Beregu v Kinana - Hivi kweli tunategemea kambi ya upinzani?

Huyo atashambuliwa bila huruma, mpaka aharishe. Hatuhitaji kumjua. Anashambuliwa kutokana na mabandiko yake.
Invicible;
Huyu bwana hata mimi sikatai, ila naomba sana ashambuliwe tafadhali pale tu anapoonekana kwamba na yeye kashambulia, na siyo anapokuwa ametoa hoja.Hoja zake naomba tusifanyie kazi tafadhali. Hili bandiko lake la sasa naomba watu walisome, kulipuuzia tahadhari yake itatengeneza trend ambayo lazima matokeo baada ya 31 Octoba watafurahi wengi sana, kama siyo kinyume chake kwamba watalia!
 
.. to mention but a few!

Nimekuwa nikifuatilia midahalo ya TBC1, CHADEMA wana vijana hatari sana wa kujibu hoja za papo kwa papo; only that kwa sasa wote wako majimboni; I bet Kinana had a good sleep on that day

Augustees kwa kujifariji tu ... nawavulia kofia
 
KIRANGA, Saafi sana kata ishu and let the CHIPS FALL WHERE THEY MAY kura zinatakiwa kuwa EARNED, sio kutafutwa kwa HURUMA siasa sio UPADRI,

Hell no you didn't ..... Upadri?
Unataka kwenda huko.... I told you guys, ccm hawachukui prisoners.
See what I am talking about?!
 
- VERY bize, lakini siko zote niko intouch na MKULU INVISIBLE, I AM JF IN BLOOD and will always be, ISIPOKUWA NINA UDHURU FOR NOW BADO SITAKUWEPO KWA MUDA MREFU SANA!

- But I felt the need kuja kutetea hoja badala ya mashambulizi ya personalities dhidi member tusiye mjua just because anajaribu kuirekebisha our darling Chadema, ninasema ni unproductive kwa taifa tunalolipigania mambo ya kufumbiana macho mradi tungie tu Ikulu, hayawezi kutusaidia in the long run kwa tunaotaka kulikomboa taifa letu!

Respect.

WAZEE WA SAUTI YA UMEME!

Finally,
FMES na Kiranga wamekubaliana katika kitu fulani.... who said impossible is nothing?
 
Mwnyewe hataaamini masikio yake on 31st October 2010.Masikio yatawasha atakayosikia yeye na Kinana wake.You will be suprised kuwa Watanzania hawadanganyiki tena.2010 Hatudanganyiki.Ulitaka aseme nini wakati CCM imeshika dola???Wapeni vijana wa kazi uone hizo statistics zitakavyobadilika kwa kipindi cha siku 100 tu. Kama huamini jaribu 31.10.10
 
Ndiyo mzee hoja yako naiona, huyo jamaa Kiranga hata mimi namkubali sana hoja zake. Alichokuwa anataka ni kuistua chadema ili isije ikabweteka halafu ikashindwa uchaguzi, kitu ambacho najua hata yeye mwenyewe asingekipendelea sana. Hai-immisscompaign Chadema as such naomba na wengine waelewe. Ni kama mtoto unaona kaanza kufanya vizuri shule halafyu unamwambia bado sijaiskia ili azidishe jitihada zaidi. Prof., Baregu mwonekano wake ni mpole sana halafu maneno ya kuongea kihuni kihuni hana. Alichozidiwa ni "fluency" na propaganda kwenye ulimi ila siyo hoja. Next time ni kweli anatakiwa Tundu Lissu, Zitto au Mnyika!
Ila sasa naona kama wazee wa sauti ya umeme wakirudi watakuwa tayari wameshahamia kile chama kikubwa au? (joke)

Kiranga ni mtetezi wa ufisadi wa ccm, hakuna cha kuishtua chadema wala nini. Toka kampeni zimeanza Kiranga anaua chadema left and right.

Kuna siku alisema hapa kuwa ni bora kuwa na utawala (ninaita utawala na sio uongozi) wa ccm kuliko chadema ambao kwa standards za Kiranga, hawafai hata kuongoza serikali ya mtaa.
 
Invicible;
Huyu bwana hata mimi sikatai, ila naomba sana ashambuliwe tafadhali pale tu anapoonekana kwamba na yeye kashambulia, na siyo anapokuwa ametoa hoja.Hoja zake naomba tusifanyie kazi tafadhali.

Kwa hiyo wewe unataka Kiranga ashambulie wengine - Lissu, Marando, Shibuda, Mdee, Slaa nk ila yeye asiguswe. Unasema hivi kwa kutumia msingi upi?

Hili bandiko lake la sasa naomba watu walisome, kulipuuzia tahadhari yake itatengeneza trend ambayo lazima matokeo baada ya 31 Octoba watafurahi wengi sana, kama siyo kinyume chake kwamba watalia!

Kiranga hajatoa tahadhari yoyote. Kasema over and over again kuwa chadema na wapinzani hawako tayari for prime time so watu waendelee tu kuipigia ccm for now.
 
Kiranga ni mtetezi wa ufisadi wa ccm, hakuna cha kuishtua chadema wala nini. Toka kampeni zimeanza Kiranga anaua chadema left and right.

Kuna siku alisema hapa kuwa ni bora kuwa na utawala (ninaita utawala na sio uongozi) wa ccm kuliko chadema ambao kwa standards za Kiranga, hawafai hata kuongoza serikali ya mtaa.
Mwafrika;
Ahsante sana kwa kuni-alert!
Blessings in disguise,..., anaweza kudhani kuwa anabomoa kumbe ndiyo anajenga. Unadekeza watoto wako nyumbani halafu uliyepewa na marehemu mjomba wako unamnyanyasa, wakija kutoka ukubwani ndiyo utajua kuwa nani ulikuwa unamfundisha vizuri,..., a somehow similar scenerio to this kind of situation!
 
many of the opposition candidates are very weak, unfamiliar with the issues, unexposed and even naïve. While I cannot say that CCM does not have the same problem for sure, I would expect the opposition to give Tanzanians a better choice, otherwise what is the point of replacing one mediocrity with another ? Especially if the present mediocrity is at least known (zimwi likujualo halikuli likakwisha). The CHADEMA Kilombero constituency candidate is on record saying one does not need anything special to be MP. CHADEMA readily takes CCM rejects, with ceremonious publicity, no vetting or indoctrination. This leaves people wondering, are the CCM rejects the best that CHADEMA can offer ? What if CCM is planting it’s intelligence into CHADEMA? There is actually a case (I believe in one of the Tabora constituencies) where a CCM reject was given the CHADEMA nomination, only not to return the forms and cause the CCM candidate to go unopposed. What if this candidate had decided to contest, win under the CHADEMA banner, and sabotage the CHADEMA agenda within the parliament
Source: Vijana FM

Kama ilivyokua dhana ya samaki mtu, sasa dhana mpya ya kinyonga mtu inaendelea kujidhihirisha. Maana makala nzima inageukageuka rangi na unashindwa kupata jibu la swali moja.....'je mchanganyiko huu wa hoja hafifu zinazokinzana ndiyo utetezi unaofaa mbele ya mpiga kura kwamba CCM ipewe nafasi ya kuendeleza mediocrity?

Kwa nini wanaotetea CCM kuendelea kuwepo madarakani wanatuletea siasa za zama za zinjanthropus? CCM imepewa nafasi kutawala na kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kujua mema na mabaya ni dhahiri kuwa CCM imeshindwa kazi. Tukiwarudisha madarakani CCM, hatutapata tena nafasi kama watanzania kuwa na uwezo wa kuwajibisha serikali.

Ningeshauri hata Bwana Kinana na nduguze kina Makamba wahakikishe CCM inang'oka madarakani kwa maslahi ya CCM yenyewe na Taifa zima kwa ujumla. Ili CCM iwe bora ni lazima kwanza iadhibiwe kwa wizi na uzembe mkubwa ilioufanya, ni lazima huu ugonjwa wa kudhani CCM ni jua na Tanzania ni mchana ufe.

Hapa Tanzania kwa sasa hakuna chama kibovu cha siasa kama CCM. Mfano mdogo tu ni mgombea urais wa chama hicho apendaye kujiita dakta....upuuzi mtupu...eti anawaambia wananchi wa Mbeya kwamba '' tuliahidi amani na utulivu 2005 je sasa kuna amani na utulivu au hakuna?'' na wapambe wake wapuuzi wakajibu ''upooooo" Hivi huu kama sio undundu ni nini? kwani JK aliikuta nchi kwenye vita hiyo 2005????

Unajua mibange mingine mi inanikera sana....Hivi kama huoni kuwa CCM imeoza wakati iko dhahiri kabisa we uko sawa kweli? Yaani kwa sababu mjomba ni katibu wa wizara unahisi CHADEMA au chama kingine cha upinzani kikiingia madarakani ukoo wenu utakosa ulaji??? Yaani hayo mashavu yenu ndio yasimame badala ya maslahi ya taifa?????

Mi msemo wangu hio huo, ngoja tuone vinyonga watu. Nyinyi wapitisheni CCM muone baada ya uchaguzi wanachofanya. Sasa hivi BOT wajanja wamefinya data za uchumi msione tulivyoyumba wakisubiri uchaguzi upite. Safari hii mtafunga mikanda mpaka mkatike viuno na nisisikie mtu akilalamika....eti zimwi likujualo...zimwi ni CCM peke yao. Vyama vya upinzani ndio wanasiasa pekee wenye uzalendo na nchi hii wakipambana kiliondoa zimwi likukulalo wewe mtanzania sio likujualo.

CCM zimwi likukulalo....na JK kirefu chake ni JOKA. Yaani joka mnalipa urais.

Mi narudi zangu msituni tutaonana wiki ijayo....nitakaporudi ama za CCM ama zangu.
 
Mwafrika;
Ahsante sana kwa kuni-alert!
Blessings in disguise,..., anaweza kudhani kuwa anabomoa kumbe ndiyo anajenga. Unadekeza watoto wako nyumbani halafu uliyepewa na marehemu mjomba wako unamnyanyasa, wakija kutoka ukubwani ndiyo utajua kuwa nani ulikuwa unamfundisha vizuri,..., a somehow similar scenerio to this kind of situation!

Mimi binafsi napenda anachofanya Kiranga hapa. Nimesema hapa mara nyingi tu kuwa nina-admire sana uwezo wake wa kutumia lugha ya wakoloni. Nimesema hapa mara nyingi tu kuwa ingawa sikubaliani na anachoandika ila nitatetea haki yake ya kuandika hapa until I die.

Nimesema hapa pia kuwa, mara nyingi mimi sichangii sana kwenye threads ambazo Kiranga yuko very active kwa vile huwa sina hakika sana anachoongelea au anachotaka ni nini (he is all over the place). Kwa sasa hivi, na kwa hali ya kisiasa ya Tanzania, ninalazamika kuchangia kwa vile Kiranga anatumia unafiki na udanganyifu wa kujifanya kusaidia upinzani huku akiupondea to death.

Hakuna makosa kupondea upinzani. Watu kibao hapa ni wanaccm (hey, kwenye poll hapo juu Kikwete amepata kura zaidi ya mia sita). Kinachopingwa hapa ni unafiki. Kujifanya kuwa wewe si mwanaccm wakati kila unachoandika ni kuitetea ccm.

Apeleke unafiki wake huko huko kwa mafisadi wa ccm. Katika hili sitamwachia uwanja aendeleze unafiki. Kama yeye anadhani kuwa ana haki ya kuwaponda kina Slaa, basi naye awe tayari kupondwa. Kumbuka kuwa hata mimi naruhusu watu wapondee ninachoandika (wajiandae tu for a long fight ambayo itaisha baad ya mmoja wetu kutokwa damu hadi kufa).
 
Elimu bure kwa wote itawapa hata watoto wa mamilionea wanaoweza kujilipia a free ride katika nchi isiyo na resources, hatuwezi kukubali hili.

Acha upuuzi Kiranga! Ni milionea gani anasomesha mtoto wake katika shule ya serikali? Hoja yako hapa ni dhaifu sana.
 
punguza jazba Kiranga? hapo ndio ujue kwamba binadam wote tunatofautiana sana unachoona wewe ni point kwa wenzako ni pumba kuwa mvumilivu pale unapokosolewa hapa watu wanafikiria sana. Tatizo lako ni kwamba unasema huyu ni bora kuliko yule na ukasahau ahadi za TANU kama wadau wanavyosema kwamba hatutaki double standard. Kwana Dr. Slaa ni mtanzania au Mmarekani? Je Kikwete ni Mtanzania asilia na ni bora kuliko Dr. Slaa? umesahau kwamba wote ni Watanzania na wanataka kuiendeleza Tanzania yetu na sio Kenya au Marekani. kwanini tusikae meza moja na kufanya nchi yetu kuwa bora? wakenya wameona kuwa na tofauti ya kiitikadi hakukunyimi kuongoza au kutoa mchango wako kwa Watanzania wenzako. Tatizo lako ushabiki umekugawa mpaka sasa unaona CHADEMA NA CCM AU CHAMA KINGINE NI WATU WA NCHI TOFAUTI. Tuwape nafasi kila mmoja atoe mchango wake kwa kadri aonavyo ni sahihi. Jiulize swali rahisi kama mvumbuzi wa Computer angekuwa mbinafsi wa kutotoa teknology yake kwa wengine waiendeleze sijui ingekuwaje? ili nchi iendelee ni lazima watu tofauti wafanye mambo tofauti kwa kufuatana na misingi ya sheria na mwisho wa siku Tanzania iwe bora. watu wamechoka wanataka mabadiliko na sio data au taarifa na ukifuatilia hata hizo taarifa unaweza kucheka mpaka ufe. Naheshimu mawazo yako lakini acha kufikilia upande mmoja wa shilingi. mbona wamarekani wamebadilika? wamefanya kitu cha tofauti na kila mwana dunia hii alisifu kwanini sisi tushindwe?:welcome:
 
Kama ilivyokua dhana ya samaki mtu, sasa dhana mpya ya kinyonga mtu inaendelea kujidhihirisha. Maana makala nzima inageukageuka rangi na unashindwa kupata jibu la swali moja.....'je mchanganyiko huu wa hoja hafifu zinazokinzana ndiyo utetezi unaofaa mbele ya mpiga kura kwamba CCM ipewe nafasi ya kuendeleza mediocrity?

Kwa nini wanaotetea CCM kuendelea kuwepo madarakani wanatuletea siasa za zama za zinjanthropus? CCM imepewa nafasi kutawala na kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kujua mema na mabaya ni dhahiri kuwa CCM imeshindwa kazi. Tukiwarudisha madarakani CCM, hatutapata tena nafasi kama watanzania kuwa na uwezo wa kuwajibisha serikali.

Ningeshauri hata Bwana Kinana na nduguze kina Makamba wahakikishe CCM inang'oka madarakani kwa maslahi ya CCM yenyewe na Taifa zima kwa ujumla. Ili CCM iwe bora ni lazima kwanza iadhibiwe kwa wizi na uzembe mkubwa ilioufanya, ni lazima huu ugonjwa wa kudhani CCM ni jua na Tanzania ni mchana ufe.

Hapa Tanzania kwa sasa hakuna chama kibovu cha siasa kama CCM. Mfano mdogo tu ni mgombea urais wa chama hicho apendaye kujiita dakta....upuuzi mtupu...eti anawaambia wananchi wa Mbeya kwamba '' tuliahidi amani na utulivu 2005 je sasa kuna amani na utulivu au hakuna?'' na wapambe wake wapuuzi wakajibu ''upooooo" Hivi huu kama sio undundu ni nini? kwani JK aliikuta nchi kwenye vita hiyo 2005????

Unajua mibange mingine mi inanikera sana....Hivi kama huoni kuwa CCM imeoza wakati iko dhahiri kabisa we uko sawa kweli? Yaani kwa sababu mjomba ni katibu wa wizara unahisi CHADEMA au chama kingine cha upinzani kikiingia madarakani ukoo wenu utakosa ulaji??? Yaani hayo mashavu yenu ndio yasimame badala ya maslahi ya taifa?????

Mi msemo wangu hio huo, ngoja tuone vinyonga watu. Nyinyi wapitisheni CCM muone baada ya uchaguzi wanachofanya. Sasa hivi BOT wajanja wamefinya data za uchumi msione tulivyoyumba wakisubiri uchaguzi upite. Safari hii mtafunga mikanda mpaka mkatike viuno na nisisikie mtu akilalamika....eti zimwi likujualo...zimwi ni CCM peke yao. Vyama vya upinzani ndio wanasiasa pekee wenye uzalendo na nchi hii wakipambana kiliondoa zimwi likukulalo wewe mtanzania sio likujualo.

CCM zimwi likukulalo....na JK kirefu chake ni JOKA. Yaani joka mnalipa urais.

Mi narudi zangu msituni tutaonana wiki ijayo....nitakaporudi ama za CCM ama zangu.

akashube,

naona unafiki wa kiranga umekutoa mafichoni/mapumzikoni.
siwezi kusubiri hadi wiki ijayo kukuona tena hapa JF
 
Kiranga,

..I expected a sharper analysis frm you than what you have come up with.

..Halafu hii pointi yako kwamba "free education" is impractical umeitete kwa vigezo ambavyo nadhani ni dhaifu.

..labda nikukumbushe kwamba "free education" huwa inachangiwa na kodi za wananchi. sasa tunavyoelewa ni kwamba matajiri hulipa kodi kubwa kuliko walalahoi.

..ukweli huo hapo juu naamini unajibu mashaka uliyokuwa nayo kwamba watoto wa ma-tycoon watasoma "bure" sawasawa na watoto wa walalahoi.

..lakini elimu kutolewa "bure" siyo jambo geni hapa Tanzania. jambo hili lilipata kujaribiwa miaka iliyopita.

..ungelipinga suala hili kwa kusema "experimentation" za miaka iliyopita had disastrous results, na kwamba unawa-challenge Chadema waje na a much clearer and elaborate policy, tungekuelewa.

..we can analyze your article all we want. lakini hivi kwa akili zako unafikiri CCM itabadilika ktk miaka 5 inayokuja na kuleta maendeleo tunayoyarajia Tanzania?
 
Mimi binafsi napenda anachofanya Kiranga hapa. Nimesema hapa mara nyingi tu kuwa nina-admire sana uwezo wake wa kutumia lugha ya wakoloni. Nimesema hapa mara nyingi tu kuwa ingawa sikubaliani na anachoandika ila nitatetea haki yake ya kuandika hapa until I die.

Nimesema hapa pia kuwa, mara nyingi mimi sichangii sana kwenye threads ambazo Kiranga yuko very active kwa vile huwa sina hakika sana anachoongelea au anachotaka ni nini (he is all over the place). Kwa sasa hivi, na kwa hali ya kisiasa ya Tanzania, ninalazamika kuchangia kwa vile Kiranga anatumia unafiki na udanganyifu wa kujifanya kusaidia upinzani huku akiupondea to death.

Hakuna makosa kupondea upinzani. Watu kibao hapa ni wanaccm (hey, kwenye poll hapo juu Kikwete amepata kura zaidi ya mia sita). Kinachopingwa hapa ni unafiki. Kujifanya kuwa wewe si mwanaccm wakati kila unachoandika ni kuitetea ccm.

Apeleke unafiki wake huko huko kwa mafisadi wa ccm. Katika hili sitamwachia uwanja aendeleze unafiki. Kama yeye anadhani kuwa ana haki ya kuwaponda kina Slaa, basi naye awe tayari kupondwa. Kumbuka kuwa hata mimi naruhusu watu wapondee ninachoandika (wajiandae tu for a long fight ambayo itaisha baad ya mmoja wetu kutokwa damu hadi kufa).

Mwafrika;
Mimi siyo mtaalamu sana wa kiswahili, ila naomba kuuliza swali kwenye hiyo bold statement: hapo umetumia TAFSIDA au? Basi kama siyo na uliwahi kwenda JKT, ilikuwa mkijipanga parade halafu unasikia anakuja afande, ghafla anawshtukiza "MGUU SAWAA". Hapo lazima tu mdondoshe maembe. Halafu anawaambia "ACHA HIYO, MBAYA, CHAFU..."

Unless kama umetumia tafsida, ila kama sivyo na mimi nakuambia wewe Mwafrika kuwa "ACHA HIYO, MBAYA, CHAFU..." hapo kwenye red. Nasema kutoka rohoni, maana kuna usuluhishi mwingine huwa unakuja "in a form of a hidden uchonganishi"
 
hii nimeitoa kwenye signature ya Kiranga... kaisome tena uone anachosema.

Kabla hajaibadili, hii ndio signature ya Kiranga:

You got an all-out prize fight, you wait till the fight's over, one guy's left standing, and that's how you know who won - Alphonse Capone
 
I wish we could forget about the claim of Kiranga's so called hypocricy for a moment and read the post between the lines.
I wouldnt care less whether Kiranga is CCM or CCJ gone dead if only he/she can analyse issues critically; which in my opinion he/she has gone way far ahead of his/her critics in so doing.

Talking of Great Thinkers; I believe the end result of Great Thinking is critical analysis; yaani, analysis that gives one the two sides of the argument and the Thinker need not give his/her position on the matter; unless of course it is a court Judgement where at the end of this analysis of both sides of the case ought to give his position, that is, the Judgment. In cases like the one at hand, surely, need we force Kiranga to give his Judgment?

I must say, one thing I like about Kiranga, whatever position anchukua, anaikomalia; and I think thats a positive thing.

Ahsante ndugu yangu.

Siku sie wachache tuliokataa "groupthink" na kuwa fanboys wa chama fulani tutakapokubali haya, na kwenda na "flow", ndipo "Great Thinkers" tutakamilisha process ya kuwa "Great sinkers"
 
Hujakataa groupthink, uko groupthink ya wanaccm
 
Back
Top Bottom