Benson Bana, Kujipendekeza kwa serikali na Kiingereza "Broken"

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Kwenye hii article Home

ameandika kwa urefu sana lakini angeweza kusema mambo hayo yote kwenye ukurasa mmoja tu. Anazunguka mno na kurudia kauli au wazo. Kisha amevunja sana lugha ya Malkia, ni aibu kwa sababu yeye ni mkuu wa kitivo cha chuo kikuu. Maeneo fulani fulani katumia maneno ya kabila lake, siyo ya lugha ya Malkia. Wanafunzi wake wataandikaje kama yeye mwalimu wao mkuu ndivyo anavyoandika na kufikiri?
 
BBC ni nomaa ukitaka kulijua hilo muulize manufacturing of teachers and chidren don't listen to their teachers bacause of hungry!!
 
Kwenye hii article Home

ameandika kwa urefu sana lakini angeweza kusema mambo hayo yote kwenye ukurasa mmoja tu. Anazunguka mno na kurudia kauli au wazo. Kisha amevunja sana lugha ya Malkia, ni aibu kwa sababu yeye ni mkuu wa kitivo cha chuo kikuu. Maeneo fulani fulani katumia maneno ya kabila lake, siyo ya lugha ya Malkia. Wanafunzi wake wataandikaje kama yeye mwalimu wao mkuu ndivyo anavyoandika na kufikiri?

hiyo article ipo wapi?na ni malkia yupi unayemzungumzia wewe?
nitaludi baadae nipo dukani kwa mangi hapa.
 
Bonyeza hapo kwenye nyekundu!!

NINEISOMA NA KUBOREKA KABISAA KUPITA KIASI. HUYU BENSON BANA ALIANDALIWA WAKATI ULE WA CHAMA CHASHIKA HATAMU KUWA mzee wa propaganda za kikomunisti na mkana dini. Leo hii katika dunia ya demokrasia hana pa kusimama kuonesha uwezo wake wa kufikiri.

hawa kina bana ndio walikuwa wakomunisti wa kukubuhu na utakuta huo u DK wake lazima kaupatia urrusi au ulaya mashariki. ndio maana kila kukicha hachoki kuipinga jamii kudai haki zake. wakomunisti siku zote ni watu wa kutesa jamii na kuwaletea maudhi.
 
Nimeisoma na kuielewa. Huyu ana ajenda ya siri. Hata kilaza wa darasa la saba hawezi kutoa mawazo potpfu kiasi hiki.
Huu ni unafiki...
 
Mnadhani kujua kiingereza kwa ufasaha ni alama ya usomi? Watumwa nyie

Kama Kiingereza Tanzania ndiyo lugha ya mawasiliano na ya kujifunzia from secondary school to University, Je aliwezaje kufaulu hadi kuupata huo udaktari kama hajui hiyo Lugha?!

Kama alisomea Russia from Secondary School to University, then kujua kiingereza kwake sio ishu. Lakini kama alisomea system ya Tanzania na nchi nyingine zinazofundisha kwa kiingereza, then USOMI wake una walakini kama hujui hiyo lugha kwa ufasaha.
 
Tanzania njaa zinatupeleka vibaya. Udsm imetengeneza wanasisa wengi sana na watendaji serikalini. Wanajivunia nini kama hata baada ya miaka 50 ya uhuru, bado tunaenda kwa kusuasua namna hii. Hakuna faculty\college yenye afadhali tumetengeneza wababaishaji kila upande. Dr. Bana anatoa picha tu ya jinsi waandaji wa wa wataalamu wetu walivyo na njaa na kiu ya kujitukuza na madaraka. Redet pia ni picha hiyo hiyo
 
Bana amedhihirisha kwamba haoni chochote pembeni ya maandiko anayosoma... he is really a **** person anayependa kuonyesha ujinga wake kwenye public

yani ameandika kama vile tupo kwenye STP...
 
Kwani wewe humjui Dr. Bana?

Hukumbuki zile tafiti zake za kubeba CCM?

Halafu katumia news outlet ya mbeba CCM mwenzake Mengi, (sorry Dr. Mengi/maana nasikia alidefend Ph.D. thesis jana jumapili)
 
Back
Top Bottom