Benki ya Posta!

Dah hawa mabwana yaani Benki ya Posta wana customer care mbovu sijapata ona.Hela yangu kama laki mbili haikutoka kwenye ATM ;nikawafuate kwa msaada zaidi wakaniambia niandike barua ya malalamiko lakini hadi leo hii sijarudishiwa wala kuambia wapi wamefikia pamoja na kunijibu kwenye FB kuwa wana shughulika.My account 010-00009805.
Yaani wewe acha tu
 
Katavi, sijawahi kujuta kufungua akaunti TPB- Truly Tanzanian, tangu natumia kitabu, Uhuru Card na Sasa Umoja tena 24hrs popote. Nimefika kwenu Rukwa na hasa Sumbawanga wapo na zaidi wale mawakala wakubwa wa huduma za kifedha yamekuwa matawi ya TPB mfano Mwandele the Best na Pale Sokoni dukani kwa Ikuwo. Mobile Banking yao iko poa zaidi. Kwa ujumla hii ndo Bank nipatayo huduma za kifedha bila kujuana na mtu tena kwa haraka bila foleni. Hizo benki nyingine mpaka nipite antique.
 
Last edited by a moderator:

Okay mkuu nitawatembelea muda si mrefu nifanye nao biashara.
 
Dah hawa mabwana yaani Benki ya Posta wana customer care mbovu sijapata ona.Hela yangu kama laki mbili haikutoka kwenye ATM ;nikawafuate kwa msaada zaidi wakaniambia niandike barua ya malalamiko lakini hadi leo hii sijarudishiwa wala kuambia wapi wamefikia pamoja na kunijibu kwenye FB kuwa wana shughulika.My account 010-00009805.
Yaani wewe acha tu
Mpaka leo hii sijapata hii hela wala kunijibu barua yangu ya malalamiko.
Down with TPB
 
benki ya hovyo
1. Very poor customercare
2. Ukifungua akaunti tegemea kupata atm card baada ya miezi sita
3.mkopo ni hadi upitishe mshara mmoja kwao
4.uzuri wao hawana foleni ndeeeeeeeeefu km nmb na crdb
5.hawapo mikoa yote na baadhi ya mikoa waliopo hawana ATM mashine so ukisafiri mikoani cha kufanya ni kuchek kwanza kama atm ipo ili uchukue mzigo mapema. Mkoa mmoja wapo wenye tawi bila atm ni Iringa

TPB wanatumia ATM za Umoja switch kwa hiyo wapo kila mkoa, mikoa mingine huduma za kutoa na kuweka fedha unapata ndani ya Posta kama Benki hiyo haipo. Kwa ujumla huduma zao ni nzuri hata kwenye simu, tatizo hawana huduma bora za mikopo, unaweza kuomba mkopo mpaka unakufa hujaupata.
 
Naitumia iko poa na wapo umoja switch, makato yao ni madogo kwa transuction, kadi nilipata saa hiyo hiyo nilipofungua account ,tuache uongo
 
Kweli mkuu wanakupatia ATM hapohapo na wanatumia umoja switch
 
Back
Top Bottom