Berlusconi apigwa

tehteeee
na huku kwetu ajitokeze mtu naye afanye hii itakuwa safi sana
 
Tusubiri tusikie habari zaidi, huwenda kama nchi tutakuwa na la kujifunza. Nyakati fulani wanyonge huwa na namna yao ya kuwafundisha viongozi wao.
we unamaanisha nini inamaana unawaambiwa vijana wa Mbeya dis time wamchape wakubembea konde! Huwatakii mema nathani watadondoka watu na itakuwa Breaking news duniani humu au itakuwa-silenced au atashikishwa mtu bastola kama kisingizio cha assasination attempt!
 
tehteeee
na huku kwetu ajitokeze mtu naye afanye hii itakuwa safi sana

Yule jamaa kama angekuwa bongo angechezea kichapo kikali sana mpaka haja zote zingeshuka bila kujielewa. Hebu jaribu wewe jifanye zimeruka kidogo, uone what next. Wenzetu wanaweka mbele sana sheria, ila bongo kitendo cha "kumtoa mchuzi" kiongozi wa nchi kingetafsiriwa kama hukumu yako ikiwemo ya (KIFO, NGUMI, MATEKE, VIBAO et al)
 
Kuna namna nyingi za kuonyesha kutopendezwa na Utawala wa aina furani.

1. Kutumia Mdomo - Kukemea, kusema n.k
2. Kutumia Mkono, kupiga kuzuwia n.k
3. Kunyamaza na kuumia moyoni (ambayo wataalam wanasema ni udhaifu)

Hapo (red) ndiyo nyumbani bongo. Sana sana tunaandamana kuwapongeza walioshindwa na wale wanaotunajisi kwa kutuibia bila huruma.
 
Bado Maximo sasa!
Bado Jakaya Mrisho Kikwete na akina Makamba!

Kama Silvio alivyo na utajiri mkubwa ameweza kuongoza Mafia na bado mtu mwenye rekodi ya ugonjwa wa akili amemudu kumpiga kwa chuma akamvunja pua na kungoa meno mawili then kila kitu kinawezekana. Alimtukana Mjaluo Barack H. Obama sasa alitaka kuendelea kutabasamu na kutukana watu like what Jakaya Mrisho does wakati anawaudhi 10million Voters waliompigia kura wateseka yeye anatamba anakula kuku. Hata hao mafisadi waliompeleka pale Magogoni bila agenda hawakufanya hivyo akale kuku. Kupigwa tutakuzowea as we move towards uchaguzi 2010.
 
Up date.
Jamaa aliyempiga mheshimiwa huyo ana historia ya kuwa na ugonjwa wa akili!!
 
Mwinyi alivyochapwa kibao watu wengi humu mlikuja juu mkisema kuna baadhi ya watu hawafanyi kazi zao ipasavyo, hapa je mnasemaje?
 
Mwinyi alivyochapwa kibao watu wengi humu mlikuja juu mkisema kuna baadhi ya watu hawafanyi kazi zao ipasavyo, hapa je mnasemaje?


Nadhani ni kwa vile watu wengine wanamuonea huruma mzee Mwinyi kwamba ni mtu asiyekera watu. Ni kama Dr Shein. Ila hao wengine dizaini za akina Makamba wakipata kibano watu watakimbia mahali kupata mvinyo na wengine kuimba pambio!
 
Mwinyi alivyochapwa kibao watu wengi humu mlikuja juu mkisema kuna baadhi ya watu hawafanyi kazi zao ipasavyo, hapa je mnasemaje?

Unanikumbusha mbali sana. 1998 balozi za US zilipopigwa, jamaa walilalamikia sana uwezo wetu wa kiulinzi na kikachero, ila tokea sept 11 2001 JIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!
 
Mungu na aepushie mbali vitendo kama hivi, maana na hisi sikumoja haya yatatokea Tanzania

Sidhani kama tunahitaji kumtwanga makonde wa-kubembea

Hiyo itakua imeenda mbali sana, yule tutamtoa kwa HOJA ZA FASTAFASTA

siunajua hoja za fastafasta zinavyohitaji watu walio smart upstairs....?
 
Back
Top Bottom