Beregu v Kinana - Hivi kweli tunategemea kambi ya upinzani?

That is a genuine typographical error, if you have a QWERTY keyboard you will see O comes before P, I must have pressed both O and P instead of O alone while replying to a multitude of posts .

I take it that you lack any substantive input other than this unspirited nitpicking ? I saw a pattern of butchering the English language and advised accordingly, surely you do not want to pass a chance to exchange views on the issues for a typo now, do you ?

Ha ha ha, for you it's a typo BUT the same was never applied to Malafyale's
 
Ha ha ha, for you it's a typo BUT the same was never applied to Malafyale's

C'mon, Malafyale inabidi ajionee huruma na kuacha kuandika lugha za watu tu, yeye yuko kwenye level tofauti kabisa, kwenye typo au the occasional bungling of a "colonial language" hayupo.

Sitaki ku derail thread, labda mniambie tushamaliza issues mnataka nichambue lugha sasa na michemsho ya ndugu yetu.
 
Kiranga anajikita kwenye hoja kwamba si sawa watoto wa mamilionea kupata Elimu bure. katika hali ya utawala wa kisheria, matajiri wanachangia sana kwenye kodi. Kama watoto wao wakipewa Elimu bila malipo zaidi ni haki tu.

Hata hivyo, wenye uwezo wa kweli Tanzania wanapeleka watoto wao kwenye shule za binafsi. Huko hulipia.

Tuna tofauti gani na Kenya? Au Kiranga unasema Kenya wanafanya kosa kutoa Elimu bure?

Cha muhimu zaidi nadhani utakuwa sasa umekubali ukweli kwamba Dr. Slaa anaposema atatoa Elimu bure anasema kitu kinachowezekana.
 
Nimekwambia hizi ni chache tu za karibuni, ukienda nyuma utakuta zaidi.

Nimekuuliza wewe zako za kubondea CHADEMA ili kutuonyesha uko neutral ziko wapi?

Au unaweza kukubali kwamba huna na wewe ni CHADEMA fanboy ?

Katika hii election, I am a proud CHADEMA fanboy.
I dont hide this, I dont pretend to be something else.
Siipendi ccm and everything CCM stands for. Unlike you, I dont pretend to be neutral.

Wewe ni fisadi la ccm ila unataka kujifaragua hapa kuwa sio mwanaccm. Kadanganye watoto wenzako huko chekechea ila hapa utapewa tu dozi yako.
 
C'mon, Malafyale inabidi ajionee huruma na kuacha kuandika lugha za watu tu, yeye yuko kwenye level tofauti kabisa, kwenye typo au the occasional bungling of a "colonial language" hayupo.

Sitaki ku derail thread, labda mniambie tushamaliza issues mnataka nichambue lugha sasa na michemsho ya ndugu yetu.

Kulikuwa hakuna issue to begin with.
Ulichoandika ni propaganda za CCM ambazo mara nyingi hakuna cha kuzijadili.
 
Elimu bure kwa wote itawapa hata watoto wa mamilionea wanaoweza kujilipia a free ride katika nchi isiyo na resources, hatuwezi kukubali hili. Hiki ndicho nilichosema hapo juu. Umesoma nilichoandika mazee? Sijasema kwamba kuna watu kibao wanahitaji msaada na it's only right wasaidiwe? Nisichotaka ni hii habari ya kutaka kuleta blanket free education without qualification ya need based situation.

Sijasema nataka CHADEMA waseme wamefanya nini katika elimu, nilitaka waseme wangefanya nini vizuri zaidi, hawajasema hilo.

Kiranga;

Kwa hiyo TZ haina resources au serikali ya CCM kutoe basic needs sio vipaumbele ilivyojiwekea?
 
Kulikuwa hakuna issue to begin with.
Ulichoandika ni propaganda za CCM ambazo mara nyingi hakuna cha kuzijadili.

Hii nayo propaganda ya CCM ?

I agree with Baregu's/ CHADEMA'S vision of introducing more elective offices and doing away with presidential appointees as DC's and RC's for example. This is in tune with my vision of changing the topography of our politics, changing the structure of power from a top down, appointment based system which is more accountable to the president and prone to political clientilism and temptations of presidential largesse, to a bottom up, people centred, merit based and more people accountable leadership.

Hii nayo propaganda ya CCM ?

On CCM's candidates passing unopposed, this clearly shows the opposition's weakness and validates CCM's claim that the opposition is made up mainly of "election parties". The rebuttal from Prof. Baregu is hardly fitting. The number of constituencies with no opposition candidates is so high and does not match the number of constituents with claimed irregularities. Claims of opposition candidates being bought off just goes to show Tanzanians that the opposition is not serious enough to nominate serious candidates. If a party can nominate someone who can easily be bought, I don't have confidence with that party's maturity and vetting process.

