOKA KATIKA UTUMWA WA FAHAMU, usirudi bongo tutaua kibaraka mkubwa weee
 
Mkuu yako ni kali acha nicheke hadi mbavu zikatike kwa kweli .

Asilimia kubwa ya watz huko Usa ni watoto wa vigogo walioko huko kwa kodi zetu lkn hawana msaada kabisa kwa taifa hili hawa kuku wakizungu. Dawa yao wakirudi tunawaonyesha taaluma zetu za tmk,uswazi ili twende sawa.mtu anakuja kutupima upepo hapa Jf yuko wapi sasa atetee hoja yake eti anajiita kiwalani..,%* nna hasira ntatukana bure iwe tabu.
 
Na ole wenu aje huko Dernabi Mende mmshangilie badala ya kuzomea mjue sisi tunafanya kweli huku kwa kuwazomea washua wenu mmoja baada ya mwengine
 
Kama nyie muishio USA hamkubaliani na kauri ya kutambua mchango wa Qadafi ktk ustawi wa Africa, nadhani mngekaa kimya na wala si kutumia matamko yetu watanzania. Nijuavyo mimi wengi wenu mmeshapoteza sifa za kuwa watanzania kwa kuukana utanzania wenu ili mpate kuishi marekani, SHAME ON U!. Nchi yetu haijakuwa na sheria ya uraia wa nchi2 hivyo nyie wengi wenu si watanzania tena, hivyo kauri zetu haziwahusu. Je kwa tamko lenu whose interest are u serving? Usa or NATO or African interest? Are u a part of the deal that Libya is supposed to pay $3trilion to NATO and their partners? Or u have been promised an employment in Libya by USA? Ushauri wangu wa bure kwenu wana NY kaeni kimya hii haiwahusu. Wakubwa wanapogombana watoto msiingilie mambo yao. Tanzania itajengwa na watanzania wazalendo wenye moyo safi. u
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.

Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE
 
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.

Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE

Mwingereza habari?
Sio washnton dc tena?
Bado haujasema.
 
Yale yale ya Member Mwingereza, na maandamano ya Marekani...

Mtoto wa mtumwa ni mtumwa tu..

Umenena kaka hawa wamarekani koko kutoka tz waongo kama nini na wanapenda kuropoka tu kutenda hawatendi.

Kwa ufupi wafatilie siasa za kina obama watuachie bongo yetu.
 
Nyinyi si vibaraka wa Marekani tu, si ajabu hata Tanzania huijui. Hao Marekani na NATO wanakudanganya. Ni wauaji, wananyemelea maliasili ya frican resources for Africa. He was sentensed by your Ameracans and NATO because of his just African course.

As for Membe hiyo statement aliyoitoa inawakisha mawazo ya Watanzania minus wapuuzi nyie na wenzako. Kwani kama ni udikteta huo unaofanywa na Marekani na NATO kuutiisha ulimwengu kwa maslahi yao utauitaje.

UMENISIKITISHA KUPINDUKIA KAMA MPO NA WENZIO FIENI HUKO HUKO KWANI HAMANA HATA CHEMBE MOJA YA UAFIRIKAn ACHA UTANZANIA.

Naunga mkono hoja!, huyu jamaa inaonekana ameshakuwa ''total slave'' yaani physical & Mental
 
Nyinyi si vibaraka wa Marekani tu, si ajabu hata Tanzania huijui. Hao Marekani na NATO wanakudanganya. Ni wauaji, wananyemelea maliasili ya frican resources for Africa. He was sentensed by your Ameracans and NATO because of his just African course.

As for Membe hiyo statement aliyoitoa inawakisha mawazo ya Watanzania minus wapuuzi nyie na wenzako. Kwani kama ni udikteta huo unaofanywa na Marekani na NATO kuutiisha ulimwengu kwa maslahi yao utauitaje.

UMENISIKITISHA KUPINDUKIA KAMA MPO NA WENZIO FIENI HUKO HUKO KWANI HAMANA HATA CHEMBE MOJA YA UAFIRIKAn ACHA
UTANZANIA.
Mtakalia hayohayo kulalama kwamba mnaonewa huku wengine wanapiga hatua.

