Bernad Membe Ole Wako Utie Mguu Wako Hapa New York, Tutakuzomea Kabla Ndege Haijatua!

Jun 8, 2011
52
19
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.

Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE
 
Nyinyi si vibaraka wa Marekani tu, si ajabu hata Tanzania huijui. Hao Marekani na NATO wanakudanganya. Ni wauaji, wananyemelea maliasili ya frican resources for Africa. He was sentensed by your Ameracans and NATO because of his just African course.

As for Membe hiyo statement aliyoitoa inawakisha mawazo ya Watanzania minus wapuuzi nyie na wenzako. Kwani kama ni udikteta huo unaofanywa na Marekani na NATO kuutiisha ulimwengu kwa maslahi yao utauitaje.

UMENISIKITISHA KUPINDUKIA KAMA MPO NA WENZIO FIENI HUKO HUKO KWANI HAMANA HATA CHEMBE MOJA YA UAFIRIKAn ACHA UTANZANIA.
 
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.

Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE
Rep Power : 0
 
tumewazoea manataka hela tena, mlisema ya kikwete akija huku mtafanya sijui blabla mkaishia kusema mmepewa chapaa
 
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.

Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE

Mnasemaga tu kila siku, tuondolee upuuzi wako hapa!
 
Nyie ni vikaragosi wa marekani Membe atakuja huko na hakuna lolote mtakalofanya mnadhihirisha ni punda wa dobi,waafrika hatutaendele kukubali ukoloni mambo leo, hao NATO ni majambazi wakubwa wanachochea vurugu Afrika ili wapore utajiri wetu nawakemea kwa jina la kristo nyie pamoja na mabwana zenu NATO mtaishia jehenamu.
 
unadhani ukisemea jf ndo tutawaona wa maana mana mlijidai mkuu wa kaya akija huko mtafanya maandamano,hebu kaeni kimya tu
 
Yaani mko ng'ambo badala ya kujadili na kupanga mikakati ya kuja kuliokoa taifa kwa taaluma na mitaji mwapanga kumzomea membe tena basi si kwa vitendo ila maneno 2 hapa jf kama mlivyoahidi kumzomea kaka'ake mende last few weeks ago.

Amin nawaambia mtaporudi mtatukuta na Phd za kuruka fence,kukata vioo,bisbisi na fani nyengine mpaka mtuzoee tutakuwa tumewapunguza vitambi.
 
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.

Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE

Mod futa takataka za huyu mpuuzi, nilitegea ungekuwa m2 wa kwanza kulaani kitendo cha Marekani na NATO kumuua Gaddaf...eti unaunga mkono, shame at U! Ukiambiwa ueleze udikiteta wa Gaddaf unaweza kueleza au ndiyo propaganda za vyombo vya magharibi na wewe una2letea hapa.

Hata kama angekuwa dikiteta bado hawana haki ya kumu ua,sasa watu kama wewe mtakufa mnajua alikuwa dikiteta,sababu hamtapata kusikia akijitetea...siku zote amini unachokijua siyo maneno ya wa Marekani....leo ilikuwa Libya utaona kesho Uganda kisa kuna Mafuta.. Kuanzia leo tambua Marekani wanapose "IN GOD WE TRUST" wanamaanisha "IN GOLD,OIL and DIMOND we Trust" .
 
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.

Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE

Mwingereza habari?
Sio washnton dc tena?
Bado haujasema.
 
Hivi mliandamana alipokuja JK au mlitupotezea tu?
Si bora wangempotezea, walilipa dola mia mbili mia mbili kwa kichwa kwenda kumpigia makofi kwenye kihoteli kilichosheheni mtu.

Kufika kwenye hoteli, listen to this, Kikwete akakuta wamemuandalia nyimbo za mashairi za kumsifu. Cheki video uone watu wazima wanavyomuimbia ngonjera!

Unajua wana home sickness, they have to have the impulse to throw waves and confetti to anything showing up from home, wako uhamishoni wamesha jidatia, lazima u sympathize nao.

Last edited by a moderator:
nyambafu kwenda huko marekani ndo mmeukana uafrika wetu, mjitambulise uo umoja wenu huko marekani namkirudi tutawapokea kwa kuwazomea na mawe juu sisi huku watanzania wachini sote tunasikitika tukiilaumu marekani na nato. Wakiona nchi inastawi na inasera ya umoja kama gadafi hawakawii kutia mguu.

Mbona hawati mguu yemen, na syria. Huko hakuna maslahi na niwatu wasio na mawazo ya kuunganisha nguvu. Lakini gadafi alikuwa na mawazo ya kizalendo ya kweli hakuna kiongozi kama gadafi duniani kote hili marekani na ulaya hawakupenda uwezo wa gadafi wakaamua kuwatumia wa le maadui zake sasa angalia idadi inayoshangilia kifo cha gadafi huko libwa kama sifamilia za wanamigambo na waliomchukia sikuzote.
 
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.

Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.

Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.

KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE
ebu tuondolee shibe ya vyakula vibovu hapa nyinyi na marekani ni wajinga wa kutupwa na mzomee muone kwani hamna haya mnasema nini nyie vibaraka mnafikiri sote tunaimba bongo flava na kufanya kazi za kuosha mitaro kisa pesa nyie mateja tu hamna issue yoyote kwanza nani atawaruhusu kukanyaga uwanja wa ndege mnafikiri membe anakuja kuuza unga huko ili mkutane mtaani mmuzomee
 
Back
Top Bottom