Benki Kuu Imefanikiwa Kushusha Inflation Rate Lakini Imetuacha na Maswali Mengi!

Kumbe umesoma sana mh hongera, elimu yako inasaidiaje wakazi wa nzega jimboni kwako na mfumuko wa bei wa 19%?
 
Ukiongelea elimu, hapa sahau tu boss, maana ninauwezo wa kusoma kitu chochote na ku-excel FYI sasa hivi nipo kwenye mchakato wa ku-rejista Ph.D ya Uchumi, sijui na hapo utasemaje

Mkuu kwa maneno hayo haujaonesha busara kabisa.., yaani kuanza kuonyesha uwezo wako au elimu yako (hizo Ph.D and whatsoever kama hazimsaidii mwananchi wa chini basi hazina faida kwa yoyote bali wewe mwenyewe na ndugu zako). In short umeonyesha weakness ya waTanzania kila siku kupongezana na kutokufanya kazi yaani tupo mediocre and underachievers that's why badala ya kuangalia what we can do next tunaangalia ni nini tumeshafanya ili ku-justify kuwepo kwetu.

Hapa cha maana ni ushauri ni nini kufanyika.., hakikisheni mnajenga barabara mpaka vijijini ili mazao yafike mijini, hakikisheni tunatengeneza soko from within kuliko tu kutegemea nje, hakikisheni bidhaa nyingi tunatengeneza nchini kuliko kutegemea nje..., By the way sasa mfano mdogo tu ni wakulima wa Korosho mmewahimiza kulima Korosho sasa zinaoza kwenye ma-store no where to be sold..., wakati kuna watu wengi hapa nchini wanapenda korosho lakini they can not afford them sababu ya bei kubwa, (wakati pengine zinaoza) eti kisa tunategemea soko la nje.. (this country the system and the people in power sucks), siasa kwenye kila kitu utaalamu hakuna.
 
Tatizo watu wengi ni wavivu wa kusoma, sina shaka hamkufika mwisho mwa post yangu...maana comments zinazotoka ni tofauti kabisa na mtazamo nilioutoa kwenye post yangu. Anyways kalagabaho

Pia kale kautaratibu kakumuattack mtu aliyeandika hoja badala ya hoja yenyewe kanaonesha utoto na uwezo mdogo wa kujadili mambo...

Sikusomea MBA yangu Mzumbe, nimesoma nje na nimesoma program intense na yenye uwezo mkubwa wa kuniandaa kuwa analyst mzuri kuliko wengi mnavyofikiria. SIkujiandaa kuwa Meneja hospitalini wala popote, nilisoma ili kuwa meneja wangu mwenyewe...mind you 'I am an entrepreneur!'

Ukiongelea elimu, hapa sahau tu boss, maana ninauwezo wa kusoma kitu chochote na ku-excel FYI sasa hivi nipo kwenye mchakato wa ku-rejista Ph.D ya Uchumi, sijui na hapo utasemaje
jibu hoja ya janjaweed na sio kujisifia.
Ndulu alipoingia inflation ilikuwa ngapi na sasa kwa nini tumsifie.majirani zetu wanaendaje?
Kusoma nje ndio nini?
 
Sina cha kusema ila najiandaa kununu kilo ya mchele 3000/= mana nw kg moja ya mchele ni tshs 2400
 
Tatizo watu wengi ni wavivu wa kusoma, sina shaka hamkufika mwisho mwa post yangu...maana comments zinazotoka ni tofauti kabisa na mtazamo nilioutoa kwenye post yangu. Anyways kalagabaho

Pia kale kautaratibu kakumuattack mtu aliyeandika hoja badala ya hoja yenyewe kanaonesha utoto na uwezo mdogo wa kujadili mambo...

Sikusomea MBA yangu Mzumbe, nimesoma nje na nimesoma program intense na yenye uwezo mkubwa wa kuniandaa kuwa analyst mzuri kuliko wengi mnavyofikiria. SIkujiandaa kuwa Meneja hospitalini wala popote, nilisoma ili kuwa meneja wangu mwenyewe...mind you 'I am an entrepreneur!'

Ukiongelea elimu, hapa sahau tu boss, maana ninauwezo wa kusoma kitu chochote na ku-excel FYI sasa hivi nipo kwenye mchakato wa ku-rejista Ph.D ya Uchumi, sijui na hapo utasemaje
Dr. samahani acha kujaji watu wrongly eti hawajasoma post yako mpaka mwisho...ACHA HIZO..Post yenyewe mistari michache mtu makini esp. GREAT THINKERS IN JF ashindwe kusoma hivyo vimistari!!!!!!!!!!! aaahhhhhhhhh!!!!!!! Dr. ona soni walau kidogo.

Ukweli mfumko wa bei uko juu sn, hata hiyo 20% ya mfumko wa bei in my view naona kama kiini macho , coz in the ground it more than that. Tunatakiwa kufanya maamuzi magumu ya kuyataekeleza kwa vitendo sio maneno matupu. Serikali ni lazima na muhimu iingie ktk uzalishaji vinginevyo mmmmmmmmmmmmmmmmhhhh kilo kitaendelea
 
Tatizo watu wengi ni wavivu wa kusoma, sina shaka hamkufika mwisho mwa post yangu...maana comments zinazotoka ni tofauti kabisa na mtazamo nilioutoa kwenye post yangu. Anyways kalagabaho

Pia kale kautaratibu kakumuattack mtu aliyeandika hoja badala ya hoja yenyewe kanaonesha utoto na uwezo mdogo wa kujadili mambo...

Sikusomea MBA yangu Mzumbe, nimesoma nje na nimesoma program intense na yenye uwezo mkubwa wa kuniandaa kuwa analyst mzuri kuliko wengi mnavyofikiria. SIkujiandaa kuwa Meneja hospitalini wala popote, nilisoma ili kuwa meneja wangu mwenyewe...mind you 'I am an entrepreneur!'

Ukiongelea elimu, hapa sahau tu boss, maana ninauwezo wa kusoma kitu chochote na ku-excel FYI sasa hivi nipo kwenye mchakato wa ku-rejista Ph.D ya Uchumi, sijui na hapo utasemaje

Mkuu,

Unaonyesha kidogo umeteleza hapa ngoja nikutahadharishe kwanza kuwa na PhD sio njia ya kuwa umeelimika na kuwa mchambuzi wa mambo. Wapo wenye elimu mpaka ya PhD but maamuzi yake yamekuwa ya vioja mfano Gavana wetu Balali. Vile vile wapo wengine walipata PhD za kuchakachua kama late Bingu wa Mutharika but tizama walivyoiangusha hali ya kiuchumi ya nchi zao. Hivyo kuwa na PhD sio kigezo cha kufanya maamuzi mazuri.

Nakupongeza zaidi kwa kupata PhD admission ila usiombe mungu ukaenda kusoma vyuo ambavyo watu wako serious kwani hawakupi PhD badala yake utarudi na mphil au usipate kabisa kitu. Kwanini, kwasababu ndani ya PhD kunataka mtu anayeweza kuwa critical thinker na uwezo wa kuchanganua vitu. Sasa ndugu yangu kwa mujibu wa mchanganuo wako ninashaka na uwezo wako katika PhD jiangalie sana au fanya PhD katika fani nyengine ila uchumi kwa uwezo huu labda ukasome Pacific Western University au University za akina Dr Shayo na Dr Nchimbi but ukienda mlimani pale au kwengineko utasota sana.

Mwisho kabisa ukitaka kujua matatizo ya sarafu ya nchi hii nimeyadondoa kidogo kwenye thread hii hebu soma yatakusaidia kutuwakilishia huko bungeni pengine watasikia makelele yetu kwani waathirika ni sie na sio wao. Pitia link hii hapa nilikuwa najaribu kumzindua waziri wetu wa fedha. Enjoy!!!

https://www.jamiiforums.com/habari-...g-bot-3-key-policies-to-rescue-shillings.html
 
kuna vitu vingine huihitaji kusomea uchumi ndo uelewe
yaani kutoka aslimia 19.8 mpaka asilimia 19.4...hata form four mwenye akili
hawezi kuita 'mafanikio'....let alone mbunge mwenye MBA...

huyu jamaa ana raise maswali meengi kumhusu yeye kuliko anachozungumza

The Boss,Its very sad my friend,if these are the types of graduates that we have,then we certainly have a serious challenge to address urgently!!! Hata hivyo huyu Mheshimiwa anaweza kuwa kamaliza darasa la saba tu,it just doesnt register into my mind that someone who is educated to that level could come up with something so timid!!
Its pathetic!!
 
Back
Top Bottom