Benki ya nbc dodoma wezi+wasanii

mapambazuko

Member
Oct 6, 2010
23
1
hawa jamaa wa tawi la NBC dodoma barabara ya nyerere ni wezi jamani angalieni walichomfanyia mshikaji wangu jamaa alililipiwa ada na mtu wake wa karibu benki tela alichokifanya kapokea pesa alafu akasaini slip na kisha kugomga muhuri wa benki kisha ile pesa akuingiza kwenye akaunti ya chuo inakotakiwa kwenda sasa kimbembe wakati wa mitihani jamaa si akazuiliwa na chuo kutofanya mitihani ya semister kwani sheria ya chuo hairuhusu mpaka uwe umelipa, kisa benki statement ya chuo inaonyesha kuwa jamaa hajalipa ada kuwafuata wakawa wanamletea usanii baada ya kukomaa nao kwa kuwatishia mwanasheria wakakiri kosa kuwa benki tela wa siku hiyo hakuweka pesa kwenye akaunti ya chuo so kakubali kulipa hiyo pesa lakini alishaitia ndani kumbe but it was too late kwa chuo mitihani imeshafanyika na jamaa anatakiwa kwa sheria za chuo afanye specil lakini hasara ya mitihani hiyo ni kuwa haina kozi work hivyo ni rahisi sana kufeli,anatakiwa kufanya mwezi wa tisa plus masomo ya semister ijayo hivyo nbc imembebesha mzigo mara mbili. hata hivyo anatakaka kuwaburuza mahakamani hivyo kwa wanazuoni wa dodoma mnaolipa ada kupitia benki NBC tawi hili la barabara ya nyerere kuweni makini huu ndoo mchezo mchafu wa matela wa benki hii na pia tatizo lao lingine ni kuwa jamaa slip zao ukishaandika wewe kwa mkono wao hawa print kwa mashine hivyo kwa wataalamu wenye kujua uhasibu ni rahisi kuongeza tarakimu hasa kwa wale wanaolipa malipo kwa niaba ya kampuni au mtu kakutuma nitumbukizie pesa kama hana tabia ya kucheki benki statementi yake kwa stahili yao hii unaweza kuibiwa sasa mpaka sasa hivi mchizi kadata sio siri anatia huruma jamani kuweni macho hawa vibaka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom