benki ya hovyo
1. Very poor customercare
2. Ukifungua akaunti tegemea kupata atm card baada ya miezi sita
3.mkopo ni hadi upitishe mshara mmoja kwao
4.uzuri wao hawana foleni ndeeeeeeeeefu km nmb na crdb
5.hawapo mikoa yote na baadhi ya mikoa waliopo hawana ATM mashine so ukisafiri mikoani cha kufanya ni kuchek kwanza kama atm ipo ili uchukue mzigo mapema. Mkoa mmoja wapo wenye tawi bila atm ni Iringa
tulia nmb au fungu a/c nyingine mfano crdb..benki ya posta ipo ipo tu,usijiunge nao kabisa!.
Njoo akibaHeshima wakuu! Naomba msaada kwa yeyote anayepata huduma za kibenki na benki ya posta, je huduma zao ni nzuri? Maana nimechoshwa na foleni za nmb.
vipi kuhusu Barclays na Stanbic?
Kwa kipindi hicho labda hawakuwa na usumbufu hasa ishu ya customer care. Siku kuulizia tu ishu zao za kibenki tatizo!TPB-ninao tangia 1997,a/c ya kitabu, baadae ya kadi nikaja nao uhuru card, sasa umoja switch. Nimepata huduma zao karibu nchi nzima. Kwa wenye mishahara c lazima ipitie kwao na within 2 weeks unapata mkopo. Jamaa zangu wa2 walikiri hilo. Huwa naitumia kurundika pesa zangu huko. Nikizitaka nachukua kwa upole kabisa bila foleni na kwa heshima kubwa. Ni hayo 2.
khaaaaa makubwa haya enz hizi achimbie chini!!!!Sikushauri utumie benk ya posta, bora uchimbie pesa yako ardhin