Benno Malisa aishambulia vikali CHADEMA

Benno Malisa,

Inaonekana unataka kuendeleza yale mauaji ya Mwana-Chadema Mbwambo yaliyofanyika Usa River baada ya CCH kuaibishwa na ushindi wa CDM Arumeru. Wanachama wako wa UVCCM wenye kuenda na wakati wanatimkia Chadema na inafaa utulie na kutafakari mustakabali wa chama chako na Tz kwa jumla.
 
Mkuu Tume ya katiba vipi kibiriti kimeisha njiti nini? naona ile operation yenu ya kumalizia yale makanisa yaliyobakia imesimama au ndio mnasubiri upepo upite

Mkuu wangu Precise pangolin , zile ni propaganda tu ili tusidai chetu, mkuu wangu hii imetengenezwa na SIRIKALI na kwa kiasi fulani wamefanikiwa ila kwa sasa tunajipanga upya. leo wametoa tamko la kuzuia mikusanyiko,mikutano na maandamano ya aina yoyote znz. sasa sijui na hiyo tume ikija zuio hilo watalisimamisha?
 
Last edited by a moderator:
Kaimu mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa amekishambulia kwa maneno makali chama CDM kwa madai kuwa kimekuwa kikiisakama serikali ya chama chake.
Akifungua kikao cha baraza kuu la UVCCM huko Dodoma amesema wapinzani ni wadanganyifu wakubwa na muda wao wa kutamba majukwaani umefika mwisho.Katika hali ya kushangaza Malisa aliwataka vijana baada ya kikao chao wajibu vikali mapigo ya upinzani kwa njia yoyote watakayoona inafaa kwa kile alichodai uvumilivu wake umefikia mwisho.

Source:Mwananchi

Namfananisha huyu jamaa na kuku mtetea,aendelee kuaatamia siku 21 bado
 
Mkuu wangu Precise pangolin , zile ni propaganda tu ili tusidai chetu, mkuu wangu hii imetengenezwa na SIRIKALI na kwa kiasi fulani wamefanikiwa ila kwa sasa tunajipanga upya. leo wametoa tamko la kuzuia mikusanyiko,mikutano na maandamano ya aina yoyote znz. sasa sijui na hiyo tume ikija zuio hilo watalisimamisha?

Nimekusoma Mkuu Tume ya katiba jitahidini mjitoe mapema lakini ile sehemu yenye mafuta lazima tushee ili tuifisadi kama madini na Epa
 
Mapigo gani wanaweza yajib? Wanachochewa 2 na jk,mbona mwenyewe hawez sembuse hawa nyenyere
 
malisa beno usiwatume vijana wafanye uhaini fanya siasa za maana lakini pole kwani chama chenu kishakufa kinasubili kuzikwa.
 
WHO IS BENO MALISA KATOKEA SHIMO GANI AKAJIFUNZE SIASA KULE KIVUKONI SIASA ZA LEO SI ZA KULISHANA PILAU NA KUGAWA T SHIRTS UVCCM HAKUNA MTALOLIFANYA KUVUTA VIJANA MKILETA PESA TUTAKULA LAKINI UCHAGUZI TUTALINDA KURA ZA CHADEMA PEOPLE'S POWER FOREVER WALA HATUITAJI MIKUTANO YA KUANZISHWA NA TAARABU ZA KHADIJA KOPA MMEKWISHA :israel:
 
Kaimu mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa amekishambulia kwa maneno makali chama CDM kwa madai kuwa kimekuwa kikiisakama serikali ya chama chake.
Akifungua kikao cha baraza kuu la UVCCM huko Dodoma amesema wapinzani ni wadanganyifu wakubwa na muda wao wa kutamba majukwaani umefika mwisho.Katika hali ya kushangaza Malisa aliwataka vijana baada ya kikao chao wajibu vikali mapigo ya upinzani kwa njia yoyote watakayoona inafaa kwa kile alichodai uvumilivu wake umefikia mwisho.

Source:Mwananchi

Hivi huyu hajui kama CDM ni chama pinzani na hivyo kina haki ya kupigia kelele kama hakiridhiki na utendaji wa Serikali iliyopo madarakani!? Gamba kweli haliachi kuwa gamba!
 
Kaimu mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa amekishambulia kwa maneno makali chama CDM kwa madai kuwa kimekuwa kikiisakama serikali ya chama chake.
Akifungua kikao cha baraza kuu la UVCCM huko Dodoma amesema wapinzani ni wadanganyifu wakubwa na muda wao wa kutamba majukwaani umefika mwisho.Katika hali ya kushangaza Malisa aliwataka vijana baada ya kikao chao wajibu vikali mapigo ya upinzani kwa njia yoyote watakayoona inafaa kwa kile alichodai uvumilivu wake umefikia mwisho.

Source:Mwananchi

Another Lusinde in the house a.k.a. Kibajaji
 
Hapo kwenye red: Beno Malisa anasema nini? Nji yoyote maana yake nini? Igunda wamepotea watu, Arumeru wamechinjwa, wabunge wa CHADEMA wamevamiwa huko Mwanza. Je, wananchi wa Tanzania waendelee kuamini kuwa serikali ya CCM bado inayo nia na dhamira ya kutunza amani nchini? Usalama wa raia na mali zao ukoje?

Makamanda kwa hili TUSANUKENI
 
Back
Top Bottom