Beraking lakini sio News Waliokunywa dawa ya babu Kupukutika kidogo kidogo

naombeni mlioenda kutibiwa india mniambie kati ya nauli na malipo pale appolo ni ipi kubwa?
baada ya hapo nitajua nani juha kati ya babu na mteja.


Hakuna Juha, walioenda walikuwa na uwezo wao au walipelekwa. Hela zilizotumika ni zile zilizotakiwa kwenda Baa au makanisa Pendwa.
 
Back
Top Bottom