Benki Kuu Imefanikiwa Kushusha Inflation Rate Lakini Imetuacha na Maswali Mengi!

HKigwangalla

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
717
971
Benki Kuu ya Tanzania inapaswa kupongezwa kwa jitihada za mara moja walizofanya kushusha mfumuko wa bei nchini, na pia kupandisha thamani ya shilingi ya Kitanzania. Katika miezi mitatu iliyopita mfumuko wa bei za vyakula umeteremka kutoka 27.8% mpaka 26.7% na inflation kwa ujumla (general inflation rate) imeshuka kutoka 19.8% mpaka 19.4%. Pia thamani ya shilingi ya Kitanzania imepanda. Kiwango cha kubadilisha dola 1 ya kimarekani kwa shilingi ya kitanzania ilikuwa 1900, leo hii ni 1598. Hongera Gavana Benno Ndulu kwa kazi nzuri. japokuwa nadhani huu ni mpango wa muda mfupi na tusiutegemee sana kama Taifa kuwa utadumu. Lengo likiwa kushusha mfumuko wa bei mpaka tarakimu moja kufikia June (ahadi ya BoT), kwa vyovyote vile inabidi muumize kichwa zaidi, na zaidi ya yote tuweke mipango ya muda mrefu ya kuimarisha uchumi wetu na hususani kupunguza imports. Je watafanikiwa, sijui, lakini ni matarajio na matamanio yetu kuwa watafika; tunawaombea dua. Wenzangu na mie wanashindwa kukuelewa ukiwapa hizi tarakimu, wao wanataka waone tu bei ya dagaa, maharage na sembe imeshuka maana wengi wao hata sukari haiwahusu sana. Je, tunaweza kukiri kuwa tumeshindwa kuzalisha misosi kiasi cha kutosha kushusha bei za chakula nchini? Ama tumeshindwa kutengeneza mfumo mzuri wa kusambaza chakula nchini kiasi kwamba watu wa nyanda za juu kusini wanakosa pa kuweka chakula ilhali Nzega wanakufa na njaa?
 
Mhe samahani naona umeingilia fani ambayo hujui
naomba utulie kushuka kwa rate unacompare na kitu gani??
Naomba ufanye utafiti kidogo sio kufikiri fikiri kimagamba magamba
angalia miak ya 2002 rate ilikuwaje? Fanya utafiti from 1998 to 2004 then compare sio kukurupuka
na analysis za kitoto, 1998 rate kwa madafu ilikuwa 660 mean rate

BANK OF TANZANIAFOREIGN EXCHANGE RATES FOR 22 May , 1998
CURRENCY
BUYING
SELLING
U.S.$ 100 UNITS
65594.05
66932.70
POUND STG.
1.6267
1.6272
CANADIAN $
1.4504
1.4509
DEUTSCHE MARK
1.7584
1.7594
FRENCH FRANC
5.8965
5.8975
FIN-MARK
5.3420
5.3511
SWITZ.FRANC
1.4642
1.4647
DUTCH GUILDER
1.9817
1.9827
BELGIAN FRANC
36.2750
36.2850
JAPANESE YEN
135.7300
135.8300
SWEDISH KRONOR
7.6524
7.6604
NORWEG. KRONOR
7.4247
7.4317
DANISH. KRONOR
6.7979
6.7999
AUSTRIAN SCH
12.3716
12.3766
AUSTRALIAN $
0.6332
0.6337
INDIAN RPS.
40.6420
40.6520
PAKISTAN RPS.
44.1550
44.1800
ZAMBIAN KWACHA
1925.00
1985.00
MALAWIAN KWACHA
25.5000
25.7500
MOZAMBIQUE-MET.
11522.00
11580.00
KENYA SHS.
63.3000
63.7000
UGANDA SHS.
1208.00
1228.00
ZIMBABWE $
18.3000
18.6000
ITALIAN LIRE
1734.00
1734.50
SDR
1.34402
1.34402
ECU
1.1177
1.1187
GOLD(T/O)
300.3000
300.8000
SOUTH AFRICAN RAND
5.0745
5.0845
SPAIN PESETAS
149.3500
149.4000
UAE DIRHAM
3.6729
3.6734
BURUNDI FRANC
398.960
404.250
SINGAPORE $
1.6390
1.6420
HONGKONG $
7.7487
7.7497
SAUD ARABIAN RIAL
3.7506
3.7508
KUWAIT DINAR
0.3058
0.3060
BOTSWANA PULA
0.2530
0.2570
NEWZEALAND $
0.5355
0.5362

Indicative Foreign Exchange Market Rates [FONT=verdana,arial]
Exchange Rates for 3/Oct/2002
[/FONT]
[FONT=verdana, arial]Currency in 100 Units[/FONT]
[FONT=verdana, arial]Spot Buying [/FONT]​
[FONT=verdana, arial] Mean [/FONT]​
[FONT=verdana, arial]Spot Selling [/FONT]​
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]USD[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]96554.70[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]97530.00[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]98505.30[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]POUND STG[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]151513.64[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]153093.33[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]154673.02[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]EURO[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]95241.56[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]96218.37[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]97195.18[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]CANADIAN $[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]60818.03[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]61412.82[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]62007.62[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]SWITZ. FRANC[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]65310.27[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]65958.70[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]66607.14[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]JAPANESE YEN[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]786.148[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]793.763[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]801.377[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]SWEDISH KRONOR[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]10492.80[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]10594.13[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]10695.47[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]NORWEG. KRONOR[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]13024.00[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]13149.02[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]13274.04[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]DANISH KRONOR[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]12825.91[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]12952.59[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]13079.28[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]AUSTRALIAN $[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]52477.48[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]53032.18[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]53586.88[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]INDIAN RPS[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1996.58[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]2016.60[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]2036.62[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]PAKISTAN RPS[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1634.03[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1649.83[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1665.63[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]ZAMBIAN KWACHA[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]21.6977[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]21.7939[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]21.8901[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]MALAWIAN KWACHA[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1213.00[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1217.57[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1222.15[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]MOZAMBIQUE-MET[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]4.0913[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]4.1238[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]4.1563[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]KENYA SHS[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1222.68[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1234.24[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1245.80[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]UGANDA SHS[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]53.1528[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]53.6393[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]54.1259[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]ZIMBABWE $[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1757.14[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1758.87[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]1760.60[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]SDR[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]127483.10[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]128770.81[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]130058.52[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]GOLD (T/O)[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]31148546.22[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]31487804.33[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]31827062.43[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]S. AFRICAN RAND[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]9275.19[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]9346.26[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]9417.33[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]UAE DIRHAM[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]26288.41[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]26552.85[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]26817.30[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]BURUNDI FRANC[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]94.0987[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]94.4487[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]94.7987[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]SINGAPORE $[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]54010.57[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]54540.73[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]55070.89[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]HONG KONG $[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]12379.76[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]12504.40[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]12629.05[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]SAUD ARABIAN RIAL[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]25747.92[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]26006.60[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]26265.28[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]KUWAIT DINAR[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]319749.31[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]322925.11[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]326100.90[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]BOTSWANA PULA[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]15458.41[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]15678.58[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]15898.76[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee, align: right"][FONT=verdana,arial]NEWZEALAND $[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]45786.24[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]46297.98[/FONT][/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=verdana,arial]46809.72[/FONT][/TD]
[/TR]

Insignifanct reduction. bado tuko kwenye inflation rate ya double digits and as a matter of fact bado ni 19% hizo 0.000% bado hazibadilisha kitu huku mtaani. A lot more needs to be done na sasa hivi tunaanza kunyemelewa na nuksi ya mgamo wa umeme.
 
Inflation bado kubwa sana na BOT hawawezi kuishusha peke yao kama sera zetu za uzalishaji mbovu, wakulima wamechoka wanategemea mvua!
 
Benki Kuu ya Tanzania inapaswa kupongezwa kwa jitihada za mara moja walizofanya kushusha mfumuko wa bei nchini, na pia kupandisha thamani ya shilingi ya Kitanzania. Katika miezi mitatu iliyopita mfumuko wa bei za vyakula umeteremka kutoka 27.8% mpaka 26.7% na inflation kwa ujumla (general inflation rate) imeshuka kutoka 19.8% mpaka 19.4%. Pia thamani ya shilingi ya Kitanzania imepanda. Kiwango cha kubadilisha dola 1 ya kimarekani kwa shilingi ya kitanzania ilikuwa 1900, leo hii ni 1598. Hongera Gavana Benno Ndulu kwa kazi nzuri. japokuwa nadhani huu ni mpango wa muda mfupi na tusiutegemee sana kama Taifa kuwa utadumu. Lengo likiwa kushusha mfumuko wa bei mpaka tarakimu moja kufikia June (ahadi ya BoT), kwa vyovyote vile inabidi muumize kichwa zaidi, na zaidi ya yote tuweke mipango ya muda mrefu ya kuimarisha uchumi wetu na hususani kupunguza imports. Je watafanikiwa, sijui, lakini ni matarajio na matamanio yetu kuwa watafika; tunawaombea dua. Wenzangu na mie wanashindwa kukuelewa ukiwapa hizi tarakimu, wao wanataka waone tu bei ya dagaa, maharage na sembe imeshuka maana wengi wao hata sukari haiwahusu sana. Je, tunaweza kukiri kuwa tumeshindwa kuzalisha misosi kiasi cha kutosha kushusha bei za chakula nchini? Ama tumeshindwa kutengeneza mfumo mzuri wa kusambaza chakula nchini kiasi kwamba watu wa nyanda za juu kusini wanakosa pa kuweka chakula ilhali Nzega wanakufa na njaa?

hizi analysis muwe mnapitia pitia vitabu na brother google kabla ya kuweka hapa.....lolz yaani ungejua umeandika vinini aiseee......
 
yaaani hii ndo unaita 'kufanikiwa kushusha inflation'???????
na Rwanda watasemaje wakati inflation kwao ni asilimia 4 kwa miaka karibu minne au zaidi?

sasa kama sisi asilimia 19 tunaita 'mafanikio'

tukiitwa 'mataahira' tutasema tunatukanwa??

na wewe ndo mbunge unakuja na upuuzi huuu

je type za Mzee Yusuph Makamba ziseme nini?????????
 
Mbaya zaidi bwana hamisi ana MBA..sijui kachukulia wapi???
Sasa namba tumpe homework.....akapitie tena desa...alafu kesho J3 asubuhi aje atuambia hizo 19% ni mafanikio kwa factors zipi...aiseeee...
Bunge la tz hilo.....na hawa ndio wabunge wetu.....
 
Ni hatari inflation asilimia 19 benki inataka uweke pesa FDR kwa mwaka wakupe 12 pc si ni balaa?
 
Kama simuelewi vile, mbona statistics zake haziendani na uhalisia au ndo yale yale ya uchumi wa vitabuni
 
Benki Kuu ya Tanzania inapaswa kupongezwa kwa jitihada za mara moja walizofanya kushusha mfumuko wa bei nchini, na pia kupandisha thamani ya shilingi ya Kitanzania. Katika miezi mitatu iliyopita mfumuko wa bei za vyakula umeteremka kutoka 27.8% mpaka 26.7% na inflation kwa ujumla (general inflation rate) imeshuka kutoka 19.8% mpaka 19.4%. Pia thamani ya shilingi ya Kitanzania imepanda. Kiwango cha kubadilisha dola 1 ya kimarekani kwa shilingi ya kitanzania ilikuwa 1900, leo hii ni 1598. Hongera Gavana Benno Ndulu kwa kazi nzuri. japokuwa nadhani huu ni mpango wa muda mfupi na tusiutegemee sana kama Taifa kuwa utadumu. Lengo likiwa kushusha mfumuko wa bei mpaka tarakimu moja kufikia June (ahadi ya BoT), kwa vyovyote vile inabidi muumize kichwa zaidi, na zaidi ya yote tuweke mipango ya muda mrefu ya kuimarisha uchumi wetu na hususani kupunguza imports. Je watafanikiwa, sijui, lakini ni matarajio na matamanio yetu kuwa watafika; tunawaombea dua. Wenzangu na mie wanashindwa kukuelewa ukiwapa hizi tarakimu, wao wanataka waone tu bei ya dagaa, maharage na sembe imeshuka maana wengi wao hata sukari haiwahusu sana. Je, tunaweza kukiri kuwa tumeshindwa kuzalisha misosi kiasi cha kutosha kushusha bei za chakula nchini? Ama tumeshindwa kutengeneza mfumo mzuri wa kusambaza chakula nchini kiasi kwamba watu wa nyanda za juu kusini wanakosa pa kuweka chakula ilhali Nzega wanakufa na njaa?

Hizo takwimu kama ni kweli watakuwa wamechakachua sana,
Nitaongelea ktk exchange rate, mbona umechanganya euro na dola? kweli huu uchakachuaji duuu.
Iliyokuwa 1euro==2000 bado inavinjari hapo hapo, na 1 dola == 1500 bado inavinjari hapo hapo, maana nina ushahidi karibu kila mwezi nina exchange fwedha bongo kupungua huko sijakuona.
 
Very big doubt!
Are you real Great Thinker?
19.8% to 19.4% for 5yrs unasema ni mafanikio?
Kigwangallah umetumia nini kufikiri ndg yangu?
 
huyu jamaa wakati anagombea ubunge si tuliambiwa kuna utata wa vyeti vyake?
naona sasa 'anathibitisha hilo' la utata wa 'shule' yake hapa...
 
Mh. Kigwangala,

Mtundiko wako hauna mashiko na sioni kama kuna any significant change kwenye inflation ambayo mtu anaweza kutoa credit kwamba inflation imeshuka.

BOT inahusika na kushusha mfumko wa bei kwa kuthibiti fedha iliyo kwenye mzunguko. Beyond hapo, hawana jeuri ya kushusha mfumko wa bei.

Tatizo kubwa kwa sasa ni mfumo mzima wa uzalishaji, sera mbovu zilizojaa matobo ya kuachia fedha za kigeni ziende nje ya nchi bila kutumika kuimarisha shilingi yetu na matumizi mabaya ya serikali ambayo hayana tija pamoja na ubadhilifu.

Je, wewe ukiwa kama Mbunge umefanya nini ili kuisimamia serikali iweze kuboresha mfumo mzima wa uzalishaji na usambazaji wa bidhaa ambazo bei zake ndio zinapelekea mfumko wa bei? TANESCO inayumba na hakuna anayeibana serikali huko Bungeni ili itimize ahadi za kumaliza tatizo la mgao wa umeme.

Kuimarika kwa shilingi ni changa la macho, maana inachofanya BoT ni kuuza hifadhi ya fedha za kigeni ambazo sio nyingi na ndio maana kumekuwa na volatility kubwa ya exchange rate kwa kuwa wanauza kwa machale maana hawana uhakika kama reserve waliyo nayo inaweza kuendelea kuishikilia shilingi hapo ilipo. Ili shilingi iweze kuimarika tunahitaji kuzalisha zaidi exports ambazo zote tumewapa wawekezaji ambao wamepewa incentive ya kuweka fedha za kigeni kwenye accounts zao za nje na hivyo mauzo yote ya maua, madini na hata utalii, fedha za kigeni huishia majuu na huku Bongo zinakuja za kulipa gharama za ndani [mishahara ya wafanyakazi na gharama nyingine ndogo ndogo] halafu hao hao wawekezaji wamepewa misamaha kibao ya kodi.

The only source ya foreign exchange ambayo imebaki hapa ni mauzo ya mazao ya kilimo ambako kumejaa utapeli wa vyama vya ushirika na ubadhilifu kibao kiasi kwamba JK aliahidi kulipa madeni yote ya vyama vya ushirika na ahadi hiyo mpaka leo haijatekelezwa.

Kipindi cha Mkapa (1995 - 2000) sekta ya Kilimo ilimsaidia sana kwa kuwa hali haikuwa mbaya sana. Kuanzia 2000 na kuendelea kilimo kilipewa kisogo na kukumbatia sekta ya madini (ambayo kwa maoni yangu kwa jinsi ilivyo hakuna kitu tunapata zaidi ya kuneemesha wawekezaji na kujaza takwimu tu kwamba Tanzania inauza sana madini halafu fedha za mauzo hatuzioni).

Nilitegemea wewe kama Mbunge ungekuja kuomba maoni kwamba ni njia gani zitumike ili kushusha mfumko wa bei? Nina hakika unajua, ila kwa sababu unaangalia swala hilo ki-CCM zaidi, unataka kutoa credit mahali ambapo hapastahili.
 
HK unajiaibisha,ebu tulia,hv unakaa sayari gani wewe? Njoo uswahilini ujionee mfumuko wa bei halafu umpongeze ndulu vizuri,nyie wanasiasa ni wanafiki sana hv hyo MBA inakusaidiaje? Acha pumb.a zako hizo nenda shule tena,yani uwezi amini umenikumbusha lile tangazo la mzee small na mzee kijijin anasikiliza tangazo linalosema tanzania imekua kiuchumi wkt huyo babu nguo zimetoboka na kavaa malapa rangi tofauti haaaaa HK kajipange upya
 
Do you think falling down of a currency doesn't have any impact on economy? Where have you learn your economics? How about interest rates, imports/exports business (international trade). Can you plz go back to school and read more on devalution and inflation effects on country's economy?
 
Mbaya zaidi bwana hamisi ana MBA..sijui kachukulia wapi???
Sasa namba tumpe homework.....akapitie tena desa...alafu kesho J3 asubuhi aje atuambia hizo 19% ni mafanikio kwa factors zipi...aiseeee...
Bunge la tz hilo.....na hawa ndio wabunge wetu.....

Most likely MBA after a degree in Medicine .. meant for a medical doctor want to be a Manager in a Hospital. Hawa huwa hawana ufahamu wa namna ya kumanage uchumi ..
 
Back
Top Bottom