Benki yenye Fixed Deposit Account NZURI

Interest rates zetu kwa accnts ni 3% which is calculated daily n deposited monthly....na mikopo interest zetu zina rage in btn 19 to 24%. Dont forget kwamba rates zote za ma bank ni watoto wa benki kuuu ya nchi husika...the rest tupo kibiashara zaidi kama Bot tuuu.Karibu ndugu.

Would you pliz elaborate?
 
Ni kwa sababu terms zetu nyingi ni tofauti na benki nyingine. Kwa mfano interest zetu zinakua calculated daily and deposited monthly....!?
 
Kama nina account bank yenu ili niweke some money from my savings account iwe kwenye fixed account what are the terms/options?
 
Wadau

Ni benki gani yenye mifumo mizuri kwenye Fixed Deposit Account? Nataka kupata uelewa kuhusiana na hili. Tafadhali

Mokoyo
 
Banks mpya ambazo zinastrugle kupata depositors ziko willing kunegotiate interest rates kubwa kulinganisha na banks zenye customers wengi au government deposits. In that case jaribu FNB, Equity, UBA, ECO e.t.c. Amount yako ndio inayodeternine power ya kubargain!!!
 
Thanks Herg

Hizi banks ndogondogo zenye matawi kumi tu nchi nzima,hazikawii kufungwa,Kuwa makini sana

Namba ya matawi sio kigezo cha safety/soundness ya bank...mfano citi bank haina matawi kbsa, but it's one of the strongest in the market.
 
Mi niulize kuhusu hisa za dar stock exchange n bonds za mabenki na serikali ambazo ROI (return on investment) ni kubwa zaidi ya banks

Wadau

Ni benki gani yenye mifumo mizuri kwenye Fixed Deposit Account? Nataka kupata uelewa kuhusiana na hili. Tafadhali

Mokoyo
 
Banks mpya ambazo zinastrugle kupata depositors ziko willing kunegotiate interest rates kubwa kulinganisha na banks zenye customers wengi au government deposits. In that case jaribu FNB, Equity, UBA, ECO e.t.c. Amount yako ndio inayodeternine power ya kubargain!!!

mkuu hizo benki zote zinaishia magomeni huku hamna hata moja
 
Back
Top Bottom