Ghadafi kaondolewa na wananchi wa Libya kwa utawala wake wa kishenzi.
Hatumhitaji mtu kama Ghadafi Afrika. Mi niko hapa hapa Tz lakini najua tatizo c wazungu kwa kutoendelea kwa Afrika bali Waafrika wenyewe kutokana na viongozi kama Ghadafi na mawazo mfu ya mwafrika ya kuamini matatizo yake yanasababishwa na wazungu.

Hivi tulimwona Ghadafi akitangaza bila aibu yoyote ya kuwaua raia zake na akaanza kufanya hivo ulitaka wazungu wakae kimya halaf badae muanze kuwalaumu kama kawaida yenu? Hawakutusaidia kumzuia Ghadafi asituue!!! Ningekuwa viongozi wapya ws Libya ningefunga kabisa mahusiano na serikali hizi dhalimu za Kiafrika zisizoguswa na mauji ya raia.

Eti Ghadafi kuua raia ni sawa hata awateketeze kwa mabomu ya sumu ila kumwondoa madarakani kwa vitendo hivo ni haramu.

Membe anafaa kuzomewa sana. MBONA YEYE NA KILAZA WAKE JK HAWAKUMKEMEA GHADAFI ALIPOKUWA ANAUA RAIA WAKE?
Nawapongeza wazungu na wasiishie tu kwa Ghadafi ila kwa mafadhuli wengine katika club cha pombe cha AU.
 
Achana na hii mambo ya kuzomea,
Mlishindwa kufanya wakati wa DICOTA, na hapa unaleta wingu
Endeleeni kubeba maboksi
 
Si bora wangempotezea, walilipa dola mia mbili mia mbili kwa kichwa kwenda kumpigia makofi kwenye kihoteli kilichosheheni mtu.

Kufika kwenye hoteli, listen to this, Kikwete akakuta wamemuandalia nyimbo za mashairi za kumsifu. Cheki video uone watu wazima wanavyomuimbia ngonjera!

Unajua wana home sickness, they have to have the impulse to throw waves and confetti to anything showing up from home, wako uhamishoni wamesha jidatia, lazima u sympathize nao.




Walikimbia shida na wanamshangilia anayetusababishia shida.

Watanzania tutaacha lini kujikomba? yaani hata kuishi nje kote bado twapenda kujikomba tu. Ndio sababu wengi tunajikomba kwa hata watawala wa kiafrika hachilia mbali wale wadhungu.
Kudadadeki
 
Last edited by a moderator:
madictator mnao huko marekani sio afrika, kati ya bush na gadafi nan dictator? Au kwa kuwa unafanya hizo kazi za kuosha magari ya babylon basi unajiona na ww tayari ni mzungu? Umefilisika. Nakuomba ujikwamue kutoka katika utumwa wa fahamu, usirudi bongo tutaua kibaraka mkubwa weee

ghadafi ndiye dikteta na adhabu aliyopata ni tone tu katika bahari katika maovu ya aliyowafanyia walibya licha ya maendeleo aliyoyaleta libya.
Bush alimwachia obama madaraka ghadafi alimwachia nani?

Miafrika bwana. Tunatia aibu.
 
sema amekukera, utafiti gani uliofanya na kugundua kuwa wenzako nao wamekerwa. Acha kuwasilisha mawazo yako kama ya watu wote.

Hata huko marekani mnaishi kwa magendo hivyo hamuwezi kumpinga marekan. Udikteta wa gaddaf unazid huo wa hao marekani, wauaji. Acha hizo. Umenikera sana.
ametukera mno hata sisi tulioko tanzania. Sina urafiki na dikteta kama ghadafi na idd amin. Mumzomee huyo kibaraka wa ghadafi. Anatia aibu membe. Well done nato.
 
Unasema "ninyi watanzania muishio Marekani" kwanza niwape pole manake ama hamjitambui au hamjui mnalopaswa kufanya.

Lakini pili Mwalimu Nyerere alichukizwa sana na ubaguzi hasa wa rangi, ukabila na hata udini but am sorry to say wewe na hao mnaojiita Watanzania Muishio Marekani mnapaswa kubaguliwa kutokana ama na USALITI au UPUUZI wenu alikuja mwenzenu hapa katapakaza barua and it was bulky kuhusu Mhe. Rais eti mnaandamana akadiriki kutaja na Maeneo mara Alabama, Oklahoma, Texas, New York na kwengineko bahati mbaya sana wale ambao hawawafahamu ninyi vizuri wakadiri kuwapongeza kwa hatua hiyo ila mpaka kesho sijawahi jua mlikoishia. Sikuwahi taka hata siku moja kuccoment juu ya hilo ila hili naomba kumbukumbu ziwekwe sawa.

Leo umekuja wewe na hili la "sisi watanzania" msipoangalia mtafikia mahai mtapoteza maana halisi ya huo Utanzania tu kwa kutojitambua; na mjue kabisa huo Utanzania ninyi mnao uzungumzia mkiwa huko mnakokuita Marekani si ule ambao wale walioko ndani wanaujua na kuuthamini; na ukitaka kujua hilo tazama Comment za watu wanaujua Uchungu na maana halisi ya Utanzania na Watanzania wenyewe kwa sababu wako ndani ya hiyo Tanzania (umewaudhi sana ndo mana wakaishiwa na staha); Wahenga walisema "uhondo wa ngoma ni uingie ndani ucheze" zamani sana tena sana ninyi eti msemao watanzania muishio Marekani mlithaminiwa sana na kuonekana kama watu flani wenye maana flani ndani ya Taifa hili ila siku zinavyozidi kwenda nyote mnaonekana kama fenesi; na binafsi nitafurahishwa sana mkiacha hii tabia ya kujitambushisha kwa Mbwembwe eti "sisi."

Nije kwa hilo la Membe itikadi zimekuwa tofauti sana lakini si kwa Africa tu Vladimir Putin akiwa Copenhagen kubwa aliuliza juu ya aliyeipa nguvu Nato kumwua Gadafi ni lazima tufikiri na twende mbele zaidi ya kufikiria sawa may be he was a dictator lakini Waafrika kweli hayo ndiyo aliyostahili Gadafi?

He was a Hero so do Mugabe ile notion ya ndiyo mzee hawakuwa nayo hawa jamaa na ninyi msemao "sisi Watanzania" mnajua fika huko msemako "Tuishio Marekani" mahitaji yao ni nini na kwamba wanapotoa amri wanataka itekelezwe haraka sasa hawa wazee hawana hilo.

Walisimamia kile walichokiamini katika bara lao na hata nchi zao. Libya ndiyo hiyo tena labda tusubiri sasa tuone kile walichokuwa wakikitaka Walibya nikiamini kuwa hakutawahi kuwa na Salama juu ya Libya na wananchi wake. Iko wapi Misri????

Ninyi msemao "sisi Watanzania" mara nyingi chaos ndani ya nchi nyingi huletwa na watu kama ninyi msemao "Tuishio Marekani" manake ni kama vile hamuishi huko ila mnafundishwa namna ya kuishi katika nchi zenu baadae na mafunzo hayo ndo kama ya Libya na kwingineko. Jifunzeni hasa juu Mila na Desturi za Mtanzania na taratibu zetu na staha ya nchi yetu. Hilo la "sisi"......................
 
Si bora wangempotezea, walilipa dola mia mbili mia mbili kwa kichwa kwenda kumpigia makofi kwenye kihoteli kilichosheheni mtu.

Kufika kwenye hoteli, listen to this, Kikwete akakuta wamemuandalia nyimbo za mashairi za kumsifu. Cheki video uone watu wazima wanavyomuimbia ngonjera!

Unajua wana home sickness, they have to have the impulse to throw waves and confetti to anything showing up from home, wako uhamishoni wamesha jidatia, lazima u sympathize nao.




Hii twaweza kuiita "classic".

It's absolutely marverous.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom