Beregu v Kinana - Hivi kweli tunategemea kambi ya upinzani?

Hata mtoto wa darasa la 1 atajua tu kwa urahisi wewe Kiranga upo pande ipi,lkn nashangaa unaposema i'm not JK fan

Wakuu sioni kama kuna ubaya kuwa upande wa CCM, inategemea uko upande huo kwa lengo gani, i know for sure kuna CCM wengi tu hawapendezwi na CCM inavyoendesha nchi, lakini somehow ni mateka wa Chama. Nothing bad to be CCM member or to stand for CCM.

Lakini tukiangalia bigger picture ni kwamba CCM as a party ni liability kwa Tanzania. CCM imebadilika sana, haipo tena kwa maslahi ya Tanzania kama ilivyokuwa wakati wa Nyerere, ni maslahi ya kundi la watu. Baregu anasema kweli, unyonge wa watanzania ndio political capital ya CCM, na wamewafanya wawe wanyonge makusidi ili waweze kuendelea kuwepo madarakani.

Kinana anajua wazi kuwa CCM haina ajenda ya maana. Kusema kuwa Tanzania haiwezi kulipia elimu na matibabu ni mawazo finyu, Tanzania ina uwezo mkubwa kifedha wa kulipia elimu ya msingi bure na kutoa matibabu ya lazima. Kodi zikikusanywa vizuri na healthcare system ikiwa managed vizuri kuna uwezekano huo.

It is fact that demography ya Tanzania imebadilika sana, Kinana anajua hilo na CCM wanajua hilo. Ndio maana inakuwa hata vigumu kuwahonga watu T-shirts, mafuta ya kupikia, kanga na sukari, as it has always been. Siku hizi watu wanaweza kununua hivyo.

Idea kuwa opposition hawana uwezo it is ridiculous, CCM au TANU/ASP was same tulipopata uhuru. Tanzania kuna civil service kubwa inayoweza kuendesha nchi, mabadiliko yanahitajika kwenye political leadership.

Anaetoa hoja hiyi ya kijinga anasahau kuwa, civil servants na politicials wanatawala sambamba, na wanaochemsha ni politicians.
 
Tafadhali msituletee madudu ya Kiranga hapa,yeye kaenda andika kwa Michuzi kwa sababu anajua kule hamna challenge ya mawazo;mwacheni ayaweke huko huko mawazo yake hasi!

Kimsingi,Kiranga aendelee kuandikia Michuzi sio hapa kwa great thinkers!

House of Great Thinkers ni kichekesho kikubwa. Labda House of Great Drinkers! :becky::mad2:
 
Back
Top Bottom