Hii nayo ?

The notion of MP's passing unopposed is actually unconstitutional. Clause 66 of the constitution clearly list the types of MPs and how they get to be MPs. Nothing is mentioned on unopposed MPs sailing to parliament without actually being elected by Tanzanians ( not only CCM members in CCM primaries). I am surprised the opposition doesn't mention this, maybe it is a shameful issue that they did not field a candidate in the first place and therefore mentioning that would be adding insult to injury. But I would like to see the people getting even a "YES/ NO" vote, if only to give the MP legitimacy as chances are it would be very hard to lose in an unopposed election. Overall, this is symptomatic of a weak opposition. There is a n article from "The Citizen" detailing the demise of competitive democracy and the opposition in Tanzania (click).

Hii ?

Professor Baregu rightly rejects the categorization of his misconstrued comments as a snob to Tanzanians. He went on to invoke the Nyalali Commitee's findings and recommendation on building a more democratic environment -a tired, if valid- excuse. What the professor does not say is how has CHADEMA pressured the government and rallied it's base to have these recommendations actually instituted. Prof. Baregu talks about the quality of the opposition input in the parliament as endorsed by the speaker, and how this input is undermined by the sheer number of CCM MPs. Perhaps Prof. Baregu is milking the speaker's graceful and diplomatic coalition building comments a bit too far, perhaps not. But as he further points on, without a majority the opposition will remain ornamental.

Hii ?

On negative campaigning, Kinana accuses CHADEMA of being over litigious and serial complainers, hence undermining their own credibility. While CCM is good at politicking and framing the CHADEMA narrative to CCM's advantage, and regardless of the merit of CHADEMA's claims, there are already reports of certain sects of the workers movements announcing it's alienation from Slaa/ CHADEMA in what is perceived as Slaa's move to block their chances. This then becomes a question of principles over political expediency, and I am always for principles. CHADEMA should stand it's grounds where it thinks elections regulation are violated. CCM cannot be objective in judging CHADEMA as over litigious, that is what we expect to hear from them. While I would like to see a democracy that runs smoothly without the interference of the courts and NEC, when necessary, the appeal systems should be used with no fear of appearing ‘over litigious'. Let the people decide whether CHADEMA is over litigious, perhaps our opposition has been "under litigious" all along and it needs to step up it's game in that aspect.

Hii nayo?

Prof. Baregu went on to talk about the sad cowardice acts of CCM censoring it's candidates. This is pure and simple censorship, however spinned. It looks like either CCM doesn't have much of a record to defend, or is not very confident of it's candidates ability to champion that record, possibly even both. A prominent up and coming CCM cadre was quoted as endorsing this move as " good politics" meaning politics in the negative sense of obfuscation and Machiavellian manipulations. According to him the country is poor, CCM does not have much to show for all it's years in power, a lot of the promises made in 2005 are still unrealized, so it makes sense to refrain from debates. And this guy is one of the rising stars.To him political expediency comes prior to accountability to the people and transparency. If this learned star has this mindset I shudder to think what the number of semi-literate candidates will think. They are probably breathing a sigh of relief and thanking the party bigwigs for not exposing their incompetency. This is not a good look for CCM at all. And all the obfuscation Kinana gave, about the president and CCM candidates needing to go to the people are so transparent, I can see clearly through them. Is CCM this much anti-press, anti-intellectuals and anti-transparency ? What does it fear? Kinana couldn't answer this on the issues and resorted to obfuscation and fluff.
 
Watu wako so biased kiasi kwamba usipokuwa 100% CHADEMA wanakuita fisadi wa CCM, hata kama unasema mazuri na mabaya ya wote CCM na CHADEMA.

What happened to equanimity and non-partisan objectivity ?
 
Hii nayo propaganda ya CCM ?

Hii nayo propaganda ya CCM ?

Hii nayo ?

Hii ?

Hii ?

Hii nayo?

Ndio, propaganda za ccm hizo. Unaanza na sifa bubu na kisha unamalizia na talking points za Lumumba.
Huu mchezo waweza cheza na watoto wa chekechea lakini hapa unapoteza tu muda wako.

Kuwa wazi tu na utetezi wako wa ccm kama kina kibunango na wenzake na the truth will set you free
 
Watu wako so biased kiasi kwamba usipokuwa 100% CHADEMA wanakuita fisadi wa CCM, hata kama unasema mazuri na mabaya ya wote CCM na CHADEMA.

What happened to equanimity and non-partisan objectivity ?

Sio issue ya kuwa 100 percent. Wewe hauko hata 10 percent fair kwa chadema. Uko 80 percent ccm na labda 5 percent chadema. Katika posts zako karibu 4000, umeleta post 8 tu za kupondea ccm. Kwani ukisema kuwa hukipendi chama cha chadema itakugharimu nini?

Kumbuka kuwa hakuna mtu anayekulazimisha uwe chadema hapa (au ccm)
 
Lakini wewe ni 100% CHADEMA na huwezi kutegemewa kuwa objective sivyo? Nimekupa nafasi utuonyeshe ulipowasema CHADEMA hata kwenye post moja, hujatuonyesha.

Kwa hiyo bora hata mie ninayeonyesha impartiality kuliko wewe CHADEMA fanboy usiye na objectivity.
 
Katika hii election, mimi ni 100% chadema kwenye ngazi ya uraisi na sioni aibu kusema hili. Kwenye ubunge nimsapoti mwanaccm mmoja tu - Dr Mwakyembe.

Sifanyi unafiki kama wako wa kujifanya kuwa objective wakati wewe ni fisadi la chama cha kijani.
 
OK,

Kumbe tunapoongea na wewe tunaongelea party fanaticism na si issues. OK.

You cannot say that you can be objective.
 
OK,

Kumbe tunapoongea na wewe tunaongelea party fanaticism na si issues. OK.

You cannot say that you can be objective.

Wewe pia hapa unaongea party fanaticism (extremely anti- chadema) so all you get from me is an antidote to your poison.
Wewe sio mtu wa kupima objectivity hapa wakati wewe mwenyewe huna hata chembe ya objectivity. Wewe ni mtetezi wa chama cha mafisadi na huna nafasi yoyote ya kudai objectivity toka kwa wengine until uwe objective
 
Huwezi kusema mimi ni extremely anti CHADEMA wakati nimeelezea kukubaliana na ku champion maswala mengi ya CHADEMA.

Ndiyo maana nasema wewe unataka kila mtu awe fanboy wa CHADEMA na ai treat with kid gloves ndiyo umkubali.

Sifanyi upuuzi huo.
 
Huwezi kusema mimi ni extremely anti CHADEMA wakati nimeelezea kukubaliana na ku champion maswala mengi ya CHADEMA.

Wewe ni extremely anti chadema na hii imeonekana wazi wakati wa primetime - election 2010
Huna objectivity yoyote ile na kwa hili nitakuambia tena na tena hadi uelewe.

Ndiyo maana nasema wewe unataka kila mtu awe fanboy wa CHADEMA na ai treat with kid gloves ndiyo umkubali.

Kiranga,

Kuna wanaccm hapa JF - FMES, Kibunango, Malaria Sugu, Tandaleone, Mtu wa Pwani nk
Umewahi kunisoma hata mara moja nikiwalazimisha waikubali chadema? je nimewaomba watumie kid gloves kwa chadema?

Jibu ni HAPANA.

Mimi sina tatizo na wanaccm as longer as wanasema na kusimamia chama na sera zao. Mimi nina tatizo na wanafiki wanaojifanya kuwa sio wanaccm na kumbe na malimbukeni wa kutupwa kwenye chama la kijani.

Sifanyi upuuzi huo.

Kama ulijua vipi, mimi siungi upuuzi kama wako.
Nitakufunua unafiki wako hapa mpaka siku utakapoweka wazi upande wako hapa jamvini.
 
Wewe ni extremely anti chadema na hii imeonekana wazi wakati wa primetime - election 2010
Huna objectivity yoyote ile na kwa hili nitakuambia tena na tena hadi uelewe.

Kiranga,

Kuna wanaccm hapa JF - FMES, Kibunango, Malaria Sugu, Tandaleone, Mtu wa Pwani nk
Umewahi kunisoma hata mara moja nikiwalazimisha waikubali chadema? je nimewaomba watumie kid gloves kwa chadema?

Jibu ni HAPANA.

Mimi sina tatizo na wanaccm as longer as wanasema na kusimamia chama na sera zao. Mimi nina tatizo na wanafiki wanaojifanya kuwa sio wanaccm na kumbe na malimbukeni wa kutupwa kwenye chama la kijani.

Kama ulijua vipi, mimi siungi upuuzi kama wako.
Nitakufunua unafiki wako hapa mpaka siku utakapoweka wazi upande wako hapa jamvini.

Tanzania hamna vyama vya siasa bado, kuna magenge ya unazi tu. Na kwa kulialia huku CHADEMA mnakamilisha maneno ya CCM kwamba hamko tayari kwa prime time, mnategemea kuwa treated with kid gloves. Ukubwa kazi. Ukitaka ukubwa lazima upitie jando, jando si lelemama.

Wewe ushasoma manifesto ya CHADEMA ? Unaijua iko tofauti na ya CCM kivipi ?

Let's discss the issues hapa, ama sivyo utakuwa unaleta unazi katika siasa.
 
Back
Top Bottom