Yes Ni Mkopo!
Kuna watu walikua wameshachanganya na msaada
Pia management yake inabidi iwe wise kuhakikisha kweli mkopo huo unatumika kwa malengo yaliyokusudiwa na pia unatoa faida in the long run
Halafu gharama za huo mkopo ni nini by the way?
sasa naona haya ndio aliozungumzia Game Theory kwenye issue ya ufisadi wa kumchagua yule ceo nhc.mambo yamekamilika bilioni 51 hio watu udenda unawatoka.
Mmeshachelewa.. tayari hii habari ilishaanza kufanyiwa kazi tangu end o the year last year baada ya taarifa kutoka. Tayari makampuni mapya ya Real Estate yameshasajiliwa na contact za Benki Kuu zimeshawekwa na miongoni mwa wenye makampuni hayo makubwa ni wale walioko kwenye serikali ya sasa.. kama mnafikiri Mkapa na mwenza wake wana control real estate mtakoma mwaka huu!!
hii tabia haitaisha kwa vile hakuna mtu anayechukuliwa hatua yoyote.kwanini watu hawachukuliwi hatua? kwa vile hakuna msafi wa kumchukulia hatua mwenzake.Mmeshachelewa.. tayari hii habari ilishaanza kufanyiwa kazi tangu end o the year last year baada ya taarifa kutoka. Tayari makampuni mapya ya Real Estate yameshasajiliwa na contact za Benki Kuu zimeshawekwa na miongoni mwa wenye makampuni hayo makubwa ni wale walioko kwenye serikali ya sasa.. kama mnafikiri Mkapa na mwenza wake wana control real estate mtakoma mwaka huu!!
Mmeshachelewa.. tayari hii habari ilishaanza kufanyiwa kazi tangu end o the year last year baada ya taarifa kutoka. Tayari makampuni mapya ya Real Estate yameshasajiliwa na contact za Benki Kuu zimeshawekwa na miongoni mwa wenye makampuni hayo makubwa ni wale walioko kwenye serikali ya sasa.. kama mnafikiri Mkapa na mwenza wake wana control real estate mtakoma mwaka huu!!
Mmeshachelewa.. tayari hii habari ilishaanza kufanyiwa kazi tangu end o the year last year baada ya taarifa kutoka. Tayari makampuni mapya ya Real Estate yameshasajiliwa na contact za Benki Kuu zimeshawekwa na miongoni mwa wenye makampuni hayo makubwa ni wale walioko kwenye serikali ya sasa.. kama mnafikiri Mkapa na mwenza wake wana control real estate mtakoma mwaka huu!!
Tanzania na ulimwengu wa siloviks, ambao Bolis Yetsin aliutengeneza baada ya kuanguka kwa USSR. Ni family yake tu na wapambe ndio walionekana kujua biashara. Wabunge na wapinzani walikuwa wanahongwa ili kumpamba rais huyu .Mmeshachelewa.. tayari hii habari ilishaanza kufanyiwa kazi tangu end o the year last year baada ya taarifa kutoka. Tayari makampuni mapya ya Real Estate yameshasajiliwa na contact za Benki Kuu zimeshawekwa na miongoni mwa wenye makampuni hayo makubwa ni wale walioko kwenye serikali ya sasa.. kama mnafikiri Mkapa na mwenza wake wana control real estate mtakoma mwaka huu!!
Hawa WB wanachekesha kweli! Yaani hadi leo hawajajua kuwa hii mikopo haifiki kokote? Hawana nia ya kutusaidia kabisa hao, ni biashara tu.
BENKI ya Dunia (WB) imeidhinisha Tanzania kupatiwa mkopo wa dola za Marekani 40 milioni sawa na zaidi ya Sh52 bilioni ili kufanikisha mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa kwa ajili ya Watanzania wenye kipato cha chini.
Benki hiyo, iliidhinisha fedha hizo mjini Washington, Marekani jana na kueleza kwamba zimetolewa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo (Ida).
Chombo hicho cha fedha duniani kilisambaza taarifa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mradi huo utajenga nyumba za kisasa ili Watanzania wa kipato cha chini ambao mara nyingi wamekuwa wakishindwa kupata mikopo benki kwa sababu hawana mali isiyohamishika.
"Lengo la mradi huo ni kuwajengea uwezo wananchi, kuwawezesha kumiliki na kuishi kwenye nyumba bora," inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Msukumo mwingine wa kuidhinisha mabilioni hayo,
Taarifa hiyo, inaeleza kwamba benki ya dunia, iliidhinisha fedha hizo, kwa sababu wakazi wengi katika maeneo ya mijini, wanakabiliwa na matatizo ya makazi.
Inaeleza kwamba watu wengi wana matatizo ya makazi kutokana na kasi kubwa ya ongezeko la watu mjini na kusababisha ujenzi wa makazi holela bila kufuata utaratibu kwenye maeneo ambayo hayajapimwa.
"Kwa kuupa uwezo mradi wa ujenzi wa makazi, mkopo huu utawezesha wananchi uwezo wa kujiajiri wenyewe, kuongeza nafasi za ajira na hatimaye kuimarisha uchumi na kupunguza umasikini," alisema Mkurugenzi wa WB katika nchi za Uganda, Burundi na Tanzania, John Murray McIntire kwenye hafla ya kuidhinisha fedha hizo.
Source: Mwananchi.
Niliwahi kusema nyuma kuwa nilimsikia mshkaji akinambia jamaa (Nehemia Mchechu) aliteuliwa NHC aje kulisimamia hili dili naona mwezi unaandama pesa hizo zaja best wishes mzee. Tunasubiri kuona hizo nyumba za maskini zitakazojengwa.