Benki ipi inayotoa mkopo kwa riba ndogo kuliko zote hapa Tanzania

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
ni benki ipi inayotoza riba ndogo hapa tz? na mkopo ni wa miaka mingapi maximum
 
Riba inaweza kuwa ndogo lakini facility fees zikawa zipo juu. Pia inategemeana na aina ya mkopo unaoutaka. Je, ni personal loan, term loan, overdraft facility, vehicle loan, house loan, LC's ? Hiyo ni baadhi tu ya mikopo ambayo gharama zake zinatofaitiana sana kwa kila benki.
 
Kwa personal loan nenda KCB 18%,kwa Scheme Loan nenda ACB 15%,ila bank nyingi zinarange from 15-25% na miaka 3 mpaka miaka 5
 
Riba inaweza kuwa ndogo lakini facility fees zikawa zipo juu. Pia inategemeana na aina ya mkopo unaoutaka. Je, ni personal loan, term loan, overdraft facility, vehicle loan, house loan, LC's ? Hiyo ni baadhi tu ya mikopo ambayo gharama zake zinatofaitiana sana kwa kila benki.

Naomba niongeze kidogo ili kukamilisha maelezo mazuri ya M-Pesa,kama wewe ni mkopaji ujue method zinazotumika mfano, wengine interest rate zao ni ndogo kwa kuangalia kwa macho ila application yake ni utalipa interest kutokana principal yaani ukichukua 50.0m.katika miezi 36 kila mwezi watatumia 50.0m kwa ajili calculation mwisho utalipa kiasi kikubwa sana (Straight line method) tofauti na njia ambayo calculation ya interest itatokana na salio lako katika kila mwezi yaani diminishing balance method,kila mwezi salio lililopo ndio linatoa kiasi unachotakiwa kulipa njia hii ni nzuri haikuumizi mkopaji.
 
kuna ndugu yangu amekopa benki flan hapa jijin tshs. 2.8milion kwa miezi 60 anatakiwa kurudisha milioni 10.5 wakati makato ya kila mwezi ni kama 176,000, je hapa ni njia gani imetumika kufanya calculation ya riba?
 
Unahitaji moyo mgumu sana kuyaweka haya maelezo so far mimi sio mtaalam wa bank ngoja nisubiri wataalam
 
kuna ndugu yangu amekopa benki flan hapa jijin tshs. 2.8milion kwa miezi 60 anatakiwa kurudisha milioni 10.5 wakati makato ya kila mwezi ni kama 176,000, je hapa ni njia gani imetumika kufanya calculation ya riba?

haya ni maumivu tuu

tutafika kweli
 
nenda NMB.....

Nilichukua 1.8 million kwa miaka mitatu na nimelipa 2.25 milion

Ukienda Bayport, Platinum na kwimginekookkkkkk

au nenda Zanzibar kuna benk ya kiislam inatoa mkopo.......bila interest charge!!"''''
 
kuna ndugu yangu amekopa benki flan hapa jijin tshs. 2.8milion kwa miezi 60 anatakiwa kurudisha milioni 10.5 wakati makato ya kila mwezi ni kama 176,000, je hapa ni njia gani imetumika kufanya calculation ya riba?

Atakua amechukua kwenye haya:
1.Platnum Credit
2.Easy Finance
3.Blue Finance
4.Bayport
5.Finca
Na mengine yanayofanana na hayo ni balaaa utakopa 1m unarudisha mil4.5 khaaAaaa
 
Nataka kukopa benki ya posta, nimeona kama serikali ina hisa pale zaidi ya asilimia 80 je hii inaweza kuwa na unafuu katika mikopo?
 
nenda NMB.....

Nilichukua 1.8 million kwa miaka mitatu na nimelipa 2.25 milion

Ukienda Bayport, Platinum na kwimginekookkkkkk

au nenda Zanzibar kuna benk ya kiislam inatoa mkopo.......bila interest charge!!"''''

sio kweli mkuu, wangekua washaacha biashara wamerudi kijijino woooooote
 
Jamani mi nahitaji mkopo wa mil 25 kutoka benki yoyote yenye riba mdogo ila nami nipo tayari kurudisha ndani ya MIEZI 6 |kwani nauza unga wa ugali|dona|pamoja na unga wa muhogo ambao natoa shambani kwangu vilevile nanunua mahindi kutoka kwa wafanyabiashara wenzangu ila pia nafuga kuku& nguruwe... Tafadhali wasiliana nami..
 
Back
Top Bottom