Benzi E240 mwaka 2004 iko sokoni.

SUNGUSIA

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
232
16
E240-7 (2).jpg E240-7 (1).jpg E240-1.jpg E240-3 (2).jpg E240-5 (1).jpg E240-3 (1).jpg E240-5 (2).jpg

Ni ya mwaka 2004 E series E240, km 55200 bei ni USD $30,000 iko kwenye condition safi sana all the services books are available.
 
Kwanini huwa mnataja bei zisizoendana na uhalisia????

Uhalisia upi unaoutaka kaka ebu wewe nipe uhalisia wako na ikiwezekana ingia net kote tafuta benzi kama hii ya 2004 na mileage hizo uniambie mpaka hapa itakuwa bei gani to prove me wrong.
 
2004 MERCEDES-BENZ E CLASS E240 ELEGANCE 4DR TIP AUTO [2.6] SAT NAV LEATHER
[/URL]

Jimex Co., Ltd.
hadi bongo ni 24000$ ukiomba discount hadi 22K lipo dar na kali kuliko hilo lako ...
bado unataka ushahidi tuendelee...?

Mbona wote mnadhihirisha kuwa bei aliyotoa ni reasonable? Hapo mnaongelea bei bila kodi. Sasa ongeza VAT, import Duty na Excise duty bila kusahau Clearing..
Easymutant: Ebu ongeza Import Duty 25%, VAT 18% na Excise Duty ya 10% zote compunded!!.
 
Mie nimeweka pound 9000 around USD 14000. Kodi gani hiyo itakayofikisha 30??? Saana ni USD 20-22.
 
Mimi naona bei ni reasonable,wanao pinga hawajaconsider other cost mpaka gari ikawa barabarani Benzi ya aina hiyo unaweza ukapata toka japani kwa CIF (DSM) ya USD 24,850 lakini hadi ifike barabara itagharimu kama ifuatavyo:

CIF24,850 USD 37,523,500 TZSImport Duty6,213 USD 9,380,875 TZSDumping Fee0 USD 0 TZSExcise Duty3,106 USD 4,690,438 TZSVAT6,150 USD 9,287,066TZSTotal Taxes15,469 USD23,358,379 TZSPort Charges150 USD226,500 TZSL/Shipping Line75 USD113,250 TZSTotal Cost40,544 USD61,221,629 TZS

Na hii ni gari ya mwaka 2400 yenye cc3200, ukilinganisha na dola 30,000 jamaa aliyo offer mimi naona yupo sahihi labda kama kuna issue za technical lakini kama costing kuna saving kubwa.
 
Kumbuka hii gari imetembea barabara za bongo for the last one year, depreciation iko vipi? Mbona hapa naona kama jamaa ameignore hiyo fact?

Anyways kwa wenye USD30K wachukue mchuma huo, kwa kweli unatamanisha especially na rangi za cream ndani ni balaaa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom